Naomba msaada hali yangu ishakuwa mbaya

Mtanga89

New Member
Jun 30, 2020
2
0
Habari zenu great thinkers, poleni kwa msiba mkubwa wa kiongozi wetu Mh. Benjamin Mkapa, Mimi ni kijana wenu mtanzania shida yangu kubwa nnaomba msaada kama yoyote anaweza kunisaidia nipate angalau kibarua niweze kujikimu maisha maana nimemaliza chuo level ya diploma tangu 2012.

Tangu kipindi hicho nnapata kazi lakini sio za kudumu ni zile za miezi 4 au 6 imeisha nnarudi mtaani nnaweza kukaa mtaani tena hata mwaka ndio nipate kibarua kingine maisha yamekuwa magumu sana km kuna sehemu unajua unaweza kunisaidia mungu atakubaliki sana elimu yangu diploma business administration.
 
Una uzoefu kwenye kazi gani kulingana na elimu yako? Kama bado hauja pata ni check pm au tuma CV zako kwa email hii travoradriano@gmail.com maana mimi nna kampuni yangu Mkoani Mbeya tunaweza kufanya kazi kulingana na uzoefu wa kazi yako japo kwa mwanzoni tuna lipa kwa kamisheni then tuki ridhika na utendaji kazi wako tuna kupa mkataba wa miaka 3 na zaidi
 
Mkuu nipo hapa pia natafuta kazi...ila ni mwalimu by professional

Mna deal na nn?????
 
Kampuni yako ina deal na nini mkuu??
 
Back
Top Bottom