The Sunk Cost Fallacy
JF-Expert Member
- Dec 1, 2021
- 19,586
- 14,138
Kazi iendelee.
Umoja wa Ulaya umeridhishwa na mwenendo wa mahusiano Kati ya Serikali ya Tanzania chini ya Rais SSH na Umoja huo na hivyo Ili kuunga mkono juhudi hizo wamesaini mkataba wa msaada wa sh.bil.469.4 ..
Kwa mujibu wa Katibu Mkuu wa Wizara ya fedha,fedha hizi zitatolewa ndani ya miaka 7 ijayo .
My take: Kitu misukule ya Mwendazake hawapendi kukubari ni kwamba waliharibu mahusiano na Jumuiya ya Kimataifa na Sasa baada ya mama kuweka sawa na kuunga mkono kwa namna mbalimbali ikiwemo mikopo nafuu,misaada na fursa za biashara na uwekezaji wametunga chorus ya kutembeza bakuli ambayo inazidi kubuma.
======
Serikali ya Tanzania na Umoja wa Uaya zimesaini mikataba mitatu ya Msaada wenye thamani jumla ya Shilingi bilioni 469.4 kwa ajili ya utekelezaji wa mpango wa ushirikiano wa miaka saba baina ya EU na Tanzania wa kuanzia mwaka 2021 – mpaka 2027.
Makubaliano hayo yamefanyika leo jijini Dar es salaam, kwa Serikali ya Tanzania kuwakilishwa na Katibu mkuu wa wizara ya fedha na mipango Emanuel Tutuba ambaye amebainisha kuwa mikataba hiyo mitatu inalenga katika utekelezaji wa mradi wa kuboresha masuala ya jinsia,ambapo takribani Euro Milioni 70 ziatumika.
Katika fedha hizo pia kiasi cha Euro milion 75 zitaelekezwa kwenye ufadhili wa mradi ya kuifanya miji ya kuwa ya Kijani (Green and Smart cities, ) huku euro milioni 35 nazo zitaelekezwa katika ufadhili wa mradi wa Tanzania ya kidijitali (Digital for Tanzania ).
Aidha Tutuba ameuahakikisha ujumbe wa umoja wa Ulaya kuwa fedha hizo zitakwenda kutumika kama ilivyokusudiwa katika mikataba huo