Natafuta Mdada/Binti wa kazi Smart Mwenye Elimu Kuanzia Form 4 kwa ajili ya kazi ya duka

The bump

JF-Expert Member
Nov 22, 2019
1,136
1,952
Eneo Duka Lilipo : DAR - STOP OVER

MAJUKUMU :

1.Kuuza Vitu Dukani

2.Kuwashawishi Wateja Kununua Kwa kuwaelezea Faida na Hasara ya Kutotumia Bidhaa Husika.

3.Usafi wa Vitu na Duka Zima kwa Ujumla

4.Ku record Mauzo ya Siku husika/Matumizi ya Siku Nzima,nk.

SIFA ZA BINTI ANAEHITAJIKA

1.Uwe na Elimu ya Kutosha kujua Hasara na Faida ya Kitu unachofanya Hapa Duniani.

2.Uwe Atleast Umefika Form Four na kwenda Chuo Chochote kile au Elimu zaidi ya Hiyo pia.

3.Uwe Mrembo/Msafi/Unaejipenda Kuanzia Mwili wako mpka Mavazi Yako.

4.Ujue Kusoma/Kuandika/Kuongea/Kusikia Kingereza kwa Ufasaha.

MUDA WA KAZI

JUMATATU - JUMATATU

Hamna Mapumziko yakukaa nyumbani siku nzima Bali kuna siku za Kupumzika kwa masaa kadhaa..

Kufua na Kufanya Usafi Unapoishi Utachelewa kuja/kuingia kazini.

Kupunguza Uchovu ili ulale uondoe uchovu Utachelewa kuja/kuingia kazini.

MUDA WA KUINGIA/KUTOKA KAZINI

12:00 ASBH (kuingia)
4:00 USKU (kutoka)

NOTE :

Kama hauna vigezo husika usije inbox, Naomba Wataokuja wawe tu Wahusika wahitaji.

NAULI ya KUJA kazini na Kuondoka 2000 itatolewa kila siku.

Ni NNJE ya MSHAHARA...
 
Kwa masharti haya, nina uhakika mshahara haupungui 1M (Take home).
 
Nahtaj...Mshahara shiling ngap??
 
Kitu Cha kwanza inatakiwa ujue muda wa kufanya kazi kwa mujibu wa Sheria kwa wiki ni masaa 45.
Unamtoa mtu saa nne usiku lazima apande bodaboda.
Unamweka mtu toka 12 asubuhi Hadi saa nne usiku bila pesa ya chakula.
Utapata wafanyakazi sababu Wana shida ya ajira Ila watakuwa hawakai.
 
Back
Top Bottom