Angalia mrembo huyu alivyonijibu, anafaa kweli huyu?

Vitz06

New Member
Jul 16, 2021
4
38
Angalia mrembo huyu alivyonijibu, anafaa kweli huyu?

Screenshot_20231027-132427.png
 
Pathetic,
Unaombwa 30,000 dunia nzima inajua. Kwanza 30,000 atanunua Nini maskini?
Wenzio wanahonga Land cruiser LC200 na hiyo Ni nyumba ndogo. Halafu wewe, kwa siku unatumia sh ngapi kwa matumizi yako binafsi?
Ningempata mwanamke anayeniomba kiwango kidogo Kama hicho ningemjengea nyumba mbili.
 
Hali ya uchumi pia mnatofautian ko nibora tu ungekaa kmy tu kaka
 
Back
Top Bottom