Msaada wa kisheria wa nyumba za kupanga kati ya mpangaji na mwenye nyumba

nyasangaboy

Senior Member
Jul 14, 2020
122
225
Habari zenu wakuu.

Nipo msaada wa wenu mwenye nyumba ananiambia name pasipo kunipa notice ya kujiandaa kuama, nichukue hatua gani?
 

nyasangaboy

Senior Member
Jul 14, 2020
122
225
Zungumza nae akupe muda kidogo kama ulivyo shauriwa hapo juu kisha uhame hapo si vyema kuingia katika mgogoro na mali ya mtu najua wapo watakaojifanya ni mafundi na mabingwa wa sheria watakaokupa ushauri wa kupambana na huyo mwenye nyumba lakini ukae ukijua yanaweza kutokea matatizo makubwa na hatimaye ukaishia kujuta, mswahili sio mtu mzuri.
Huyo mama anafanya kunikomoa kodi inaisha leo na anataka niame kitu ambacho si haki
 

jaji mfawidhi

JF-Expert Member
Feb 20, 2016
9,288
2,000
Habari zenu wakuu.

Nipo msaada wa wenu mwenye nyumba ananiambia name pasipo kunipa notice ya kujiandaa kuama, nichukue hatua gani?
tembea na binti yake, tembea naye tena mara ya pili, na tatu , akianza kutema mate hama mchana kweupe uone kama hjakuomba urudi kukaa bure.
 

nyasangaboy

Senior Member
Jul 14, 2020
122
225
Kama alikupa taarifa mapema kwamba mkataba ukiisha hatokupangisha tena tafadhali ndugu yangu hama hapo mahali na kama amekushitukiza tu wewe ukijua utaendelea tu upangaji basi zungumza nae akupatie muda angalau mwezi mmoja ili ujiandae kuhama lakini ukitaka kusumbuana nae itakuwa tatizo maana uenda kweli huko mtakapopelekana ukamshinda lakini ukweli nakuambia matokeo yake yaweza kuwa mabaya sana.
Kanishtukiza aseee lakin sikuna taaribu kwa sababu hii ni biashara aijiendei tu
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom