MSAADA: Naomba Call Recorder Nzuri Kwa Simu za Android Wakuu

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Apr 29, 2020
1,954
2,166
Heshima kwenu wakuu.

Naomba mnijulishe kuhusu Call Recorder nzuri kwa Simu za Android inayoweza ku-rocord simu zote zinazopigwa na kupigiwa ili niweze ku-install kwenye simu yangu na niwe na uwezo wa ku-record kila simu inayoingia na kutoka kwenye simu yangu wakuu.

NAWASILISHA.
 
The best call recorder apps for Android

Automatic Call Recorder by Appliqato
Automatic Call Recorder by RSA
Blackbox Call Recorder
Boldbeast Call Recorder
Call Recorder Automatic
Cube Call Recorder
Otter Voice Notes
SmartMob Smart Recorder
Smart Voice Recorder
Splend Apps Voice Recorder
Bonus: Google Voice
 
The best call recorder apps for Android

Automatic Call Recorder by Appliqato
Automatic Call Recorder by RSA
Blackbox Call Recorder
Boldbeast Call Recorder
Call Recorder Automatic
Cube Call Recorder
Otter Voice Notes
SmartMob Smart Recorder
Smart Voice Recorder
Splend Apps Voice Recorder
Bonus: Google Voice

Mkuu, wee unatumia zote hizi au unatumia ipi kati ya hizo kiongozi...?
 
Mkuu, wee unatumia zote hizi au unatumia ipi kati ya hizo kiongozi...?
kwenye android napenda hii 👇👇👇

8814E84D-66D0-4675-BF92-5AD14AA1CAA6.png
 
Mimi ipo moja nikimpigia inarecodi Kila kitu Ila nikipoga inarecodi maneno yangu tuu harecod maneno ya ninaye ongea nae niliye mpigia
 
Hakuna App ya Call recorder inayokubali simu zote, fanya mwenyewe trial and error, kwa njia tofauti tofauti. Kuna nchi nyingi ni makosa kurekodi simu ndio maana makampuni ya simu yanaminya

Okay nimekupata Chief nitajaribu ku-download app tofauti tofauti nione ipi itakubali kiongozi...!
 
Back
Top Bottom