Matapeli wa simu wamekuja na mbinu mpya

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Apr 9, 2021
2,102
2,717
Unatumiwa msg unaambiwa kama unahitaji mkopo jibu MAX kwenye hii msg halafu utapata mkopo was sh 3000.

Ukijibu MAX unapata msg ambayo inasema umefanikiwa kupata mkopo.

Halafu ukijaribu kuingia katika internet unashindwa.

Line yangu ni ya TIGO.

HII ni mara ya pili napata matatizo na TIGO kuhusu hii mokopo.

This is serious. Kuna mwingine amepata tatizo hili?

Halafu naitafuta Ile msg ya kitapeli,naona ime-disappear, ingawa sikumbuki kui- delete.
 
Maisha haya, hadi mtoto wa Nyerere anakopa 3000 ya Bundle. Wacha Abdul apambane sasa mama akiwa kwenye kiti asije akawa kama huyu First born wa Nyerere. Mungu awasaidie kwa kweli.
 
Back
Top Bottom