Msaada wa nafasi ya kibarua/kazi

shafii77

Member
Mar 18, 2019
45
73
Wadau habari za asubuhi,

Kama ilivyo mm ni muhanga wa kukosa ajira miongoni mwa vijana wengi hapa Tz, hivyo ninaomba kwa mwenye connection ya nafasi ya kazi anisaidie, popote pale ninafanya kazi walau inilipe kuanzia 200k kwa mwezi nitashuku na pia nitatoa dau la Tsh 80k kwa atakayenisaidia kupata mchongo.

NB: Elimu yangu kidato cha 6 nina uzoefu wa kufanya kazi viwandani, maofisini kama storekeeper, na ninaongea lugha ya Kiswahili na Kiingereza.

NAOMBENI MSAADA WANAJAMVI
 
Binafsi nakuombea upate mkuu.. ila nadhani umekosea kukaribisha rushwa katika bandiko lako, kwa maana matapeli wanaweza kuitumia kukupiga..
 
Back
Top Bottom