mrembo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Angalia video Hii kisha utoe hukumu kwa haki.

    Binafisi mimi nimetokea kwenye familia ya wafugaji wa mifugo karibia yote yaani mbuzi,kondoo na hata ng'ombe . kipindi tukiwa tunachunga ilikuwa ni fahari sana kulisha mazao ya wakulima tena ikitokea mkalisha na msionwe au kukutwa mtajipongeza kweli. Ukweli usiosemwa ukisikia vita ya wakulima...
  2. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Uzinzi ni mbaya mnoo aisee, nishawahi fukuzia mrembo fulani ananifanyia dharau kumbe mme wa shangazi yake alipokuwa anaishi alikuwa anajilia kisela

    Ngono ni laaana duh, kumbe mtoto alikuwa anapata kila kitu ambacho binti yoyote angekihitaji maana mme wa shangazi alikuwa well-off plus unajua sugar daddy akionga basi anahonga kweli, nyie agemates wake anawaona wahuni tu😁 Aisee ila yule binti hata na huruma kidogo kwamba Shangazi mtu...
  3. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Ali Kamwe hongera sana kwa Kuoa ila umehakikisha kuwa Boss wako Mmoja mharibifu hadi kwa Wake za Wachezaji hatopita pia na Mkeo huyu Mrembo?

    Uzuri wetu wengine Wachezaji wako ni Marafiki zetu na hawatufichi jambo. Boss hapendi vitu vizuri vizuri vimpitie mbali.
  4. Tochuku

    JamiiForums Tanzania Nimetamani kupata dada mmoja mrembo wa kikenya wamenikosha sana

    Nikiwa napata lunch mahali, kwenye tv wanaonesha maandamano yanayoendelea huko Kenya, ila kilichonivutia sio hayo maandamano Bali wadada warembo wasioogopa hata risasi...nikajawa na hisia za mapenzi kwa wadada hawa Kenyans have more bigger b*lls than us tanzanians..sisi ni wachumba tu ... Yan...
  5. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nimekwisha! Huyu mrembo wa Tiktok sijui kama ni binadamu. Toto la Kisandawe

    Habari za Sabato! Mbaya Sana! Basi tena! Akili yangu inanituma kwamba nimeshafika mwisho! Sijui kama hata nitapata nafasi ya kusema neno la mwisho! Maskini mimi! Mwisho gani huu! Taikon wenu! Mtibeli wenu! Nimekosa balansi sheet kutokana na demand schedule ya kijinga Sana. Mimi ni kijana wa...
  6. dorge

    JamiiForums Tanzania Mkulima alivyomtamani mrembo aliyelimwa tayari

    Ni kawaida sisi wanaime kufuatlia Ili kujua yaliyomo yamo. Shida ni matokeo yake
  7. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Unapewa namba na mrembo kuisave True caller inaitambua ...Tinder alfu ya pili ....Badoo...Utaendelea naye ?

    Niaje wakubwa Ni Asubuhi njema na kupendeza, kumekucha kumepambazuka. Eeeh bhana nikiwa kwenye harakati za hapa na pale akapita mdada mrembo aseee. Macho yangu hayakuweza kukatika kwake na nikaona ameingia kwenye mgahawa kupata chakula. Basi namimi mtoto wa kiume nikamfuata.. Nimemsemesha akawa...
  8. Stability

    JamiiForums Tanzania Niko maeneo ya buza getoni kwa shemeji yenu. Sasa mrembo huyu amenipikia haya majitu, sijui ni nini au kunas meseji gani anajaribu kunifikishia?

    Namuuliza, eti yeye ananiambia wewe kulaa bwana
  9. R

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mrembo kuzaa na mwanaume masikini ni mapenzi ya kweli, bahati, hajui kukataa, ushirikina au ni kitu gani ?

    Mabinti warembo / Visu / Pisi Kali huwa wana demand kubwa, atafatwa na wanaume wa aina nyingi, yeye ni kuchagua tu Inapotokea mwanamke mrembo kampenda hadi kumzalia mwanaume masikini huwa ni kipi . Mapenzi ya kweli Ni cha wote Ushirikina / Ndumba Bahati ama kuna cha ziada
  10. Knock life

    JamiiForums Tanzania Mtibeli Robert Heriel yawezekana akawa ndo mwana JF mwenye mwanamke mrembo sana JF nzima

  11. Mjomba Malume

    JamiiForums Tanzania Nimempenda msichana mrembo aliyezaliwa na HIV, nifanye nini?

    Wakuu habarini, Kuna msichana nimempenda kweli,ni mrembo mno, mwenye tabia ya upole na heshima. Shepu yake ni ya kuvunja kiti,kifuani chuchu sindano, nyuma mzigo amejazia wa maana kabisa. Hana kiki wala maigizo na ana heshima balaa. Amenieleza ukweli kwamba anaishi na HIV tangu kuzaliwa...
  12. Sauti ya Mamlaka

    JamiiForums Tanzania Jinsi mrembo alivofanya niende mahabusu kwa mara ya kwanza

    habarin wakuu leo nataka nishare na nyie jinsi mrembo huyu alivonifanya niswekwe mahabusu kwa mara ya kwanza katika maisha yangu ilikua ni siku ya jumapili ya tarehe 30 mwezi march mwaka huu nilipokuwa na mrembo huyu wakuitwa x tulipokua tumetoka kazin mida ya saa mbili kasoro usiku sasa akawa...
  13. Mganguzi

    JamiiForums Tanzania Baada ya kumuona bi sagrada akiwa hoi kitandani nimegundua ni msichana mrembo sana ! Nahitaji kumuoa haraka aachane na siasa aje tutafute familia !!

    Bi sagrada samahani kwa yote sikuwa nimekuona kwa karibu !! Na sasa nimekuona nimegundua unahitaji mapenzi ya kweli kutoka kwangu !! Achana na siasa njoo huku tutafute familia !! Siasa ni mchezo mchafu inakutumia kisha inakutelekeza !! Siasa Haina usawa haioni thamani ya mtu mpaka ufe ndio siasa...
  14. S

    JamiiForums Tanzania Lema: Kuchagua mama bora kwa ajili ya wanao ni muhimu zaidi kuliko kuchagua mke mrembo kwa ajili yako

    "Choosing a good mother for your kids is more important than choosing a beautiful wife for yourself... Please say it again !!!" Godbless Lema
  15. S

    JamiiForums Tanzania Mrembo Loveness pande flani akiwa na mtunisha misuri mwenzake

    Katika pozi mjarabu kabisa🙂 Wa upande wa kushoto viatu vyekundu mtunisha misuri loveness
  16. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi bado hamasa ya maneno ya mdomoni na ubunifu wa maandish vinaweza kukupatia mrembo kama zamani au siku hizi unakaguliwa kwanza ndio utupe sound?

    Zamani unakuta unakalili wimbo wa westlife ili uuchomeke ndani ya mistali ambayo utakayokuwa unampiga mtoto mzuriz na kusema kwwli mtoto alikuwa ana appreciate kikamilifu haswaa. Ila sasa hivi katoto ka miaka 20, kanakuanaglia juu hadi chini kama unafanania mtu wa kumpeleka beach wiki mara 3😂😂
  17. Equation x

    JamiiForums Tanzania Hawa warembo, wana nia nzuri kweli na mimi?

    Siku ya ijumaa nilikuwa napiga misele ya mtaa kwa mtaa, baada ya kutembea umbali mrefu kiasi, nikakutana na warembo wawili wamesimama wanabadilishana mawazo; walikuwa wamevaa suruali pamoja na vitopu. Zile suruali walizovaa, ziliwachora vizuri maumbo yao. Kimoyo moyo, nafsi yangu ikatokea...
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Ang'oa mrembo mhudumu wa Betting baada ya kushinda milioni 36 za Mkeka

    Wakuu, Mwana kang’oa pisi kali Jamaa mmoja kutoka Uganda ana-trend baada ya kushinda milioni 36 kwenye betting. Baada ya ushindi huo, mhudumu wa mapokezi katika kituo cha betting aliamua kuacha kazi yake mara moja na kuwa mpenzi wake, kisha wakaondoka pamoja. Pia, Soma: Mchungaji afunga...
  19. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Mrembo huyu wa Boda boda awavutia wengi, anaswa akienda kwenye Mitikasi yake

    Mrembo huyu amewavutia wengi baada ya kunaswa barabarani na kamera akienda kwenye Mitikasi yake, akiwa kwenye pikipiki yake.
  20. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Miss JF2024: Nani Mrembo(mwenye mvuto) kuliko Wengine humu JF

    Mpo salama Wakuu! Mwaka Jana FaizaFoxy aliibuka kidedea Kwa kuwa Mrembo zaidi humu JF ingawaje wengine walisema ni mwanaume Wengine wakasema ni Bibi kikongwe. Lakini yôte Kwa yôte yeye ndiye aliibuka kidedea. Sasa Kwa Mwaka huu tutakuwa na orodha ifuatayo. 1. Midekoo 2. Palina 3. binti kiziwi...
Back
Top Bottom