Nikiwa ninapata utambuzi wa akili Nimebahatika Kushuhudia Uongozi wa mwisho wa Mwalimu Nyerere, Uongozi wa Mwinyi, Uongozi wa Mkapa wote, Uongozi wa kikwete.
Katika Uongozi wote huo sikuwahi kuona vijana na Viongozi wakisifiwa Kama wanavyosifia kwenye uongozi wa Magufuli na Rais Samia.
Kukiwa...
Kama itapendeza Chaguzi zote zisogezwe mbele kwa muda wa miaka miwili na Rais aendelee kutawala na kumpa muda wa kuandikwa kwa Katiba Mpya ili uchaguzi uwe huru na wa haki.
Mambo yote yanayobishaniwa mfano Rais kumchagua Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi, Rais kumteua Mkurugenzi wa Uchaguzi...
Wizara ya Uchukuzi ya China hivi karibuni inakadiria kuwa idadi ya watu watakaosafiri wakati wa Chunyun itafikia bilioni 9, kiwango ambacho kitakuwa rekodi mpya katika historia.
Chunyun, maana yake ni kilele cha usafiri wa abiria wakati wa Tamasha la Mwaka Mpya wa Jadi wa Kichina. Kipindi cha...
Naomba kufahamu je ni miaka mingapi mwajiriwa mpya wa jeshi la magereza atalazimika kukaa kabla ya kuruhusiwa kuoa au kuolewa?. Kuna ndugu ameuliza swali hilo ili afanye maamuzi ya kujiunga na jeshi hilo. Tafadhali anayejua kwa uhakika naomba anijuze.
Nimewaza na kuona Kama Rais anahangika sana kubadilisha mawaziri, makatibu wakuu kiongozi, wakuu wa usalama wa Taifa, Ma IGP, Ma CDF, makatibu wakuu na sasa tunaona Makatibu wakuu wa CCM na Wenezi lakini bado matatizo ya wananchi yako pale pale tena ndiyo yanazidi kuwa mabaya.
Ushauri wangu...
1. Lilipo Kanisa Katoliki
2. Uliko Uwanja wa Mazoezi wa Mpira
3. Baa za Vinywaji vya Bei nafuu
4. Vijiwe vikubwa vya Masela / Wahuni
5. Vijiwe vya Tamu za Kibaiolojia
6. Zilipo Ofisi za CCM na Kituo cha Polisi
7. Eneo la Makaburi
Haya wana Mapinga Kiaraka kaeni tayari Kunipokea Ndugu yenu...
Wakulungwa kumekuwa na matangazo ya nyumba mpya zinazouzwa Chanika, Chamazi na kwingineko kila kona sasa watu wengi sana wamekuwa na hofu wakitaka kufahamu usalama wa hizi nyumba isijekuwa kuna janja janja
JF wapo watu hapa ni wajanja wa kufahamu mambo katika jiji hili la Dar es Salaam ingekuwa...
Katika nchi yetu tatizo la msingi siyo sheria za uchaguzi, Tatizo la msingi ni katiba mbovu inayozaa mfumo mbovu wa uongozi na utawala, mfumo mbovu wa haki na mfumo mbovu wa uwajibikaji.
Nashangaa chama kikuu cha upinzani ambacho kinajua wazi kuwa mzizi wa fitina ni katiba mbovu, hakina...
Ndugu wananchi, waandishi wa habari, wanachama wenzangu na watanzania kwa ujumla Asalam aleikum...., bwana Yesu asifiwe...., tumsifu Yesu Kristo.
Ndugu zangu waandishi wabari leo nimewaita hapa kwa lengo la kuweka mambo sawa kuhusu mustakabali wangu na wa chama changu.
Mtakumbuka miaka kadhaa...
Naona Wizara ya Elimu kushirikiana na TAMISEMI wanaendelea kufanya maboresho kwa walimu juu ya uelewa na utekelezaji wa mtaala mpya ulioletwa.
Shida yangu iko pahala, Maafisa Elimu ngazi za mikoa na wilaya wao walipitia mtaala huu kwa semina wezeshi takribani kw asiku 5, baadae wakafuata...
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kuwachosha na maneno mengi. Habari zinapenya kwamba mama anatarajia kufanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa hivi punde na kwamba Ole Sabaya ndiye atakayeteuliwa kuwa mkuu mpya wa mkoa wa Da res Salaam.
Chanzo changu cha habari kutoka viunga vya Dodoma...
Mganga Mkuu wa Serikali, Profesa Tumaini Joseph amesema Serikali ina mkakati wa kutumia TEHAMA ili PF3 ziwepo kwenye mifumo ya utoaji huduma za hospitali ili kusaidia wagonjwa kupata huduma kwa wakati.
Mdau wa JamiiForums.com kupitia shindano la Stories of Change (2023) aliwahi kushauri mambo...
Mapendekezo yamesambaa kila kona. Ni mpuuz pekee atasapoti kufuta somo la uraia na general studies
Kuona mwalimu mwenye degree anajua kuliko mwenye diploma katika level za sekondari ni mjinga pekee atakuelewa. Awali sheria ilimtaka mwenye degree afundishe 3 to 4, diploma 1 na 2 ilikuwa bora...
Jambo la kwanza ni torture. Utesaji wa inmates ambao unafanywa na polisi pamoja na TISS. Kumkamata mtu na kumweka mahabusu au kumweka jela haionekani kwamba ni adhabu ya kutosha kuwashikisha adabu watu.
Jambo la pili, watuhumiwa wa uhalifu wakati mwingine wanalawitiwa huko jela,kama sehemu ya...
Hakuna kama Yehova,
1. Nimefanya utafiti wa kina na nimebaini BBC sio chombo Cha habari tena Cha kuaminika duniani,
2. Katika utafiti wangu pia nimegundua BBC ni chombo Cha habari kinachoendeshwa na mashoga kwa 100%
3. Zaidi sana nikagundua ndio chombo kilichojipa kazi ya kupambana na Mungu...
Wanabodi,
Sina uhakika sana humu JF, lakini kati ya JF members wanaozungumzia sana, Katiba, Sheria na Haki, mimi ni mmoja wao.
Nimeandika sana kuhusu katiba, sheria na haki toka enzi za JPM. Rais Samia alipoingia, nimeandika sana kuhusu katiba, sheria na haki.
Rais Samia alipounda Kikosi...
Habari wanajukwaa, mwenzenu kila nikipost nyuzi(thread) lakini nikitaka kuview comments na kujibu hoja post hizo huwa hazionekani, Bali zinaonekana za zamani tu. Au Mimi nakosea namna ya kuoperate. Majibu tafadhali au muongozo........
Daaaah, Dizasta Vina anaachia Albamu lakini hakuna hata uzi mmoja unaozungumzia!!!?
Yaani watu wanamjadili tu Mwijaku wakati Dizasta vina ameachia albamu!!!?
Okay, basi ngoja niingilie kati, maana hizi dharau sasa!
Siku ya jana (Tarehe 6 Januari mwaka 2023), Dizasta Vina AKA Black Maradona...
Suluo mkurungenzi mkuu binafsi nakuamini, pale Arusha kuna mabasi yameandikwa Oldonyosambu-King'ori via stand ndogo, Intel-Kikatiti-via stand ndogo na kadhalikq maana vituo viko viko vingi. Mh. Suluo ukweli ni kwamba hakuna anayeshimu hiyo ratiba.
Hakuna basi linaanzia huko yote yanaanzia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.