msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nahisi kama nimefikia hatua ya Kukata Tamaa kiwango cha Mwisho. Naomba msaada wenu Ndugu zanguni

    " Mimi ni member wa Jamiiforums kwa kipindi kirefu kidogo. Nimekuwa nikishirikiana na kushirikishana nanyi mambo mbalimbali ya maisha na pia ya burudani. Nimewaza kwa muda mrefu sana kabla sijaamua kuandika thread hii. Nlikuwa nmeajiriwa na Kampuni moja ya Mambo ya IT na usafirishaji pia toka...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Msaada - Wataalamu wa DSE (Dar es Salaam Stock Exchange)

    Habari ndugu. Naomba kupata elimu ya hawa DSE pamoja na namna ya kutumia hiyo application yao kununua hisa. Ahsanteni.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship

    Naomba msaada namna ya kuandika barua ya kuomba internship.
  4. JamiiForums Tanzania Msaada tutani, Ajira mpya za ualimu

    Habari wanajukwaa wenzangu, natumai mu wazima mkiendelea na mapumziko ya weekend hii. Moja kwa moja nalipanda jukwaa hili nikihitaji msaada kuhusu ajira mpya za ualimu. Kifupi Mimi ni mhandinsi Ujenzi miaka ya 2016 nilibahatika kupata ajira serikalini ya kufundisha kwa kuwasikuwa na pa...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada jamani mambo ya sitemap

    Habarizenu wana Jf matumaini yangu muwazima wa afya. Niende moja kwa moja kwenye topic . Hivi karibuni nime 'create' blog yangu ya extension ya .blogspot ,baada ya kupitia mchakato wa kutosha hatimaye ilifika sehemu ya ku submit url for indexing and crawling , nime google vyakutosha lakini...
  6. U

    JamiiForums Tanzania Gari langu limekua na tatizo la kuzima wakati naendesha

    Kwanza nitangulize shukrani zangu za pekee kwa wanajukwa hili kwa kuwa nimejifunza mengi Naombeni msaada hapa gari yangu ni spacio new model 1zz imekuwa na tatizo la kuzima nikiwa naendesha haswa nikiwa naendesha sehemu ambayo situmii/sikanyagi mafuta huzima na nikijaribu kuwasha inagoma...
  7. JamiiForums Tanzania Msaada kujua gharama ya kufyatua tofali 4,800

    Habari Wakuu. Nahitaji tofali 4,800 kwa ajili ya kuweka fence ya ukuta wa nyumba, ili kupunguza gharama kidogo nimefikiria kukodisha mtu wa kufyatua kwenye site yangu. Sasa naomba anayefahamu anijuze; 1) Zitahitajika cement mifuko mingapi ili kutoa tofali 4,800 2) Mchanga kiasi gani? 3)...
  8. JamiiForums Tanzania Msaada wa suggestions za broker responsive DSE

    Habari, naomba msaada wa kuapata suggestions za majina ya brokers wa DSE ambao kwa experience zenu wapo active, responsive kwa wateja wanaotaka kufanya trading ya kuuza na kununua hisa hasa kwa mihamala midogo midogo. NB. Kwa experience binafsi response sio mzuri mabroker hawajibu. Asante
  9. JamiiForums Tanzania Nahitaji kujua wapi nitapata huduma ya ku convert pound sterling notes kwenda kwa Shilingi za Kitanzania

    Nahitaji kujua wapi nitapata huduma ya ku convert pound sterling notes kwenda kwa hela ya kibongo. Nimejaribu bureau de change za mkoani wakaniambia hawapokeagi wanaishia dollars tu. Hapa bongo wapi niende nikapate huduma chap maana nataka malikia nikamgeuze mashuka ya kimasai niishi nayo this...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada kwa watumiaji wa computer au walio somea information and technology ( IT)

    Habari wana jukwa kama nilivo eleza apo juu mim ni mtumiaji wa computer ila sina utundu nayo sana kwa undani baada yakununua yangu nina kama miezii sita ivi natumia sana san kwa matumizi ya mtandaoni pamoja na kujisomea coz napenda kusoma san mtandaoni. 1;je application gani nizamuhimu kuwa...
  11. JamiiForums Tanzania Msaada: Leseni ya Maudhui ya Mtandaoni TCRA

    Wataalamu naomba kujua, Kama una YouTube Channel na Blog ambayo maudhui yake yanafanana na Channel. Je unatakiwa kusajili leseni mbili tofauti? au Ni leseni moja tu inajitosheleza? Maana leseni kwa mwaka ni Tsh 500,000 - 1,000,000
  12. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada: Dawa ya kupunguza uzito/unene/kitambi

    Wana JF habarini, bila ya kupoteza muda na maneno mengi naombeni mnisaidie ushauri wa dawa nzuri ya kupunguza unene, hasa kitambi. Nawategemea jamani
  13. A

    JamiiForums Tanzania Msaada wa speed ya internet kwenye PC

    Habari ndugu zangu na shida moja kwanzia mitandao irud mimi kwangu speed ya internet kwenye pc ni ndugu saana haijalishi nitumie WIFI(SIMU) au moderm ila kabla ya hapo ilikuwa ina speed nzur tu tena zaid ya sanaaa ila baada ya michaguz yao speed hakuna kabisa
  14. JamiiForums Tanzania Kwa wataalamu wa anatomy naomba msaada

    Wakuu nlikuja na uzi hapa kitambo kuwa nilichaguliwa kusoma clinical medicine nikaomba ushauri nikapewa. Nimeanza masomo ila kuna vitu vinanichanganya kidogo. Basic anatomy na clinical anatomy ni nini maana zake wakuu ?ntafrah sana mkinijuza
  15. M

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada jf members

    Husika na kichwa cha habari hapo juu jamani ndugu zangu nina kama mwez na nusu koo pamoja na ulimi wangu vimekuwa vikinisumbua sana na vidonda sasa stage iliofikia napata hofu sana naomba anaejua dawa jamani msaada niokoe maisha yangu
  16. N

    JamiiForums Tanzania Wataalamu msaada 'Bechet's disease and Oral Candidiasis'

    Wataalamu wa afya msaada wa elimu ya afya,Tunaomba msaada wenu tupate ufafanuzi juu ya haya magonjwa ya kinywa maana yanafanana kwa dalili lakini naangalia approach ya matibabu yake yaweza kuwa tofauti. Tupate mtaalamu wa afya ya kinywa na meno atusaidie.
  17. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri nichague kozi ipi kati ya hivi maana nimevurugwa

    Wakabwa poleni na majukumu, Mimi mdogo wenu nimechaguliwa kozi ya Botanical Science UDSM na mkopo nimepata asilimia zote lakini pia kuna chuo nimepata diploma ya medical labaratory, kulingana na uzoefu wenu wakubwa wa kupima uzito wa hizo kozi mbili je niende wapi? Mimi ndoto zangu zlikua...
  18. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kenya yapeleka maombi IMF ya msaada wa $2.3B kusaidia kuendesha nchi

    Nchi imefilisika ===== Kenya Seeks $2.3 Billion Loan From IMF to Boost Recovery By David Malingha November 22, 2020, 8:59 PM EST Updated on November 23, 2020, 5:47 AM EST State also seeks $1 billion to $1.5 billion from World Bank Finance chief says Kenya yet to decide on G-20 debt...
  19. JamiiForums Tanzania Nawezaje kutuma meseji yenye maneno mengi (ie. zaidi ya 200) kwenye SMS app yangu?

    Habarini wana JF, nahitaji kujua kama kuna uwezekano wa kutweak sms app na kufanya iweze kutuma meseji yenye maneno mengi kama vile 200 na zaidi, hata kama kuna mbinu au application inayoweza kufanya hivyo, naomba tujuzane manake nataka niwe natuma simulizi kwenye app ya ujumbe mfupi na sio...
  20. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwa anaejua jinsi ya kuandika barua Tamisemi ili kufanyiwa re-categorization

    Msaada Wana jamvi jinsi ya kuandika barua na kufanyiwa recategorization kazini pls tusaidiane kidogo.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…