Phone4Sale Samsung galaxy S10e mpya imetumika mwezi mmoja tu inauzwa laki 3 na Nusu

Meneja Wa Makampuni

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
6,328
8,246
Wakuu.
OFFER: Samsung galaxy S10e mpya imetumika mwezi mmoja tu inauzwa laki 3 na Nusu

Specification:

Kwanza kabisa ina wireless charging system

Yaani unaweza kuchaji kwa kuilaza juu ya simu nyingine.

RAM 6 GB
Storage 128 GB
BATTERY
Type Li-Ion 3100 mAh, non-removable

Charging15W wired, PD2.0
15W wireless (Qi/PMA)
4.5W reverse wireless

MEMORY
Card slotmicroSDXC (uses shared SIM slot) - dual SIM model only
Internal128GB 6GB RAM,
UFS 2.1

Hii simu inauzwa kwasababu nataka kununua iphone 14. Hivyo nauza kuongezea pesa.

Mawasiliano:
Call/Whatsapp: 0687746471

20240318_100332.jpg


20240318_100317.jpg

20240318_100634.jpg

20240318_100348.jpg
 
Siku hizi kununua mali mkononi labda niwe namfahamu muuzaji.

Hizi gadgets hizi mmmh, unakuta ishawekwa bugs kama hardware kisha kila hatua unayopiga unao.

Lakini namuombea jamaa apate soko
Na siku hizi ndo mitindo yao hii..
Kuna bugs nyingine zinakuwa zinaingilia Mifumo ya Fweeedhaaa
 
Siku hizi kununua mali mkononi labda niwe namfahamu muuzaji.

Hizi gadgets hizi mmmh, unakuta ishawekwa bugs kama hardware kisha kila hatua unayopiga unao.

Lakini namuombea jamaa apate soko
Hakika...anaweza pata waliokaribu nae...humu kuaminika ni ngumu kidogo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom