mrembo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Frumence M Kyauke

    JamiiForums Tanzania Rick Ross atoka kimapenzi na mrembo mwingine ajulikanaye kama Pretty Vee

    Mtandao wa MTO News umeripoti kuwa Rapper Rick Ross yupo kwenye mahusiano mapya ya kimapenzi na msanii wake ambae pia ni rapper Pretty Vee. Mapema mwaka huu, Rozay alimsaini Pretty Vee katika record label yake ya Maybach Music na vyanzo vya habari vya MTO vinasema kuwa Pretty Vee amekuwa...
  2. E

    JamiiForums Tanzania Kuna mrembo mmoja anautesa moyo wangu nimeamua kumwimbia huu wimbo na hii ndio picha yake yupo humuhumu

    Maisha ni safari ndefu sana, tunapitia vikwazo vingi. Katika harakati zangu za utafutaji nimejikuta moyo wangu umenasa kwa mrembo ambaye mnamwona kwenye hii picha. Nimeamua kumwimbia huu wimbo ili aweze kujua ni jinsi gani namjali na kumpenda. Tafadhari popote ulipo mama najua unatembelea...
  3. Ramon Abbas

    JamiiForums Tanzania INAUZWA AC inauzwa kwa bei nafuu

    Outdoor Air Condition Gas Imejaa sana ni Mpya kama inavyoonekana wakuu. usafiri unapewa buku 5. Ipo Kijitonyama (Kijitonyama iko Dar es salaam kwa wenzangu na mm wa mikoani) Bei laki Tatu na Nusu tu Namba ya mwenye mali ninayo nakuunganisha fresh
  4. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Gwajima: Eti nilikamatwa na mrembo, kwani warembo wana ubaya gani?

    High drama in the Gwajima clan! So is this a tacit admission that it indeed was him in that homemade sextape?
  5. Saint Ivuga

    JamiiForums Tanzania Anayedaiwa kuwa 'Mzee Mathias Gwajima' amtaka Dkt. Dorothy kutotumia jina la Gwajima

    Amewataka: : Waziri wa afya na naibu wake wajiuzulu : Dorothy ni mke wao : Amemsifu Ndungulile kwa sababu alitumbuliwa kwa kusimamia ukweli wake kipindi cha meko : Akipata mtu wa kumuelewesha ataelewa ila hawa easily hawafai ni vigeu gemu. : D oroth anasema nilikamatwa na...
  6. Nyendo

    JamiiForums Tanzania Waziri Gwajima: Askofu Gwajima ni shemeji yangu, alidai atamfufua Chifupa pia alikutwa na Mrembo akasema mkono wa Baunsa

    Waziri wa Afya, Dkt Gwajima leo ameelezea suala askofu wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima kupinga chanjo ya Covid-19 na kudai pamoja na ushemeji walionao haungani na itikadi zake. Pia ameshangaa wanaomuamini akitolea mfano wa Askofu kudai atamfufua Amina Chifupa kitu ambacho...
  7. I

    JamiiForums Tanzania Ulijijuaje kuwa wewe ni mrembo sana?

    1. Ulikuwa na umri gani na ni nini kilisababisha kujua kuwa wewe ni mrembo? 2. Baada ya kujua wewe ni mrembo ulichukua uamuzi gani? 3. Je, unadhani urembo wako umekupa faida gani ya msingi ukilinganisha na wale ambao si warembo?
  8. Amina68

    JamiiForums Tanzania SoC01 Manka binti mrembo, Mzaliwa wa Machame na mkazi wa Tandale alivyobahatika kuacha ukahaba mpaka kuwa dereva Ikulu

    Kwa majina naitwa Manka, Mzaliwa wa Moshi Machame, mkazi wa Tandale Dar es salaam. Nilifanikiwa kuanza masomo yangu ya msingi Dar, na kufanikiwa kujiunga masomo ya Sekondari shule wanafunzi wenye vipaji maalumu Tabora Girls, ambapo nilisoma mpaka kidato cha nne, na kufanikiwa pia kuendelea na...
  9. Haluahalua020

    JamiiForums Tanzania Je, kutongozwa na wanaume wengi ofisini inamaanisha kuwa mwanamke ni mrembo sana au ni easy target?

    .
  10. Area 56

    JamiiForums Tanzania Picha: Shamila (Shamy_BK) ndio mrembo mwenye shepu kwasasa bongo

    Huyu mrembo ana trend sana huko IG naona ameanza kumpiku yule Poshy Queen. Hivi hawa wanakula nini jamani maana sio kwa shepu hizi? Kwasasa sidhani kama kuna mrembo anamzidi huyu bibie.
  11. ujanja

    JamiiForums Tanzania Nimeamua kuachana naye kwa sababu ana mahusiano na wanaume wengi

    Niliwahi kukutana na binti ni mwaka sasa umepita nilikua na.date ila rasimi nimejitoa takribani wiki sasa, Msichana ni mrembo mzuri, ana shape alafu kiumri ni mdogo sana yuko under 22, ukimwangalia sura kama ya kitoto. Ila nlkua nadate nae mpaka mama ake anajua, ila hajatulia maana wki mbili...
  12. jitombashisho

    JamiiForums Tanzania Mrembo kutoka Rwanda

  13. Mr Q

    JamiiForums Tanzania Kutana na mrembo Khumbu. Shabiki wa kaizerChief

  14. Lameckjr

    JamiiForums Tanzania Mrembo wa Tips lounge aliyenifanya nikaokoka

    Kama ilivyokawaida yangu wikiend nikiwa bored ilikuwa ni kawaida kabisa kucheki boda boda au uber afu na drop maeneo ya Bata Batani Ilikuwa the same case kuna demu flani nilikuwa namsuburi mageto, na nilikuwa na hamu naye sana lakini sasa alichelewa sana nikaona isiwe case ngoja niende zangu...
  15. B

    JamiiForums Tanzania Ni sehemu gani nzuri kwa kumtoa out mwanamke unapokutana naye siku za mwanzo?

    Wanajopu tupeane uzoefu kidogo hapa je ni sehemu ipi nzuri kwa kumtoa out mwanamke mnapokuwa katika uhusiano wa mwanzo ili afurahi na aone umemtendea vyema. Nikifikiria kwenda naye club nahisi atakuona kama mtu wa viwanja sana na ikampa wasiwasi juu yako kama yeye si mtu wa kwenda katika kumbi...
  16. N

    JamiiForums Tanzania Huyu mrembo simuelewi kabisa

    Nipo kwenye mahusiano na mrembo takribani miezi sita hivi. Huwa anakuja kwangu nakuspendi nights. Kinachonishangaza sana ni kwamba juzi kati amekorofishana na baba yake na ameamua kwenda kukaa na rafiki yake hostel. Hana kazi na wala biashara. Sijajua sababu ya kwenda hostel coz at times she...
Back
Top Bottom