Siri imefichuka: Kiunganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma siyo Zitto Kabwe ni Dkt. Phillip Mpango

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,961
141,957
Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.

Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango ndiye amekuwa akiratibu mambo mengi ya maendeleo ya mkoa wa Kigoma.

Maendeleo hayana vyama

cc: Zitto Kabwe
 
Unapafahamu Buhigwe lakini wewe....acha kudanganya watu... Zitto ni Kigoma na Kigoma ni Zitto. Sijawahi mkubali kwa baadhi ya mambo ila amepafanya Kigoma kuwa tofauti. Wakati nyie mnatishiwa taa na rami za mitaani Kigoma zipo. Hebu kukubali basi japo kwa machache mtu kafanya. Hongera Zitto kwa kuifanya Kigoma kuwa ilivyo leo
 
Taa hata Arusha kwa Lema zipo!
 
Kama kimeingia chochote kitu basi hakuna tatizo.
1600023575-picsay.jpg
 
Sasa mwananchi na Mkuu wa nchi nani anatakiwa aijue nchi-eneo lake sana...yaani wewe wa kuja kisa tumekasimisha madaraka basi ujue vumbi la ndani wapi limejificha kuliko mimi mwenyenyumba? Hebu tuweni na heshima na wananchi, wanajua nani amekuwa mkombozi wao. Hizi nyingine ni kelele tu
 
Back
Top Bottom