Binti mrembo pisi kali, kwao maisha mazuri lakini ni kondakta wa Basi

MELEKAHE

JF-Expert Member
Nov 19, 2023
434
1,967
habari ya jumamosi.

ukweli mabinti wa kichaga wana tofauti kubwa na makabila mengi. sio wavivu na hawachagui kazi.

mfano hai ni huyu dada kondakta wa bus. shule amesomeshwa tena shule nzuri, kwao maisha mazuri, vijana wanasema mboga saba ila kazi yake huyu dada ni kondakta wa bus.

nawaza tu kwa uzuri huu na maisha mazuri kwao , wangekuwa nao hawa dada zetu wazaramo, je wangekubali kazi ya ukonda ?

ms_b.eth_1706949562629(1).jpeg


ms_b.eth_1706949624657.jpeg


ms_b.eth_1706948510164(1).jpeg


ms_b.eth_1706949355903.jpeg



 
Vip ukija kugundua anakaa kwa mjomba na mjomba ndio mwenye hio nyumba kapeleka kwenye mabasi yake ili asimamie huduma

Pointi ya kuchukua hapa ni kweli mwanamke mrembo anapambana maana alikuwa anauwezo wa kudanga ila kaamua kupambana


Japo hapa napo sio sana kuamin...maana saizi mpaka watumishi wanadanga so kazi sio kigezo


SIo kila unachokiona mitandaoni kipo km kilivo
Hii dunia 90% ya habari hazina ukweli zimepindishwapindishwa

Ndio maana unakuta mtu anaingia bonge la mgeti nyumbani ila vocha anakuomba ya buku

Au niungie luku hata ya 2k
 
Wewee,mzazi mie siwezi kuwa na hela nisimpe mtaji mwanangu afanye biashara aje kuwa na hela kama mimi akawe konda,hao wazazi ukiona hvyo wameshakata pumzi kwenye mpunga

Huyo dada ana biashara ya kuuza nguo kinyerezi. Mara nyingi anakuwaga dukani kwake kinyerezi. Kwao huyo dada ni kinyerezi mwisho.

Na tilisho ni ma bus ya ndugu yake
 
Back
Top Bottom