Hatimaye nimempata anayenipenda, naye ananipenda! Aisee, love is a beautiful thing

Cute Wife

Member
Nov 17, 2023
79
196
Aisee nimekamatika mpaka jana nikatoroka, na leo nimesingizia naumwa ili niwe nae nisiende ofisini. Mimi ni mchapakazi sana na mara ya nyingi ni wa mwisho kuondoka ofisi, lakini naona mapenzi yataenda kufanya kibarua chagu kiote nyasi

Mahusiano haya yenye mwezi sasa yanazidi kunibadilishia misingi ya maisha. Nampenda huyu kijana na sikuwahi kudhani nitasalimu amri kwa mtu kiasi hiki.

Ananipenda sana na kadri siku zinavokwenda hatupoi. Nifanyaje mambo yasibadilike huko mbeleni na kibarua changu kisije kuota nyasi?
 
Ni mapema sana kumjua anekupenda kwa dhati take time umfahamu

Mwanzo mwanzo mapenzi matamu balaa my dia jitahidini wote mmeintain hivohivo!

Kila la kheri

cc Smart911
 
Hongera Mrembo.

20240217_162510.jpg

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
Nilivyosoma Heading Tu Nikasema Uzi Utakuwa Umeletwa Na 'Ke'.

Maana Katika Hii Dunia Nyie Ndio Mnaweza Kusifia Upendo Na Mahusiano.

Acha Niwape Heshima Yenu.
 
Aisee nimekamatika mpaka jana nikatoroka, na leo nimesingizia naumwa ili niwe nae nisiende ofisini. Mimi ni mchapakazi sana na mara ya nyingi ni wa mwisho kuondoka ofisi, lakini naona mapenzi yataenda kufanya kibarua chagu kiote nyasi

Mahusiano haya yenye mwezi sasa yanazidi kunibadilishia misingi ya maisha. Nampenda huyu kijana na sikuwahi kudhani nitasalimu amri kwa mtu kiasi hiki.

Ananipenda sana na kadri siku zinavokwenda hatupoi. Nifanyaje mambo yasibadilike huko mbeleni na kibarua changu kisije kuota nyasi?
Mapenzi karibia yote huanza hivyo hivyo

Je mtaweza kushikilia Bomba?

Hapo ndipo kwenye mtihani
 
Back
Top Bottom