mrembo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Nyamongo kulikuwa na mwamba anaitwa Kenonke, historia yake inamfanya Jombi aonekane Mtoto mzuri

    Kwa miaka mitatu mfululizo niliamua kufanya utafiti wa kina maeneo ya Arusha, Mbeya na Mara, utafiti huu ulikuwa hasa ukiangalia kwa ukaribu maisha ya Nyokaa, Kenonke na Jombi. Nilikaa maeneo hayo yote kwa miezi 6, kuzungumza na watu waliokaa na hii miamba, wahanga wa matukio ya hawa jamaa nk...
  2. The unpaid Seller

    JamiiForums Tanzania Wanawake hebu kuweni makini na ikulu zenu kama kukiwa na harufu inakata mzuka wote

    Peace be with you all, Week hii niko Dodoma kwa masuala fulani. Jana jioni baada ya mizunguko wakati narudi hotel (Morena hotel) kabla sijafika round about kutokea Mipango nikamuona kimwa asee kimwana haswaa. Demu ni mkali hatari sikua na mzuka na wanawake kutokana na deal fulani kwenda ovyo...
  3. mangyi

    JamiiForums Tanzania Nawaza kupita na huyu mrembo

    Wakuu naamini mu wazima na mnaendelea vizuri na TOZO. Mimi nimekutana sana na visa vya kupendwa na wake za watu kimasihara sihara mpaka nahisi ni pepo. Wadada single nawapata kwa nadra sana. Ila kati ya hao wote kuna huyu mmoja ambae alitokea kuzama zaidi. Huyu binti ni mrembo haswa picha...
  4. Muaza saadala

    JamiiForums Tanzania SoC02 Mbingu kumi na nne

    MBINGU KUMI NA NNE Tanzania ni binti mrembo wa Kiafrika ambaye kwa bahati mbaya alifiwa na wazazi wake pamoja na mdogo wake wa kiume akiwa na umri wa miaka kumi na mitano tu.Ilichukua masaa kadhaa tu kumfanya binti huyu mrembo kuuitikia upweke uliobisha hodi ndani ya nafsi yake na kumfanya...
  5. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Mwana JF, Binti Mdada Mzuri Mrembo, Juliana Shonza, leo ametokelezea sana na amechangia vizuri!. Mshuhudie kupitia Bunge Live!

    Wanabodi Baadhi ya wabunge wa Bunge la JMT ni active members wa JF, mmoja wao ni Mhe. Juliana Shonza Baada ya kuchangia hotuba ya bajeti ya TAMISEMI, leo tena Mhe. Juliana Shonza anachangia mjadala wa Bajeti Kuu ya Serikali. Kiukweli mwana JF huyu binti mdada ambaye pia ni mzuri na mrembo...
  6. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Aaliyah ndio mwanamke mzuri na mrembo kuliko watangazaji wote wa kike East Africa

    Ana sura nzuri. Ni mrembo. Anapendeza kila nguo. Ana swaggs. Ana mvuto. Hakuna mtangazaji yoyote wa kike anaemfikia East Africa.
  7. Poker

    JamiiForums Tanzania Mrembo na tajiri huddah Monroe ajinasibu yeye haachwi bali anaacha yeye!

    Huddah Monroe mrembo matata sana mwenye pesa kuliko star yoyote wa Tanzania amejinasibu kuwa hajawai kuachwa na mwanaume, na huwa yeye ndio anawaacha wanaume akishawachoka. Pia alipoulizwa nini hasa anapenda kwa anapokuwa kwenye 6*6 alikiri anapenda kunyonywa mbususu yake; na kama mwanaume ni...
  8. chimamii

    JamiiForums Tanzania Nipokeeni binti mrembo

    Habari zenu mabwana na mabibi, nimekuja jukwaani kushirikiana nanyi. Nikaribisheni basi kwa bashashaa!
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Nilipeleka Posa kwa binti mrembo, nimeitwa Kisabengo

    Kwema Wakuu! Tokea Tangazo la Walamba Asali kujitangaza kuwa Mzinga wa nyuki umejaa pomoni ukifurika asali, wakasema huu ndio wakati wa Kula masega ya asali na asali yake. Nilidhamiria kujiunga na umoja wa familia za Walamba Asali kivyovyote. Wapo walionibeza kuwa ninapenda mserereko, wengine...
  10. 44mg44

    JamiiForums Tanzania Pendekeza jina la unayedhani ni mrembo kuliko wote hapa, mshindi baada ya comments 20

    Wadau mi nimeona ni jambo zuri warembo wetu tuwashndanshe, il tujue nan ni miss JamiiForums. Pga kura kwa mtu mmoja tu, kura yako itaharbka kama utapgia wawil au zaid, karbun wajomba.
  11. Area 56

    JamiiForums Tanzania Huyu mrembo kwasasa namuelewa sana, Tanzania kuna wanawake wazuri jamani

    jamani kama ni uzuri huyu binti amejaaliwa, kuanzia shape, sura mpaka rangi. Tutajenga kweli kwa mtindo huu? Yuko wapi yule aliyesema Tanzania hakuna watoto wazuri?
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Sina sauti kwa huyu mrembo, ananichanganya sana

    Tangu nilipokutana naye tu, nakuwa namuwaza yeye; Ana sura nzuri, nywele ndefu, mweupe, mwili wa kuvutia, umbo namba nane, chura ya wastani yakuvutia (curvy), sauti nzuri ya kubembeleza; hasa pale anaponiita baby, mume wangu; najikuta naishiwa nguvu kabisa. Nikamwambia; 'unanikoleza sana bibie...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Mrembo mkali akiendesha basi la Tilisho

  14. M

    JamiiForums Tanzania Unapomvua nguo binti mrembo na kukuta mwili wake una chale kibao huwa unapata picha gani?

    Umeenda mahala kula mzigo na una hamu kinyama na binti mrembo na anakubali umtafune na umvue nguo zake. Lakini ukimvua tu nguo unakutana na chale mwili mzima za kila aina. Hapa unapata picha gani? Utapiga mzigo na kunasa? Binti ni mzee wa kazi?
  15. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Rasmi Mrema anafunga ndoa Kanisani na mrembo wake mweupe...

    Mwenyekiti wa TLP, Augustine Lyatonga Mrema anafunga ndoa na Doreen Mrema, leo Machi 24, 2022 katika Parokia ya Uwomboni, Kiraracha Mkoani Kilimanjaro. Mrema ambaye aliwahi kushika nyadhifa mbalimbali serikalini, kuwa mbunge na kugombea urais wa Tanzania, amekula kiapo cha ndoa katika misa...
  16. John Haramba

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume afariki akifanya tendo la ndoa, mwanamke asema "Alihema kwa kasi kisha akaanguka pu!"

    Mwanaume mmoja amefariki dunia wakati akiwa faragha na mpenzi wake katika nyumba ya wageni kwenye ghorofa moja jijini Nairobi. Taarifa za Polisi zinasema, Joseph Ngaruiya umri miaka 40, anadaiwa kupata shida ya kupumua akiwa na mpenzi wake katika vyumba vya Myra, Jumatatu, Februari 28, 2022...
  17. Aizna

    JamiiForums Tanzania Mahusiano ya kimapenzi na majuto ya huyu dada mrembo

    VIP
  18. Uswiss

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mrembo kanipanda kichwani hataki kuondoka nyumbani kwangu

    Ni binti mzuri tu anavutia sana nilikutana nae kwa mara ya kwanza kwenye mkesha wa mwaka mpya tena kanisani. Baada ya siku tano nikamtongoza tukawa wapenzi. Jumapili iliyopita nilifanikiwa kumleta maghetoni na kula mzigo kwa mara ya kwanza. Sasa ndugu msomaji huyu mrembo toka aje Jumamapili...
  19. W

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waanza kufaidi madarasa yaliyojengwa kwa Pesa za Tozo na mkopo wa COVID-19

    Wanafunzi wa Kidato cha 1 kwa mwaka wa masomo 2022 ambao wameanza kutumia madarasa mapya yaliyojengwa kutokana na fedha za mpango wa maendeleo kwa Taifa na mapambano dhidi ya Uviko 19. Tukio tukio limefanyika katika Shule ya Sekondari Karibuni ambapo DC Jokate ametumia fursa hiyo kumshukuru...
  20. Poker

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mrembo na mwenye mafanikio Afrika Mashariki na Kati

    Anaitwa Huddah Monroe! Amezaliwa mwaka 1995 october 10 huko Kenya. Elimu yake ni form 4 au high school kwa huko kenya. Amejizolea umaarafu kutokana na majarida ya ulaya na marekani kumtaja kama mwanamke mrembo zaidi kuwahi kutokea kwa africa mashariki na kati, ambapo inaaminika afrika mashariki...
Back
Top Bottom