Nazunguka hapa JNIA, sijaona mkusanyiko wa aina yoyote

Status
Not open for further replies.

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,395
3,901
Niko nazunguka zunguka hapa JNIA, Kwenye shughuli zangu lakini pia niko naangalia mikusanyiko ya watu kama wapo sioni dalili ya mkusanyiko.

Maana yake mambo ya wahamasishaji wa mitandaoni kutokutii mamlaka za nchi zimepuuzwa wananchi wako kwenye msiba mzito na maombolezo ya Kitaifa.

Wananchi wameielewa Serikali na wanaitii serikali yao ningeiomba serikali isimsumbue Tundu Lissu ili CHADEMA wamuweke kuwa mgombea wao ili tuone kama atapata hata diwani mmoja.

Na nina uhakika akikosa diwani hata mmoja ili baada ya uchaguzi akiwa na aibu ya kushindwa kesi zake zianzie hapo hapo.

Ahsanteni sana watanzania kwa kuendeleza jadi yetu.
 
Hii nchi ina matatizo sana..., kwanini tupangiane maisha ?, hata kama mtu anataka kwenda kumpokea Lucifier wewe inakuhusu nini ? Au hata akitaka kwenda kushangaa ndege ina shida gani kwako ?, Hizi taasisi zipo pale kutulinda sio kutupangia maisha..., na wewe kama wewe hutaki kitu usipangie wanaokitaka.., no matter hata kama ni minority...
 
Wewe uko dunia gani ......!? LIssu anarudi kesho tarehe 28 ............... Au ulitegemea watu wakashinde na kulala hapo!!
MUNGU wangu huyu naye ni mfuasi wa uongo wa Lituundu hajui hata anayemshabikia anakuja lini nyie ndio mnaomdanganya mwenzenu lituundu
 
Hii nchi ina matatizo sana..., kwanini tupangiane maisha ?, hata kama mtu anataka kwenda kumpokea Lucifier wewe inakuhusu nini ? Au hata akitaka kwenda kushangaa ndege ina shida gani kwako ?, Hizi taasisi zipo pale kutulinda sio kutupangia maisha..., na wewe kama wewe hutaki kitu usipangie wanaokitaka.., no matter hata kama ni minority...
Watu wako kazini huku wakiomboleza msiba wa Rais Mstaafu Ben Mkapa
 
Wazungu wataushangaa uongo wa Tundu Lisu kuwaaminisha kwamba anapendwa kumbe watanzania wameshajua mkombozi wao aliyetumwa na MUNGU ni MAGUFULI
Hao watanzania ni wangapi ? au hata wakiwepo watu milioni moja ambao wanampenda sio watanzania ?, Au kipimo cha Utanzania ni kumchukia Lissu... kwanini tusiwaache hao wachache wafanye kile roho yao inapenda kufanya ?
 
Hii nchi ina matatizo sana..., kwanini tupangiane maisha ?, hata kama mtu anataka kwenda kumpokea Lucifier wewe inakuhusu nini ? Au hata akitaka kwenda kushangaa ndege ina shida gani kwako ?, Hizi taasisi zipo pale kutulinda sio kutupangia maisha..., na wewe kama wewe hutaki kitu usipangie wanaokitaka.., no matter hata kama ni minority...
:D:D:D
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom