Msaada wa kutuma pesa toka Kenya kwenda Tanzania (Safaricom - M-Pesa)

Nenda menu ya mpesa(Safaricom) baada ya hapo fuata maelekezo usijisumbue kuanza kubonyeza sijui Nyota reli huko hamna tafuta menu ya sim tool kwenye simu yako alafu utaona mpesa
 
Back
Top Bottom