Jamani Modem yangu imekufaje MSAADA

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
417
225
Nina modem ya vodacom zile za zamani sijui nimeikorofisha wapi mara baada ya kui unstall na kui install Join air, hapo ndomkosa likaanzia. zamani ilikuwa ukiichomeka kwenye computer inajiinstall yenyewe automatic lkn sasa hivi wala haifanyi hivyo tena na hata ile dashboard yake haipo kwa hiyo siwezi kui access tena.

Nifanyeje ili irudie hali yake ya zamani?

thumbnail.jpg
 

nshaaa

Member
May 19, 2013
52
125
Ukichomeka hiyo modem unaona files zake (ukifungua my computer, this pc kwenye ile list ya disk drives unaona files modem yako)?

Jaribu ku uninstall hiyo Join Air kwa kutumia software za ku uninstall programs kama Revo, IoBit nk kisha fanya installation upya ya hiyo software ya modem kisha leta mrejesho...
 

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
417
225
Nimekwisha unistall hiyo join air na nikiweka hii modem wala haionekani kwenye my pc. yyani hadi najutia kuiweka hiyo join air nimejaribu kuichomeka kwenye computer nyingine haionekani kabisa. msaada unahitajika
 

teac kapex

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
417
225
Nimekwisha unistall hiyo join air na nikiweka hii modem wala haionekani kwenye my pc. yyani hadi najutia kuiweka hiyo join air nimejaribu kuichomeka kwenye computer nyingine haionekani kabisa. msaada unahitajika
Bado sijafanikiwa
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom