mrembo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Equation x

    JamiiForums Tanzania Huyu mrembo nimfukuze au nisimfukuze?

    Kuna mlimbwende mmoja humu jukwaani, tulikuwa tunabadilisha nae mawazo ya hapa na pale. Baada ya kutumia silaha zake za kivita, ameweza kuniingiza majaribuni na hatimaye kumfanya shetani ashinde. Sasa mlimbwende ameniibukia hapa nyumbani, kusema kweli ni bonge la jimama, na nikimtizama machoni...
  2. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mrembo aliyependeza leo kuliko wote humu ndani, njoo tutoke wote pamoja

    Nipo hapa kaunta, napata nyama kidogo huku nimeshikilia 'glass' ya 'red wine', nikitafakari kusudi la kuumbwa ulimwengu pamoja na viumbe vyake. Sipendi kuwa mchoyo kwa sababu sijafunzwa hivyo; mrembo yeyote anayejiamini na kujiona amependeza kuliko wote, namkaribisha hapa meza kuu. Nawatakia...
  3. Da Vinci XV

    JamiiForums Tanzania Mwanadada mrembo, nisha ghimire, na kifo chake cha huzuni na upweke kitandani

    Na DaVinci XV Wakati mwingine hakuna umaskini mkubwa kama upweke wakati wa magagasiko na dhiki, wakati ambao unahitaji faraja ya umoja. Wale uliokuwa nao kwenye furaha wanapokuacha kwenye Chumba cha Upweke ni majonzi na maumivu makali ya moyo na akili zaidi ya jeraha la msumari...
  4. Equation x

    JamiiForums Tanzania Huyu mrembo nahisi anataka kunitapeli mtoto

    Wakuu habari za jioni? Kuna mdada mmoja nilimpenda sana, nikafa nikaoza; nilikuwa tayari nilale njaa ili tu yeye aweze kufurahi. Mahusiano yangu naye, yalikuwa na changamoto sana, huna hela lazima mkorofishane au mtafute sababu mbili tatu mzinguane. Nikajifanya mjinga ili nitundike ki-zygote...
  5. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha, mrembo wa CHADEMA anasherekea siku ya kuzaliwa huku ana hofu ya kuuliwa na polisi

    Hivi ameolewa kwanza? Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Njombe, Rose Mayemba ameandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuhusu kumbukizi ya siku yake ya kuzaliwa Alichoandika
  6. R-K-O

    JamiiForums Tanzania Huyu muhudumu mrembo wa kwenye mabasi, ni nani mmiliki wa hii mali?

    Japo si urembo wa kina Beyonce, Rihana, n.k. ila binti kwa ni mzuri si haba Huyu binti mdogo anaehudumu kwenye basi ametokea kuwa maarufu sana kwa mitandaoni watu wakivutiwa zaidi na uzuri wake na jinsi alivyo overall, abiria wengine hukata tiketi ya basi kwa kigezo tu basi liwe na huyu binti...
  7. TUKANA UONE

    JamiiForums Tanzania Naomba nikutoe "OUT" Mrembo Joannah

    Hii ni kwa ajili yako mtoto mzuri Joannah ,Kiukweli wewe ni mwanamke uliyeko moyoni mwangu,kuanzia huo unywele wako mrefu,lips,kiuno hadi guu la byeeeri. Nimeandaa fungu zito kwa ajili yako mrembo na mtoko huu utakuwa ni kwa wiki nzima na kwakuwa ni mtoko mfupi basi tutaelekea pale hifadhi ya...
  8. Dam55

    JamiiForums Tanzania Wanaume njooni tujibu swali la huyu mrembo!

    Mimi namjibu kama ifuatavyo. Fanya kama mchezo wa kombolela Mwanamume anadokoa kidogo unakimbia sebuleni akikushika anadokoa tena unaponyoka unaludi chumbani anadokoa hakikisha kilA Akidokoa asitumiee sekonde 25. Karibuni kwamajibu zaidi.
  9. enzo1988

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayemfahamu huyu mrembo

    Huyu dada mweupe aliyesimama na kucheza juu ya gari anaitwa nani? Nimetokea kumkubali kwani ana 'swaga'. Povu linaruhusiwa.
  10. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Ghetto langu lilinisaliti; Mrembo akanikimbia

    GHETTO LANGU LILINISALITI; MREMBO AKANIKIMBIA! Anaandika, Robert Heriel Vijana jijengeni! Wekeni mambo yenu Sawa kama mnataka hizi pisikali! Wanawake hawana Jema! Wengi ni materialists. Hakikisheni mnaishi sehemu nzuri na vitu vya ndani viwe vimenyooka. Mnyamwezi kama kawaida yangu ikifika...
  11. W

    JamiiForums Tanzania Mrembo kutoka Oysterbay aliye kamata moyo wa gwiji la Muziki Tanzania na kuwa famous Tanzania nzima

    Wengi wenu mnatambua nyimbo ya Jabari la Muziki Tanzania Marijan Rajab na nyumbo yake maarufu inayo julikana kama "Georgina " huku wengi mkiwa hamjui story ya nyimbo hiyo kwamba ni ya kweli , Georgina ni nani na kwanini nyimbo hiyo ili tungwa na jabari huyo wa Muziki. Georgina...
  12. Equation x

    JamiiForums Tanzania Nipeni mbinu za kumuacha huyu mrembo

    Hivi karibuni, nilikutana na mrembo mmoja ana asili ya kisomali, ila yeye ana mwili jumba. Baada ya kurusha ndoano, mtoto akanasa, tukajikuta tupo kwenye mahusiano. Siku ya kwanza nakutana naye sita kwa sita, ilikuwa ni shoo hatari; kiufupi nilikuwa sijawai kupewa baadhi ya sarakasi, ila pale...
  13. F

    JamiiForums Tanzania Mrembo Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Masoud Kipanya

    Source: TBC Television. Aliyewahi kuwa Miss Dar City centre na Miss Ilala mwaka 2003, Nargis Mohamed akiri kuwahi kuwa mpenzi wa Mtangazaji wa Clouds FM Masoud Kipanya. Nargis ameyakiri hayo Jana usiku akihojiwa na Mtangazaji wa TBC Halid Gangana. Hata hivyo Nargis Mohamed amesema kwa sasa...
  14. M

    JamiiForums Tanzania Yanga SC ikishinda leo na Kufuzu Fainali CAFCC nawakabidhi Mke wangu Mrembo mserebuke nae kwa Siku 3

    Dua zangu zote kwa Marumo Gallants FC leo huko Kwako Afrika Kusini.
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Mrembo asiyepiga mizinga mwenye swaga, tutoke naye siku ya Iddi; muhimu kufurahi na marafiki

    Mrembo gani ambaye ni mkali sana asiyepiga mizinga humu, tutoke naye siku ya sikukuu ya Iddi. Siku ya sikukuu ni siku ya kufurahi na marafiki; kama una sifa tajwa njoo hapa jukwaani ujieleze namna usivyonipiga mizinga katika siku ya kufurahi na marafiki.
  16. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Kuna Mrembo kutoka Afrika Magharibi anataka kunitapeli huko mjini Gmail. Ngoja tuone

    Thread was deleted
  17. Hance Mtanashati

    JamiiForums Tanzania Calisah "amvua nguo" mrembo, amchana kweupe

    Baada ya mrembo Shakila kutoka Kenya kusema kwamba kuanzia sasa na kuendelea eti atakuwa anatoza dollar 50 ambazo ni zaidi ya laki moja ya kitanzania ili akujibu tu meseji yako uliyo M DM. Sasa bhana Calisah akaja chaaap kumuumbua 🤣🤣🤣kumbe bwana huyo demu anajifanya staa kumbe naye wale wale...
  18. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Wahu (mke wa Nameless) ametimiza umri wa miaka 43 leo Machi, unakumbuka nini kuhusu huyu mrembo?

    Wahu, yule mke wa Nameless ametimiza umri wa miaka 43 leo Machi,2023 unakumbuka nini kuhusu huyu mrembo?
  19. Mtu Asiyejulikana

    JamiiForums Tanzania Usione anatembea amependeza mrembo hivi. Usijaribu kabisa utajuta

    Eti umemwona mwanamke mrembo anapendeza ukavutiwa naye umtongoze? Basi jua unalolitafuta utalipata. Soon ukishakuwa naye tu utagundua ana matatizo ya kodi, mtoto au watoto, mzazi wake mgonjwa, anadaiwa. Anahitaji ada mzazi wake ameshindwa ,hana pesa ya matumizi na matatizo mengine kede wa...
  20. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Utundu na ubunifu wangu ndani ya 6X6 unavyowadatisha mashangazi warembo

    Wasalaam JF Jamani mapenzi ni utundu na ubunifu, hivi vitu ni sumaku ya mahaba, na hutiririsha chemichemi ya kugandwa kimahaba. Utundu na ubunifu wangu wa kutumia vidole vyangu vyote vya mikono na miguu ndani 6by5, 6by6, nimevuna dodo la kale au ukipenda mshangazi mrembo. Si kwingine ni hapa...
Back
Top Bottom