Msaada nimeongeza memory card nashindwa kupakuwa App

uncle

JF-Expert Member
Dec 10, 2007
289
250
Naomba msaada wa maelekezo nimeongeza memory kwenye simu yangu lakini ajabu siwezi kudownload app. Memory inayoonekana ni internal storage tu.
 
uncle

JF-Expert Member
Dec 10, 2007
289
250
Kila ni kiingia play store kudownload app inakatalia inasema can't install, unashindwa kuelewa wakati ni memory mbili moja hiyo niliyo mount na nyingine internal storage.
 
ymollel

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,698
2,000
Kila ni kiingia play store kudownload app inakatalia inasema can't install, unashindwa kuelewa wakati ni memory mbili moja hiyo niliyo mount na nyingine internal storage.

Simu yako ina android version gani?

Kama ina android yake ni kuanzia 8. Fanya hivi:

Hakikisha umeformat hiyo SD card As INTERNAL. Halafu kwa kuwa sio kila app imeruhusiwa na developer kuwekwa kwenye SD /External storage, basi fuata haya maelezo ili ku Force all apps ziende kwenye SD.

Nenda developer settings, enable developer settings. Search au nenda kwenye option ya *FORCE ALLOW APPS ON EXTERNAL * na uiweke ON.

Hapo utakuwa umemaliza na pia utaweza kuhamishia zile apps za awali kwenda kwenye SD, na Apps mpya pia zitaenda kwenye SD.

Hakikisha SD yako ni original na ina spidi nzuri maana kitendo hiki kitafanya apps ziwe slow hata kama sd iko vizuri simu haitakuwa faster kama ulipokuwa unatumia internal storage kwa apps.
 
Attachments

  • Screenshot_20200725-182010~2.png
    File size
    602.2 KB
    Views
    0

Simu yangu ni Android 5.1
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom