mpango

  1. B

    JamiiForums Tanzania Serikali yaanza kugwaya kwa 'utajiri' walioutangazia ulimwengu, Tanzania kukosa mikopo nafuu na misaada

    Dodoma 20, 2019 WAZIRI MPANGO: Baada ya Uchumi wa Tanzania 'kufanya vizuri' kumepelekea Kupungua kwa misaada na kumeathiri baadhi ya miradi ya maendeleo nchini Serikali imesema kupungua kwa misaada ya maendeleo kumeathiri baadhi ya vyanzo vya ugharamiaji wa miradi ya maendeleo nchini na hivyo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Kilichotokea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, ndicho kitakachofanyika 2020 ikiwa ni mpango wa Rais Magufuli kubadili Katiba kuondoa ukomo wa Urais

    Vitimbi na vituko vikivyotokea katika uchaguzi wa serikali za mitaa, mpaka kupelekea CCM kudai kushinda kwa asilimia mia moja serikali za mitaa na 99.8 vijiji. Hizo ni njama zilizopangwa kuwahadaa Watanzania na ulimwengu wa kimataifa ionekane kuwa CCM na Rais Magufuli wanakubalika sana hivyo...
  3. elivina shambuni

    JamiiForums Tanzania Serikali Kupitia Kwa Waziri wa Fedha Dokta Mpango Yaiomba AFDB Kujenga Barabara Njia Nne Morogoro Hadi Dodoma

    WAZIRI wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango ameiomba Benki ya Maendeleo ya Afrika kuipatia Tanzania mkopo nafuu kwa ajii ya kujenga barabara ya njia Nne kuanzia Morogoro hadi Dodoma ili kuboresha usafiri na usafirishaji wa abiria na mizigo Dkt. Mpango ametoa ombi hili Jijini Dodoma...
  4. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Huu ni wakati wa kuwafundisha wanafunzi njia za uzazi wa mpango kikamilifu ili tuweze kupunguza mimba za utotoni

    Mambo yamebadilika! Hakuna anayeweza kubisha! Nasi hatunabudi kubadilika, miaka ya nyuma kumfundisha mtoto kuhusu uzazi wa mpango ilichukuliwa kama ni jambo baya, lakini kwa hali ilivyo sasa elimu hii ya uzazi wa mpango ni yawote kuanzia watoto under 18 na vijana Elimu hii iambatane na elimu...
  5. Narumu newz

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hamonize kujitoa Wasafi ni mpango wa Wasafi kumzika Ali Kiba

    Habari zilizo chini ya kapeti ni kwamba Harmonize bado yupo Wasafi ila kinachoendelea ni drama ya kuhakikisha Ali Kiba anayeyushwa kwenye gemu. Mashabiki wengi wa Kiba watavutwa kwa Konde Boy company ambayo iko chini ya WCB, mpango huu umesukwa na jopo la wakongwe wanaomsimamia Mondi akiwemo...
  6. K

    JamiiForums Tanzania Hongera Wazalendo Industries ltd - Arusha kuweka mpango kutengeneza pikipiki

    Kutokana na gazeti la leo "Daily News" 31/10/2019 kuonyesha kwamba hawa "Wazalendo Industries Ltd" Arusha wana mpango kuanza kutengeneza pikipiki kutokana na kwamba sasa hivi wanatengeneza vifaa vya pikipiki, naona kweli watasaidia vijana wengi kupata ajira na kujikwamua katika maisha magumu...
  7. J

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro awaonya watakaojaribu kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020

    Inspekta Jenerali wa polisi Simon Sirro ametoa onyo kali kwa wote watakaojaribu kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020. Kamanda Sirro amesema jeshi lake limejipanga sawasawa kukabiliana na sintofahamu yoyote endapo itajitokeza. IGP Sirro ameyasema hayo jijini Mwanza...
  8. figganigga

    JamiiForums Tanzania Buriani mradi wa Liganga na Mchuchuma

    ULE msemo kuwa chelewa chelewa utamkuta mwana si wako umejidhihirisha wazi kwenye suala lauwekezaji wa mradi wa Liganga na Mchuchuma wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo mwekezaji, Sichuan Hongda Group yuko njia panda kwa kukosa mwelekeo na kuungwa mkono. Kampuni imesema madai yote yalikuwa na...
Back
Top Bottom