Huyu muhudumu mrembo wa kwenye mabasi, ni nani mmiliki wa hii mali?

Status
Not open for further replies.

R-K-O

JF-Expert Member
Jun 27, 2023
482
2,138
Japo si urembo wa kina Beyonce, Rihana, n.k. ila binti kwa ni mzuri si haba

Huyu binti mdogo anaehudumu kwenye basi ametokea kuwa maarufu sana kwa mitandaoni watu wakivutiwa zaidi na uzuri wake na jinsi alivyo overall, abiria wengine hukata tiketi ya basi kwa kigezo tu basi liwe na huyu binti.

Kwa sasa yupo kwenye mabasi ya BM, hii ni baada ya BM kumpa ofa nono zaidi kuliko alikotoka.

Ila swali linaloumiza vichwa ni kwamba, nani anaimiliki hii mali ?

Photo by Nayce Moshi on May 08, 2023. May be an image of one or more people, hair, people smil...jpg

Photo by Nayce Moshi on May 09, 2023. May be an image of one or more people, people smiling an...jpg

Photo shared by Nayce Moshi on June 11, 2023 tagging @johntilisho837. May be an image of 1 per...jpg
 
Haka kabinti kametokea kuwa maarufu sana huko kwenye mabasi huku watu wakivutiwa zaidi na urembo wake na jinsi alivyo overall, abiria wengine hukata tiketi ya basi kwa kigezo tu basi liwe na huyu binti.

Kwa kifupi ni kawa maarufu kiasi kwamba wamiliki wa basi la Bm wamemnunua kutoka kampuni yake ya zamani.

Ila swali linaloumiza vichwa ni kwamba, nani anaimiliki hii mali ?

View attachment 2695526

View attachment 2695527

View attachment 2695517
View attachment 2695518
Tanzania imejaa mabwege wengi.
 
Hana tako
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom