msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa vifaranga vya Sasso au Kuroiler

    Habari za muda? Kwa yeyote anayefahamu wanapouza vifaranga vya sasso au Kroiler ndani ya Dodoma anifahamishe, au mwenye contact za wakala yeyote wa silverland aliyepo dodoma anipatie, usisahau kunijulisha na Bei. Karibuni!
  2. NAMBA MOJA AJAYE NCHINI

    JamiiForums Tanzania Chama kipya cha Umoja Party kitakapozoa wanachama wengi kwa msaada wa Zitto Kabwe

    Chama chenye nembo ya hayati JPM kimeanza mchaka mchaka wa kutafuta wanachama wake wapya kabisa, kikijitangaza kusimamia falsafa za hayati JPM. Chama HIKI kimeanza harakati zake katika kipindi ambacho hayati anakosolewa Sana mitandaoni na wanasiasa mbali mbali akiwemo Zito Kabwe na Raisi wetu...
  3. GAZETI

    JamiiForums Tanzania Msaada Tunatumia nini baada ya Kickass kufungiwa?

    Kwa wale ambao tulikuwa tunapakua software mbalimbali tulikuwa tunatumia sana hii kitu nakumbuka muda fulani ilifungiwa, naomba msaada wenu wakuu baada ya kufungiwa tunatumia nini?
  4. Son.j

    JamiiForums Tanzania Msaada: Niko njia panda, niendelee na mishe zangu au niombe ajira za Serikali?

    Husika na mada hapo juu. Mimi ni mhitimu wa diploma ya elimu since 2017. Mwaka 2019 nikaaply degree na nilichaguliwa lkn sikwenda baada ya kuwaza sana nikaona nifanye mishe kwanza kwa hela kidogo nliyonayo badala ya kupoteza 3 yrs chuo alaf nianze kuhangaika na ajira, nikiwaza kwamba nitaenda...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mlioomba kazi TANROADS Tabora mlishaitwa kwenye usaili?

    Naomba mnijuze wakuu kwa wale ambao mliomba kazi za Tanroads Tabora, vipi walishaita kwenye interview au watatangaza lini na wanatangaza kupitia website gani? Tafadhali msaada wenu wakuu.
  6. K

    JamiiForums Tanzania Nini kirefu cha RB inayotolewa na Polisi

    Ukienda police unapewa RB JAPO sijuagi kirefu chake
  7. W

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutumia free Facebook

    Sorry kwa usumbufu jamani nina shida nataka nijue jinsi ya kutumia free Facebook yaan niweze kuona picha natumia Facebook lite apk asanteni!
  8. PromiseLand

    JamiiForums Tanzania Msaada: Binti aahirisha kuolewa siku saba kabla ya ndoa; wazazi wake hawana uwezo wa kurudisha gharama za mahari na maandalizi ya ndoa

    Salamu wanajukwaa, Baada ya salamu nijielekeze kwenye mada. Kuna kijana hapa alikuwa kwenye mchakato wa kuoa, amechumbia, amelipa mahari kama M 1.5 na maandalizi ya ndoa yalikuwa yamepamba moto. Kila kitu kuhusu maandalizi ya ndoa kilikiwa kimekamilika siku Saba kabla ya ndoa binti amekataa...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali; huyu mke kila akienda kwao basi hurudi kichwa kinamuuma!

    1. Humwambii kitu na kwao, haswa bibi yake anapoumwa.....yupo tayari hata kukopa nauli akamuone 2. Kila akirudi huko kichwa kinamuuma lkn ndo anapenda kwenda hatari Kuna nini hapa?!!!! Nimeanza kupatwa na wasiwasi
  10. Q

    JamiiForums Tanzania Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa: Umoja Party hakijapata usajili wa muda. Anayetumia bendera, nembo au alama ya chama hicho anakiuka Sheria

    Marufuku mtu yoyote au taasisi kutumia jina, nembo, rangi na alama ya chama cha siasa cha "Umoja Party" hadi mchakato wa kupata usajili wa muda utakapokamilika.
  11. S

    JamiiForums Tanzania Juma Raibu: Sijaondoa msaada wowote niliotoa Moshi, gazeti limetumika kunichafua

    Puuzeni. Mhe. Juma Raibu Bado anaendelea kuwasaidia Wananchi wake na habari za upotoshaji zinazosambaa kwamba ameondoa miundombinu aliyotoa kwa Wananchi NI uongo na uzushi wa watu wanaomchafua. ---- Kesho kutwa nitachangia vifaa vya ujenzi kwa Kata za Mjini Manispaa ya Moshi ili waweze kujenga...
  12. Priscallia

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahisi mdogo wetu wa kike kaongopa kuwa yupo field ila nahisi huenda kafungiwa na Mwanaume huko mkoani

    Kama kuna mwanafunzi anayesoma Chuo cha Mipango Dodoma ama mtumishi wa hicho chuo ama mzazi mwenye mtoto anayesoma hapo naomba anithibitishie hili kuna mdogo wetu namlipia ada katika chuo taja hapo juu kozi ya “Bachelor Degree in Human Resource Planning and Management (BDHRPM). Sasa jumamosi...
  13. MK254

    JamiiForums Tanzania Licha ya mikwara ya Urusi, Marekani ametangaza msaada wa kijeshi $800 million kwa Ukraine

    Putin alimtumia Marekani barua kwamba akiendelea kusaidia Ukraine kijeshi asubiri kitakachotokea, Marekani amejibu kwa kutoa msaada wa kufa mtu, dola milioni 800 sio mchezo aki ya nani huu ni uchokozi, masheikh wa JF pro Putin brigade hii imekaa vipi. =========== With a Russian offensive is...
  14. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anaejua minada au magulio makubwa

    Jamani NAOMBA MSAADA anayejua minada au magulio makubwa ya kila wiki katika MIKOA ya Kilimanjaro, Tanga, Morogoro, Lindi, Mtwara, Songea, Zanzibar, Manyara nk anitajie
  15. Victoire

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna Mume kapigwa na kitu kizito, naomba tuwashauri

    Iko hivi hawa mke na mme wanaishi nchi tofauti ila hapo nyuma walipendana sana tena sana na.wana watoto kadhaa. Sasa mme akapata michepuko hapa Tanzania. Na kuna mchepuko aliupenda sana sana kupita mingine. Mke wake anaishi London na watoto. Sasa kuna siku mme akampigia mkewe simu akimwambia...
  16. luangalila

    JamiiForums Tanzania Msaada Bei ya kioo cha PC Used

    Kuna Pc ina zingua kioo naomba kujuzwa bei ya kioo ised ktk haya maduka ya kkoo
  17. Orketeemi

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Data recovery

    Wakuu kuna movies kwenye PC zilifutwa permanent na mtu ambaye bado sijambain. Naomba msaada wa link ya software nzur inayoweza kuzirecover. Ikiwezekana nielekezwe na namna ya kuitumia. Nitashukuru Sana.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Blog au website

    Habari zenu wanajukwaa Naomba msaada wa nini cha kuboresha ili kuongeza namba ya CLICKS
  19. A

    JamiiForums Tanzania NSSF haina msaada kwa waajiriwa wa sekta binafsi

    Najiuliza lengo la serikali kufuta mifuko mingine na kubakisha miwili tu yaan kwa ajili ya wafanyakazi secta binafsi na serikali sioni sababu Ndugu Wana jamvi mfuko huu wa NSSF una mapungufu yafuatayo 1. Ni taasisi ambayo haifuatilii michango ya wanachama yaani mwajiri apeleke asipeleke kwao...
  20. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania MSAADA KUNA ULAZIMA WA KUCHANGIA UJENZI WA OFISI ZA KISERIKALI

    Wakuu niko dodoma mjini hapa mitaa ya changombe kuna kijana anapita akichangisha fedha za kujenga ofisi ya serikali za mitaa anataka buku kila frame za kubeba matofali naomba kujuzwa nikimtimua kisheria ni kosa au maana buku ni ndogo ila hii serikali imeshatuona wananchi wake ni nyumbu kuna...
Back
Top Bottom