msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada Muongozo wa namna ya kununua ardhi ambayo tayari ipo kwenye process ya kupimwa

    Wataalamu naomba msaada wenu, kuna Ardhi nataka kununua, muuzaji tayari alishalipia kwaajili ya upimaji na usajili lakini wapimaji bado hawajafika kwa ajili ya upimaji, je ni namna gani bora ya kuweza kununua kiwanja hiki ili kuepuka migogoro ya umiliki ambayo inaweza kuja kujitokeza baadae?
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali: NACTE watafungua lini maombi ya kujiunga na vyuo vya kati ukiacha vya Afya?

    Mpaka sasa maombi ya vyuo yaliyofunguliwa ni kwa vyo vya afya. Je, vyuo vingine apart from Afya maombi yanafunguliwa lini? Mwenye taarifa anijuze. NACTE tunaomba majibu!
  3. JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeibiwa simu

    Nimeibiwa simu hapa nahisi kuchanganyikiwa, natmia kisim kizito kuandika hapa inaskrach balaa nisameheni kwa mwandiko,nahisi nimechanganyikiwa nifanyeje niiipate tena simu yangu? Nimeibiwa simu wakati ambao nimefulia maana cm yng ndo ilikua km jembe kwangu ndo ilikua inanilisha na kuniweka...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa dawa nzuri ya mafua/kikohozi kwa mama mjamzito

    wadau, Ninaomba ushauri wa dawa nzuri za mafua au kikohozi kwa mama mjamzito wa mimba ya week 37-38. Dalili ni; kikohozi kikavu kubanwa na kifua pua kuziba natanguliza shukrani zangu. regards.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu juu ya hili swali

    Naweza kusoma course ya Clinical kama nina hiz credit C-BIOLOGY C-CHEMISTRY D-MATH C-ENGLISH D-PHYSIC Naomba ushauri wenu kabla ya Deadline
  6. S

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali wa hili la ardhi

    Nina kipande cha ardhi. Ni unsurveyed nilinunua kwa mtu. Nikaenda kucheki status yake ardhi, nikakuta humo kuna ramani za open space, Msikiti, Kanisa, Soko etc. eti sehemu hizo zimeshakuwa marked for those activities. Mwenye eneo anasema hajawahi kupimiwa na hajui nani alifanya hayo. Nataka...
  7. U

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kati ya Bachelor Degree ya Air transportation and management operation na bachelor degree ya Air Craft and Maintanance Engineering

    Habari wakuu? Kati ya kozi ya Bachelor degree ya Air transportation and management operation na bachelor degree ya Air Craft and maintanance Engineering Hizo kozi naombeni ushauri zinatolewa bila shaka NIT, ni ipi kozi nzuri na isioumiza kichwa!
  8. S

    JamiiForums Tanzania Msaada, Kufungua Accounts NETTELER, SKRILL na PAYPAL

    Wakuu kwema? Nina mpango wa kufungua akaunti kwenye kampuni tajwa hapo juu. Lengo ni kuweza kubet makampuni ya kubet ya nje. Nina sababu fulani muhimu za kuchagua makampuni hayo ya kubet. Kuna anaejua jinsi ya kusajili, funds transfer charges na chochote cha muhimu kujua juu ya haya makampuni...
  9. JamiiForums Tanzania Msaada, nahitaji tiba ya meno

    Wakuu habari za weekend, Shida yangu kubwa ni meno yangu mawili ya mbele, meno ya tabasamu. Meno haya yameinuka kidogo kiasi ambacho yamezidi ule usawa wa meno ya chini. Yametengeza kitu kinachoitwa overbite. Jino moja la upande wa kulia limeanza kuinuka kabisa linatoka nje ya mstari. Kwa...
  10. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kama umewahi kutana na changamoto hii

    Kuna tatizo linanisumbua ni week ya tatu sasa. Nmesafiri kikazi nipo sehemu ya mbali kidogo. Nlifanikiwa kusafiri na secretary ambaye tuna mahusiano ya kimapenzi. Huku tuliko tunatakiwa kukaa miezi 4 kuna training inafanyika nje ya nchi.huyu dada tulikubaliana ili kubana matumizi tu share room...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu hii simu ina mapepo au?

    Wakuu habari za muda huu. ninan shida hapa kwenye hiisimu yangu ambayo ni tecno W3. Hii simu sasa hivi nikiiweka tu betri inajiwasha yenyewe kabla hata sijaiwasha. Na ikijiwasha inaandika tu neno tecno arafu inaganda hivyo hivyo baada sekunde kama kumi hivi inajizima na kujiwasha tena...
  12. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa mliosoma/mnaosoma clearing and forwading.

    Hello jf. nina imani humu kuna wadau wanasoma au waliwahi kusoma clearing and forwading. naomba msaada wa notes nina shida nazo hasa za First year. Natanguliza shukran
  13. JamiiForums Tanzania Msaada wa samsung smart tv

    Habari wanajamii na Skukuu ya Eid njema. Nimenunua Tv ya Samsung Smart tv used, nimeunganisha internet na simu yangu na imekubali vizuri tu na simu yangu ina Gb za kutosha za kuweza kuperuzi internet. Vilevile ninapojaribu kufungua internet kwenye web browser, mwanzo inafunguka vizuri na...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Msaada simu inapata joto

    Habari wakuu, Nina simu ya mtumba nilinunua kama wiki tatu Sasa ila ina mtindo wa kupata joto nikiwasha data kidogo au nikiunga Hotspot na pc au hata niwasha baadhi ya apps. Cha ajabu naweza play audio usiku kucha na isipate joto au naweza ongea na mtu Muda mrefu still isipate joto Aina ya...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kiufundi kuezeka nyumba

    Habari ya mchana wadau wa JamiiForums. Naomba kusaidiwa kwa anayefahamu, kuna nyumba yenye urefu wa 15m kwa 16m inatakiwa kuezekwa kwa bati za msouth, Gharama yake ya kuezeka inaweza kuwa kiasi gani. Ahsanteni!
  16. A

    JamiiForums Tanzania Ujio wa Tundu Lissu: Msaada tutani ndugu mawakili wasomi

    Jana tarehe 27. 0. 2020 ndugu yetu Tundu Lissu alifanikiwa kurejea salama nyumbani Tanzania. So haba, alipata mapokezi mazuri. Ni hukue fursa hii pia kulipongeza jeshi la polisi kwa kuhakikisha amani itawale muda wote. Aidha naomba tukumbuke kuwa hakuna mtu aliye juu ya sheria. Hali Halisi...
  17. JamiiForums Tanzania Utapeli kama huu ukitapeliwa, utapata msaada wapi au ndio utalala nacho?

    Habari wakuu Mimi mzima kabisa wa afya Natumaini nawe pia huko mzima kabisa, bado Tunaendelea na maombelezo ya Rais wetu Mpendwa Mh. William B. Mkapa R.I.P 😞🙏 Ipo hivi wakuu, nipo nawaza kitu ambacho kipo ubongoni mwangu nimekifikiria tu ghafla. Ipo hivi Huku Maeneo ninapoishi jina (kapuni)...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Shule ya wasichana Advanced Level inahitajika haraka

    Wakuu, naomba msaada kupata shule ya wasichana ya Bweni ya bei kawaida Advance, itakua nzuri ikipatikana kanda ya ziwa au sehemu nyingine Tanzania. Iko hivi, mimi ni mwenyeji wa kanda ya ziwa, jana nilipigiwa simu na binti wa pale kijijini kwetu kamaliza form 4 akapata DIV III ya 25 bahati...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Unawezaje kupata mkopo iwapo uli-discontinue chuo?

    Habari wanajamvi, Je, mnufaika wa mkopo katika mwaka uliopita na akadisco chuo, anawezaje kupata mkopo tena iwapo yupo kwenye chuo kingine kwa sasa? Kwa anayefahamu asaidie kushare tafadhali.
  20. U

    JamiiForums Tanzania Msaada nimeongeza memory card nashindwa kupakuwa App

    Naomba msaada wa maelekezo nimeongeza memory kwenye simu yangu lakini ajabu siwezi kudownload app. Memory inayoonekana ni internal storage tu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…