msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Faana

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nini Matumizi ya Hii Button

    Nilikuwa kwenye moja ya mabasi ya Abood, mtu mmoja akabonyeza hiyo button kwenye picha, dereva wa bus akachukua kipaza sauti akamsema vibaya sana na kumtaka aache ujinga, wajuzi wa mambo hiyo button ina kazi gani? Na kama ina hatari kwanini madereva hawatoi angalizo kwa abiria kabla ya safari?
  2. U

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka kuhusu ugonjwa huu wa bata

    Nisaidieni wadau, huo ni ugonjwa gani wa bata? Unatibiwaje? Vifaranga vya bata wangu vinaisha kwani hupoteza uwezo wa kutembea kama muonavyo pichani kisha hufa. MSAADA WA HARAKA WA USHAURI UNAHITAJIKA. Ninawaomba sana wana JF
  3. yohana Malekela

    JamiiForums Tanzania Msaada wa ramani ya nyumba za wapangaji

    Wana Jamiiforums wenzangu khabari za jioni, kwa wataalam wenye talanta na taaluma za mambo ya ujenzi Naomba msaada wa RAMANI ya nyumba ya wapangaji. Ahsante.
  4. K

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa napoweza kupata dawa hizi

    Wakuu kumradhi, nina uhitaji wa hizi dawa kwa ajili ya mzazi wangu, mko niliopo nimetafuta sana hamna, tafadhali msaada!
  5. Mia saba

    JamiiForums Tanzania Ulichukuwa hatua gani ulipotambua unachukiwa bila sababu au unaonekana huna msaada wowote kwa waliokuzuguka?

    Hiko hivi, Nimepata masimulizi kutoka kwa jamaa yangu sana yanayomsibu. 1. Ni mtu wa moyo Safi, Ila atawale aliowasaidia wanamuona nonsense kwa sasa 2. Anasema wakati fulani anasaidia kutoa taarifa kwa marafiki chimbo wanapopata mzigo kea Bei rahisi Ila jamaa zake wakipata sehemu nafuu zaidi...
  6. Gorgeousmimi

    JamiiForums Tanzania Tatizo la kutokwa Jasho lisilo la kawaida katika sehemu mbalimbali za mwili (Hyperhydrosis)- Fahamu Chanzo, tiba, ushauri

    BAADHI YA MASWALI YALIYOULIZWA NA WADAU KUHUSU TATIZO HILI --- --- UFAFANUZI WA JUMLA WA TATIZO HILI Tatizo la kutokwa ana jacho mwilini, mikononi na miguuni: Ugonjwa huo unaitwa HYPERHIDROSIS. Kawaida tunatoka jasho ili kuupoza mwili.Mwili unapokuwa na joto nervesystem inatuma ujumbe...
  7. UZZIMMA

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Namna ya kutatua tatizo la kuzuiliwa kuweka matangazo facebook ukurasa wa biashara

    Jamani wataalam. Nina shida katika ukurasa wangu wa biashara wa facebook. Inaandika BOOST UNAVAILABLE katika post zote. Kiujumla upande wa matangazo AD haufanyi kazi kabisa. Naomba msaada wenu maana mimi naishi kutokana na matangazo baada ya ku-boost katika akaunti yangu ya biashara. Mtu...
  8. Niache Nteseke

    JamiiForums Tanzania MSAADA : Extension Kwenye Namba za Simu Huwa Zinakuaje Wakuu...?

    Heshima kwenu wakuu. Nipo najaza application form ya U.S Embassy kuna sehemu wakahitaji namba za simu halafu chini kuna sehemu ya kuweka Extension, nikasema nije kuwauliza wadau hii ina maana gani kwenye namba za simu wakuu...? Natanguliza shukran zangu za dhati kwenu wakuu. Thanks.
  9. kagombe

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu anasumbuliwa na tumbo

    Msaada jamani shemeji/wifi yenu anasumbuliwa na tumbo muda sana tumeenda hosptali tofauti wakashauri aache kinga za uzazi wa mpango. Amecha na kupewa madawa tofauti tofauti lakini maumivu ya tumbo kichwa ayaishi kama kuna mtu anatiba mbadala anisaidie jamani Asanteni sana
  10. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nilifanya mapenzi na mwanamke akiwa kwenye hedhi, nikalala bila kujisafisha nikaamka nimebabuka korodani

    Bila kuwachosha naomba niende moja kwa moja kwenye mada. Kipindi cha nyuma kama miaka 6 hivi (2014 au 2015) nilimgonga wife akiwa katika siku zake. Kipindi hicho bado nilikuwa sijamuoa, ndio kwanza tulikuwa tunadate, ila tayari tulikuwa tuna mtoto maana nilimpa mimba akiwa anasubiria matokeo ya...
  11. Nuno esparito santo

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi za viwandani msaada anaejua

    Habari yako, Nakuja hapa kuomba msaada kwa yeyote yule mwenye kujua ni kiwanda kipi ndani ya Dar au pwani kinachopokea kibarua naomba anifahamishe maana natafuta kazi kwenye kiwanda chochote kile kinachopokea kibarua. Life langu kwa Sasa nahemea mipila kwa anaejua msaada Wana jf. Asante sana.
  12. luangalila

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Low beam hazina nguvu

    Wadau kwema Mkoko wangu aina ya Raum new model izi za 2007 una shida iyo taja, mwenye kujua shida hii nii solve vipi ..maana ata nikibadilisha bulb bado low beam hazimuliki chini vizuri kwa ule mwanga unaotakiwa Kitu ambacho kimenifanya nitumie high beam ata nikiwa town route za usiku , hii...
  13. Simeone

    JamiiForums Tanzania Simu inaniomba ni sign in google email account ambayo ilikuwemo na haikuwa email yangu bila kuweka hiyo email imegoma kabisa

    WAKUU Natumia TECNO WX3 Jana kuna jamaa yangu kairestore sasa inaniomba ni SIGN IN GOOGLE EMAIL ACCOUNT ambayo ilikuwemo na haikuwa email yangu bila kuweka hiyo email imegoma kabisa kuvuka hii hatua! Wakuu nasolve vipi hili ili kuirejesha katika hali ya kawaida?
  14. Nyaubikra

    JamiiForums Tanzania Msaada wa camera bag

    Hiyo picha inajieleza wakuu Ninatafuta hako kabag original ya hiyo camera ndogo ya canon ixus kama kilivyo mana nimejaribu kuulizia mjini mana niko mkoani watu wa huko wanasema ni model ya zamani kupata original bag ni ngumu. Kama mwenye nacho pm yangu iko wazi. NB:Najua kuna mbadala wa hvyo...
  15. UZZIMMA

    JamiiForums Tanzania Matokeo yangu yamekosewa NACTE, nimehangaika sijapata msaada

    Habari yenu katika ujenzi wa maisha yenu. Nimehitimu chuo 2020 stashahada ya uhandisi majengo katika chuo fulani cha serikali hapa nchini. Tatizo kubwa matokeo yangu yamekosewa katika mfumo wa NACTE na hii imekuwa ni kikwazo nisiweze kuendelea na masomo. JITIHADA NILIZOZIFANYA KWA SUALA HILO...
  16. The Dictator

    JamiiForums Tanzania MSAADA TAFADHALI: Homebase TV imekorofishwa

    Anayejua namna ya kutatua tatizo hili nisaidieni. Dogo amejibonyezea remote ghafla tv imekuwa hivyo
  17. CONSULT

    JamiiForums Tanzania Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada!

    Ushuru wa kuagiza Magari TRA umepanda 104% HATARI kwa siku 3 tu naomba msaada ! ! ! Nissan Atlas Truck tani 1.5 Pick up ilikuwa inalipiwa ushuru sh 5,662,000= leo Calculator ya TRA sh 13,224,989= (CIF 3,665 USD) Mbaya zaidi tayari nilishalipia gari iko njiani kwa ushuru niliouona na kuuhakiki...
  18. Y

    JamiiForums Tanzania Gari yangu inachelewa kubadili gia

    Msaada tafadhali gari yangu aisomi speedmeter, haiwaki sehem ya odo pia inachelewa kidogo kubadili gia mafundi wangu na ina wanachem sjui shidanin
  19. Xiao qui shui

    JamiiForums Tanzania Msaada wanaJF jinsi ya kuepuka vishawishi

    Habari za asubuhi Tangu nihamie mkoa na ninajishughulisha na kabiashara fulani hivi me sio mkubwa kivile nina kama miaka 41-22. Sasa nimekuwa nikiishi nyumba fulani hivi na kuna mama ana kama 25 amekuwa ni kikwazo kwangu kwani kaolewa na ana mtoto m1 Nimekuwa simwelewi coz me ni wale watu...
  20. issac77

    JamiiForums Tanzania Wakuu msaada wenu, Facebook wamelock account yangu

    Nilikiwa nashare mfululizo taarifa kwenye magroups ndio likatokea tatizo Hilo, Nimejaribu kufuata process zote kwa kureniew password lakini imegoma kabisa, Nifanuyeje wakuu, ama ndio tayari sitofunguliwa Tena? Pia nimejaribu kifungua açount nyngine mpya nayo wamelock vile vile
Back
Top Bottom