Msaada: Unawezaje kupata mkopo iwapo uli-discontinue chuo?

Status
Not open for further replies.

Eboo

Member
Aug 22, 2019
43
55
Habari wanajamvi,

Je, mnufaika wa mkopo katika mwaka uliopita na akadisco chuo, anawezaje kupata mkopo tena iwapo yupo kwenye chuo kingine kwa sasa?

Kwa anayefahamu asaidie kushare tafadhali.
 
Biashara ikikataa fanya hata Kilimo. Hakuna njia moja ya kufanikiwa maisha.
 
Unatakiwa ulipe 25% y ulichoconsume kipindi uko chuo halafu ndio uombe tena na sio guarantee kwamba lazima upate tena mkopo inshort unaweza ukalipa na usipate tena vilevile
 
Ilikua si lazima ucoment apa.... Anyway sikila aliyedisco chuo kadisco kwa ujinga ya kichwa akonayo,try to be matured
Ni kweli kuwa kudisco siyo ukilaza kuna abscondment au kuibia mitihana ila majibu yako kwa MBIIRWA inaonesha alikuwa sahihi; maana una jazba na masomo yanahitaji utulivu ingawa jembe la kulimia halihitaji utulivu bali jazba
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom