Hakuna Pombe, Sigara wala kukatika katika klabu mpya ya Kikristo. Je unaweza Kwenda?

Wild Flower

Member
Jul 20, 2023
80
96
Klabu mpya ya Kikristo iliyopo Nashville, Tennessee, Marekani, inayojulikana kama The Cove, imeanzishwa kwa ajili ya waumini wa Kikristo wenye umri wa miaka 18 na zaidi wanaokusanyika kwa lengo la kuabudu na kucheza pamoja.

Miongoni mwa sheria za klabu hii ni marufuku kuvuta sigara, hakuna matumizi ya pombe, na aina fulani za michezo ya kucheza. Aidha, orodha ya nyimbo inayoruhusiwa ni ya kidini tu, ikilenga kuleta mazingira ya ibada.

The Cove ilianzishwa mwaka 2023 ikiwa na lengo la kuunganisha vijana wa Kikristo nje ya nyumba za ibada.
 
Hamna video ya namna wanavyocheza ili tuige?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom