mrembo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Culture Me: Mrembo wa Jamiiforums mwenye akili zake

    Anaandika BICHWA KOMWE:- Huyu bibie nampenda. Kwanza mzuri, mcheshi na ana akili mingi sana. Ukimlishanganisha na makanjanja wengine wenye majina ya kike humu, Culture Me anachukua karata ya turufu. Anashinda asubuhi na mapema. Sijui kwanini lile shindano la mrembo wa Jamiiforums hakupewa...
  2. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Mrembo aliyetengenezwa na A.I asumbua vichwa vya wanaume kwenye mitandao ya kijamii

    Mrembo mmoja wa Instagram ameyashika macho ya wacheza mpira wa miguu maarufu, mastaa pamoja na mabilionea, lakini yote si kama unavyoweza kudhania. @emilypellegrini amejikusanyia followers zaidi ya laki mbili kwenye Instagram ndani ya miezi minne tu. Ingawa picha na video zake zinaonekana kuwa...
  3. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Miss JF 2023: Nani ni Mrembo zaidi kushinda wenzake hapa JF kati ya wanawake wafuatao?

    Kwema Wakuu! Zikiwa zimebaki siku tano mwaka 2023 ukatike. Bila kujali kuwa humu wengi hatujuani na hatuna mpango wa kujuana. Lakini kuna ile kitu inaitwa Schema Yaani kujenga taswira ya kitu, jambo au mtu kabla hujamuona/hujamuona mtu huyo. Je kwa Schema yako, unafikiri ni memba gani humu...
  4. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Mrembo Loveness Tarimo anazidi kutrend Instagram, jinsia yake bado kitendawili wengi hawaamini

    Mrembo Loveness Tarimo ambaye ni Miss Fitness 2019 amezua gumzo kuhusiana na jinsia yake. Wengi hawaamini kama Love ni mwanamke kulingana na namna anavyojiweka ,sauti yake ,kifua chake ,mpaka koromeo pia limekata kiume. Loveness anajihusisha na mambo ya body training ,yeye ni body trainer...
  5. Nobunaga

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni mrembo sawa, ila unapendeka?

    Wanawake wote njooni hapa mpate kufundwa kidogo na huyu mwanamke mwenzenu. Siyo kila siku mnakaa kuwalalamikia wanaume tumebadilika kumbe ni nyie hampendeki. Kuwa mzuri ni jambo moja, ila kupendeka ni jambo jingine kabisaaaa...
  6. V

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Angalia mrembo huyu alivyonijibu, anafaa kweli huyu?

    Angalia mrembo huyu alivyonijibu, anafaa kweli huyu?
  7. ERoni

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrembo wa chuo akosa zawadi ya gari kwenye mahafali yake. Binti zetu mmekuwaje?

    https://youtu.be/ZFv4jnFh-Pg?si=jHxgMeMiFpAmN2Rj Wakuu kama bando lipo ingia hapo uone ni jinsi gani dunia inakwenda kasi. Short description kwa wasio na bundle; Jamaa aliamua kumzawadia girlfriend wake anayemaliza chuo kwa sharti moja tu, " Ataje jina la mpenzi wake. Binti kumbe ana msururu...
  8. Travis Kitengo

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni kweli kuoa mke mrembo ni sawa na kuwa na shamba la miwa karibu na shule ya msingi?

    Nauliza tu wadau..si kwa ubaya...Nick wa pili alitumia muda mwingi sana kumnadi mkewe mtandaoni kwamba ni mrembo.Nahisi Kwa sasa anajutia sana
  9. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mrembo nimfukuze au nisimfukuze?

    Kuna mlimbwende mmoja humu jukwaani, tulikuwa tunabadilisha nae mawazo ya hapa na pale. Baada ya kutumia silaha zake za kivita, ameweza kuniingiza majaribuni na hatimaye kumfanya shetani ashinde. Sasa mlimbwende ameniibukia hapa nyumbani, kusema kweli ni bonge la jimama, na nikimtizama machoni...
  10. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mrembo aliyependeza leo kuliko wote humu ndani, njoo tutoke wote pamoja

    Nipo hapa kaunta, napata nyama kidogo huku nimeshikilia 'glass' ya 'red wine', nikitafakari kusudi la kuumbwa ulimwengu pamoja na viumbe vyake. Sipendi kuwa mchoyo kwa sababu sijafunzwa hivyo; mrembo yeyote anayejiamini na kujiona amependeza kuliko wote, namkaribisha hapa meza kuu. Nawatakia...
  11. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Mwanadada mrembo, nisha ghimire, na kifo chake cha huzuni na upweke kitandani

    Na DaVinci XV Wakati mwingine hakuna umaskini mkubwa kama upweke wakati wa magagasiko na dhiki, wakati ambao unahitaji faraja ya umoja. Wale uliokuwa nao kwenye furaha wanapokuacha kwenye Chumba cha Upweke ni majonzi na maumivu makali ya moyo na akili zaidi ya jeraha la msumari...
  12. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mrembo nahisi anataka kunitapeli mtoto

    Wakuu habari za jioni? Kuna mdada mmoja nilimpenda sana, nikafa nikaoza; nilikuwa tayari nilale njaa ili tu yeye aweze kufurahi. Mahusiano yangu naye, yalikuwa na changamoto sana, huna hela lazima mkorofishane au mtafute sababu mbili tatu mzinguane. Nikajifanya mjinga ili nitundike ki-zygote...
  13. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha, mrembo wa CHADEMA anasherekea siku ya kuzaliwa huku ana hofu ya kuuliwa na polisi

    Hivi ameolewa kwanza? Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe, Rose Mayemba ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuhusu kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa Alichoandika
  14. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Huyu muhudumu mrembo wa kwenye mabasi, ni nani mmiliki wa hii mali?

    Japo si urembo wa kina Beyonce, Rihana, n.k. ila binti kwa ni mzuri si haba Huyu binti mdogo anaehudumu kwenye basi ametokea kuwa maarufu sana kwa mitandaoni watu wakivutiwa zaidi na uzuri wake na jinsi alivyo overall, abiria wengine hukata tiketi ya basi kwa kigezo tu basi liwe na huyu binti...
  15. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Naomba nikutoe "OUT" Mrembo Joannah

    Hii ni kwa ajili yako mtoto mzuri Joannah ,Kiukweli wewe ni mwanamke uliyeko moyoni mwangu,kuanzia huo unywele wako mrefu,lips,kiuno hadi guu la byeeeri. Nimeandaa fungu zito kwa ajili yako mrembo na mtoko huu utakuwa ni kwa wiki nzima na kwakuwa ni mtoko mfupi basi tutaelekea pale hifadhi ya...
  16. Dam55

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume njooni tujibu swali la huyu mrembo!

    Mimi namjibu kama ifuatavyo. Fanya kama mchezo wa kombolela Mwanamume anadokoa kidogo unakimbia sebuleni akikushika anadokoa tena unaponyoka unaludi chumbani anadokoa hakikisha kilA Akidokoa asitumiee sekonde 25. Karibuni kwamajibu zaidi.
  17. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayemfahamu huyu mrembo

    Huyu dada mweupe aliyesimama na kucheza juu ya gari anaitwa nani? Nimetokea kumkubali kwani ana 'swaga'. Povu linaruhusiwa.
  18. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ghetto langu lilinisaliti; Mrembo akanikimbia

    GHETTO LANGU LILINISALITI; MREMBO AKANIKIMBIA! Anaandika, Robert Heriel Vijana jijengeni! Wekeni mambo yenu Sawa kama mnataka hizi pisikali! Wanawake hawana Jema! Wengi ni materialists. Hakikisheni mnaishi sehemu nzuri na vitu vya ndani viwe vimenyooka. Mnyamwezi kama kawaida yangu ikifika...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Mrembo kutoka Oysterbay aliye kamata moyo wa gwiji la Muziki Tanzania na kuwa famous Tanzania nzima

    Wengi wenu mnatambua nyimbo ya Jabari la Muziki Tanzania Marijan Rajab na nyumbo yake maarufu inayo julikana kama "Georgina " huku wengi mkiwa hamjui story ya nyimbo hiyo kwamba ni ya kweli , Georgina ni nani na kwanini nyimbo hiyo ili tungwa na jabari huyo wa Muziki. Georgina...
  20. Equation x

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nipeni mbinu za kumuacha huyu mrembo

    Hivi karibuni, nilikutana na mrembo mmoja ana asili ya kisomali, ila yeye ana mwili jumba. Baada ya kurusha ndoano, mtoto akanasa, tukajikuta tupo kwenye mahusiano. Siku ya kwanza nakutana naye sita kwa sita, ilikuwa ni shoo hatari; kiufupi nilikuwa sijawai kupewa baadhi ya sarakasi, ila pale...
Back
Top Bottom