mpya

  1. J

    JamiiForums Tanzania Makonda: Suala la Pauline Gekul, CCM ina taratibu na kanuni zake kuanzia Ngazi ya Tawi, hivyo kama likifika Taifani tutalitolea taarifa

    Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amesema kuhusiana na swala la mbunge wa Babati mh Gekul, CCM ni Chama kikubwa na kina taratibu makini Kuna Vikao Vya nidhamu na Maadili kuanzia Tawini na kuendelea hivyo kama kuna lolote litathibitika Vikao husika vitachukua hatua stahiki na kama litafika Ngazi...
  2. JamiiForums Tanzania LATRA yatangaza ongezeko la nauli za Safari za Masafa Marefu na Mafupi kuanzia Desemba 8, 2023

    Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri Ardhini (LATRA) imetangaza mabadiliko ya nauli katika safari za masafa marefu na masafa mafupi baada ya kupitia maoni ya wadau wa usafiri nchini. Kwa mujibu wa LATRA nauli za safari zisizozidi kilometa 10 ambayo nauli yake ilikuwa shilingi 500 sasa itakuwa 600...
  3. JamiiForums Tanzania VIDEO: Rais wa Sudan na Mwenyekiti mpya wa EAC alivyoshindwa hata kujua Marais wa Nchi nyingine

    Viongozi wa Mataifa ya Afrika wana shida gani jamani? Kwanini uendelee kung'ang'ania Madarakani wakati una hali mbaya kiafya? Kazi yenyewe ya stress sana bado ukomalie kubaki hapo badala ya kulea Wajukuu. Hapo anaonekana pamoja na kuwa na Karatasi ya Hotuba bado anashindwa kutaja majina ya...
  4. JamiiForums Tanzania Mara: CHADEMA yakagua Mfumo mpya wa Tume ya Uchaguzi wa kuandikisha wapiga kura

    Hii hapa ni kata ya Ikoma Jimbo la Rorya Mkoani Mara. Moja ya Kata ambazo zimeteuliwa na kinachoitwa Tume ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania katika kinachoitwa maboresho ya Daftari la Kudumu la wapiga kura. CHADEMA inafuatilia jambo hili ili kutengeneza ushahidi na kujiridhisha na kila...
  5. JamiiForums Tanzania Kwanini Barabara mpya kwa Jiji la Dar es Salaam zinajengwa kwa njia 4?

    Kipimo cha uwezo wa mwanadamu kama anafikiri sawasawa ni namna anavyofanya mambo yake kulingana na wakati husika. Dar es Salaam ndo Jiji Kuu la Biashara la Tanzania. Sio hivyo tu, ndo Jiji lenye watu wengi zaidi Tanzania na kadri siku zinavyozidi kwenda idadi ya watu inazidi kuongezeka. Kwa...
  6. JamiiForums Tanzania PPRA Kukosa Umakini: Kunahitaji miujiza ili mfumo mpya wa ununuzi NEST, ufanikiwe

    Mfumo wa ununuzi wa TANePS pamoja na changamoto zake, ulikuwa mfumo mwepesi kujisajili na kuutumia. Changamoto zilizoifanya TANePS iondolewe, ni hizo hizo zinaikumba NEST kwa sasa. Mfano ilikuwa inalalamikiwa kwamba mfumo wa TANePs ulipokuwa na hitilafu za kiufundi, ilipaswa kuitafuta kampuni...
  7. JamiiForums Tanzania Tetesi: Zuberi Katwila kocha mpya Simba

    Fundi wa mpira na Mbabe wa soka aliyenoa vilabu vingi nchini kutoka Ihefu fc,Zuberi Katwila anatazamiwa kutangazwa kuwa kocha mkuu wa club ya Simba yenye makazi yake Msimbazi, Kariakoo. Inasemekana pande zote mbili wameshafanya makubaliano na tayari kocha huyo wa vikombe amekabidhiwa timu kwa...
  8. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa BRICS waonyesha nguvu mpya katika mabadiliko ya mfumo wa kimataifa

    Mkutano wa kwanza tangu kuongezwa kwa nchi wanachama wa BRICS ulifanyika wiki iliyopita, ambapo rais wa China, Xi Jinping, alitoa hotuba na kusisitiza kuwa, ni muhimu kwa nchi wanachama kukutana kwa wakati huo na kupaza sauti kwa ajili ya haki na amani kuhusu suala la Israel na Palestina...
  9. JamiiForums Tanzania Rapa Sean 'Diddy' Combs anatuhumiwa kwa ubakaji katika kesi mpya

    P. Diddy amekumbwa na kesi nyingine ya unyanyasaji wa kingono. Nguli huyo ameshtakiwa katika Mahakama Kuu ya Manhattan akidaiwa kumnyanyasa kingono mwanamke ambaye alimnywesha dawa za kulevya mnamo mwaka wa 1991 katika mojawapo ya kesi zilizofunguliwa chini ya Sheria ya Watu Wazima...
  10. L

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa BRICS waonyesha nguvu mpya katika mabadiliko ya mfumo wa kimataifa

    Mkutano wa kwanza tangu kuongezwa kwa nchi wanachama wa BRICS ulifanyika wiki iliyopita, ambapo rais wa China, Xi Jinping, alitoa hotuba na kusisitiza kuwa, ni muhimu kwa nchi wanachama kukutana kwa wakati huo na kupaza sauti kwa ajili ya haki na amani kuhusu suala la Israel na Palestina...
  11. JamiiForums Tanzania Mkakati Mpya wa CHADEMA wa kuifuta CCM Majimboni waanza vizuri

    Labda kwa wale ambao hawaelewi ni hivi , Chadema sasa imeamua kuchukua wananchi wote na kubakisha viongozi pekee , yaani wananchi wote wanakuwa wanachadema halafu ccm inabaki na Viongozi tu . DED , DC , POLIS , MAYOR , RC , MAWAZIRI , WABUNGE pamoja na familia zao , kwa hesabu hawafiki hata mil...
  12. JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake, kwanini mnaacha vitu vyenu mkitutembelea?

    Aliyesema tuishi na mwanamke kwa akili hakukosea, Hawa viumbe wana mbinu nyingi za kivita Leo nawaletea hii moja iko hivii Kuna mbinu imezuka mtu anakutembelea akitoka anaacha chochote, Hereni /khanga /Kyupi 😀😀 JAMAA YANGU ALALAMIKA, baada ya kuzagamuana na mrembo X, hakujua Kama aliacha...
  13. JamiiForums Tanzania Nilikuwa nausuburia kwa hamu uzi mpya wa simba utoke ila kwa haya ma mo mo moooo yaliyojaa kwenye jezi mtavaa wenyewe

    Siwezi kuvaaa hii jezy aisee
  14. JamiiForums Tanzania Uzi mpya wa Yanga: Tofauti ya wanaovaa na wanaostiri mwili

    Wale wenzetu wao wanatupia viwalo ili tu kustiri maungo yao. Ila huku kwetu tunatupia ili kuvaa Tumewapiga uwanjani na tumewapiga mtaani Ule uzi wa Yanga unaweza ombea kura za urais wa JMT na ukapata kwa ushindi wa kishindo Hakuna kama Yanga
  15. JamiiForums Tanzania Mchambuzi Farhan: Simba wametupiga kwenye jezi

    FARHAN: SIMBA WAMETUPIGA. Labda CEO atusaidie kidogo majibu ni kwamba hakuna Mdhamini mwingine wa kuweka hela ama? MO XTRA zipo mara mbili, juu kulia na moja kubwa mbele kifuani, kabisa hakuna brand nyingine? Jezi moja ina matangazo mawili ya kufanana? Tajiri anatoa mzigo yes lakini hii ya...
  16. JamiiForums Tanzania Simba msitafute kocha mpya kipindi hiki, mtakurupuka tena.

    Hakuna kocha mzuri asiyekuwa na timu ya kuifundisha, na hakuna timu bora inaweza kuachana na kocha na mchezaji bora katikati ya msimu labda kwa dau kubwa la kufa mtu. Simba haina fedha ya kubwa ya kuzinyanganya timu bara wachezaji na makocha wao bora kabla ya mwisho wa msimu. Hamna haja ya...
  17. JamiiForums Tanzania Tetesi: Ni yaleyale mlete mzungu. Fernando Da Cruz kocha Mbovu eti ndio kocha mpya Simba, basi Viongozi hawajitambui

    Wametafuta mzungu asiye na timu anayezulula tu mtaani wakaongea nae. Ifikie sehemu tuheshimu wazawa. Dili la viongozi kupiga Pesa ndefu kwa Mo limekaribia kutiki. Huyu kocha hajawahi kuongoza timu yoyote ile kwa miaka miwili mfululizo. Anaishiaga nusu msimu. Viongozi wanaweka siri ili watu...
  18. JamiiForums Tanzania CPT wasema Katiba Mpya ni Kipaumbele Alfa na Omega, Wataja Vipaumbele 28 vya Dira ya Taifa Kuelekea 2050

    Profesa Kitila Alexander Mkumbo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Waziri mwenye dhamana ya kusimamia utendaji wa kazi za Tume ya Mipango Chama cha Wanataaluma Wakristo Tanzania (CPT) kimeadhimisha kwa kishindo kumbukizi ya miaka 40 tangu kilipoasisiwa na wanataaluma wakristo...
  19. JamiiForums Tanzania Kijana mpya ndani ya WCB Wasafi

    Dvoice_Ginnii Congratufuckinlations kid Hakika hii ni nafasi ya kipekee ambayo maunderground artists wengi huitamani sio kwamba hawana vipaji, hapana Ila Kila mmja anapata kwa wakati wake kwahiyo itumie vizuri nafasi hii mdogo wangu 👏 Wanajamii support kipaji kipya hiki. #SwahiliKid #WCB4LIFE
  20. JamiiForums Tanzania RASMI: WCB wasafi wamtambulisha msanii wao mpya; D VOICE

    Katika usiku wa SWAHILI NIGHT iliyoandaliwa na lebo namba moja ya muziki nchini Tanzania; tarehe 17 november, wamemkaribisha msanii ambaye atakuwa chini ya Lebo hiyo ajulikanaye kwa jina maatufu kama D VOICE. D VOICE si msanii mgeni sana katika masikio ya wapenda burudani ya mziki nchini...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…