mpango

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mpango wa kukuza mfuko wa taasisi za kijamii (NGO,CBO, SC) fundraising program

    Tuanzia hapa… Kumekuwa na wimbi kubwa la taasisi za kijamii kuanzishwa, kuyumba hata kupelekea kufa kutokana na ukosefu wa mbinu za kutafuta fedha za kuendeshea shughuli zao au miradi yao. Nathubutu kusema ni kukosa mbinu za kutafuta fedha kwa sababu fedhaa zipo ila tambua ili uzipate lazima...
  2. J

    JamiiForums Tanzania Siri imefichuka: Kiunganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma siyo Zitto Kabwe ni Dkt. Phillip Mpango

    Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete. Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango...
  3. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Dkt. Magufuli: Mtu aliyethubutu kumpinga Dkt. Mpango siwezi kumteua nafasi yoyote

    Rais amesema anashangaa sana kuona mtu anajitokeza kumpinga Dkt. Mpango, kwani kwa namna Dkt. Mpango alivyosimamia uchumi vizuri, hakupaswa kupingwa na mtu yeyote. Cha ajabu ni kwamba, muda mfupi kabla ya kusema hayo mheshimiwa alisifia ukomavu wa demokrasia ndani ya CCM.
  4. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Marekani imetangaza kuwa haitahusika katika Mpango wa Ulimwengu unaolenga kutengeneza, kutoa na kusambaza chanjo dhidi ya COVID-19

    Kulingana na habari katika gazeti la "Washington Post", Msemaji wa White House Judd Deere amesema kuwa Marekani haitashiriki katika Mpango wa Chanjo dhidi ya Covid-19 (Covax), ambao unaratibiwa na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO). Akisisitiza kuwa Marekani itafanya suala la chanjo peke yake...
  5. ze future

    JamiiForums Tanzania Nyuma ya pazia: Man United na mpango wa kumsajili Messi

    Habari yako, nakumbuka mwaka jana mwezi May nilipata bahati ya kutembelea jiji la London nilienda kwa shughuri zangu binafsi lakini nilipata nafasi ya kutembelea mgahawa mmoja kwaajili ya kupata chochote kitu. Nikiwa naendelea kupata vyangu nyuma ya meza niliyokaa kulikua na watu kama watatu...
  6. MJENGA

    JamiiForums Tanzania Mipango miovu ya Tundu Lissu yabainika. Soma barua ya inayofichua mipango hiyo

    Tundu Lissu hana huruma na Tanzania kabisa. ==== Wistleblowers Investigation Worldwide (WIW) imeibua mapya kwenye barua yake ya wazi kwa rais wa JMT na waziri Kabudi kwamba ubia wa Amsterdam na TL nia yake ni kuivuruga Tanzania. WIW inasema ina ushahidi wa kiuchunguzi unaothibitisha mkakati...
  7. The Palm Tree

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, Mungu - Yehova anawapenda. Matukio ya Arusha na Hai ni taarifa njema kwenu.!!

    It sounds awkward, lakini ndivyo ilivyo. Kwamba iweje ofisi kuchomwa moto iwe ni jambo jema? Iweje msafara wa mgombea Urais Tundu Lissu ushambuliwe mbele ya macho ya polisi liwe jambo jema? Iweje Tundu Lissu ashambuliwe kwa Risasi za kivita za SMG na AK47 iwe ni jambo jema? Well. Tufutane ili...
  8. demigod

    JamiiForums Tanzania Je, ni kuna ulazima wa kuwatoza kodi wananchi wanyonge watumiapo mitandao ya Kijamii?

    Tumepata kusikia ndugu Andrew Kisaka (Mkuu wa Kitengo cha Leseni za Mawasiliano TCRA) akibainisha kuwa kuna haja ya watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania waanze kutozwa kiwango fulani cha pesa ili Mamlaka ya TCRA iweze kugharamia huduma ya kudhibiti Maudhui yanayojadiliwa mitandaoni...
  9. Civilian Coin

    JamiiForums Tanzania Sijawahi kuwasiliana na Naibu Waziri wa Habari (Juliana) tangu March 2013 na sina mpango wa kuwasiliana naye hata kwa kufoji mawasiliano

    Taarifa nyingi zinazozagaa kuwa Nina mawasiliano na huyu Naibu Waziri si za kweli na wala sijawahi kuonana naye tangu nilipotoka CHADEMA Desemba 2012. Sina MASLAHI naye na hivyo niwasiliane naye kwa masilahi gani? Na shida gani? Ninauwezo wa kujisimamia kuliko Wabunge wote na Mawaziri wote...
  10. Nigrastratatract nerve

    JamiiForums Tanzania Nazunguka hapa JNIA, sijaona mkusanyiko wa aina yoyote

    Niko nazunguka zunguka hapa JNIA, Kwenye shughuli zangu lakini pia niko naangalia mikusanyiko ya watu kama wapo sioni dalili ya mkusanyiko. Maana yake mambo ya wahamasishaji wa mitandaoni kutokutii mamlaka za nchi zimepuuzwa wananchi wako kwenye msiba mzito na maombolezo ya Kitaifa. Wananchi...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Uwanja wa Ndege Dar: Mapokezi ya Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu - Julai 27, 2020

    Salaam Wakuu, MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tanzania Bara Tundu Lissu anatarajiwa kuwasili nchini leo saa saba na dakika ishirini saa za afrika Mashariki. Lissu amekaa nje ya nchi miaka mitatu sasa baada ya kuondoka kwa shambulio la risasi lililotokea mjini...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Italy inatarajia kuiondoa Huawei kwenye mpango wake wa 5G

    Nchi ya Italia inatarajia kuiondoa Huawei kwenye mpango wake wa 5G sawa na nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya Mwaka jana Italia ilitoa green light kwa kampuni ya Huawei kushiriki kwenye uanzishwaji wa 5G nchini humo. Sasa kutokana na shinikizo kubwa la Marekani kwa nchi washirika kuachana na Huawei...
  13. J

    JamiiForums Tanzania Natamani Dr. Mpango atuambie taifa limeokoa kiasi gani kwa Rais Magufuli na mawaziri kutosafiri nje ya bara la Afrika

    Unaweza ukadhani ni jambo dogo lakini kiukweli fedha nyingi ya kigeni imeokolewa kutokana na Rais Magufuli na Mawaziri wake kutosafiri nje ya Afrika ndani ya miaka mitano. Tunakumbuka huko nyuma namna viongozi wetu walivyokuwa wakipishana angani kwenda Ulaya na America. Tunakumbuka mikutano ya...
  14. S

    JamiiForums Tanzania CHADEMA ni mpango wa Mungu ili kupitia chama hicho Mungu aweze kuwakomboa Watanzania

    Kama ilivyokuwa kwa wana wa Israel ambapo Mungu alimtumia Mussa kuwakomboa kutoka utumwani nchini Misri,ndivyo vivyo hivyo Mungu amepanga kuwatumia CHADEMA na CUF kwa kiasi fulani, ili kupitia vyama hivi,watanzania wakombolewe. Hii ni moja ya sababu ya hawa wenzetu kukosa maarifa(mungu...
  15. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Mataifa 11 barani Ulaya yafanya makubaliano ya kufungua mipaka yao kwa ajili ya kuanza kupokea watalii

    Taarifa ya pamoja iliyotolewa na tovuti ya kidiplomaisa ya Ureno imesema, mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi 11 za Ulaya wamekubali masharti ya kufungua tena mipaka na kurejesha uhuru wa mawasiliano kati ya wakazi wa Ulaya. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, wawakilishi kutoka Ujerumani, Austria...
  16. Chizi Maarifa

    JamiiForums Tanzania Condom ni mpango wa Wazungu kutaka wabongo tusipate Utamu na tusizaane

    Mimi niseme tu kweli sijawahi tumia condom. Nilijaribu tu kuvaa nikaona inabana mashine mpaka mashine inakosa kupumua. Nikavua nikapiga show bila condom Condom ni mpango wa wazungu kutaka wabongo tusijisikie raha wakati wa kupukuchua. Na waafrika wengi hawajagundua hilo, sisi ambao tunafahamu...
  17. Tz boy 4tino

    JamiiForums Tanzania Namna mpango mzima wa kukamatwa Hush Puppy (Bilionea wa Kinigeria) ulivyo chezwa

    Kwa wale ambao ni wafutiliaje wazuri wa mtandao wa Instagram, Jina la Hush Puppy lazma litakuwa sio jina geni kwako. Hush Puppy kijana wa ki Nigeria mwenye mbwembwe nyingi, Hush kijana ambae amejijengea umaarufu mkubwa sana kutokana na maisha yake ya kifahari na uhusiano wake wa karibu na watu...
  18. T

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kwanini Mpango na Tulia Ackson wasigombee wajimbo huru ya Dar es Salaam?

    Kwa kweli huwa sielewi kwa nini kila mtu afikirie kwenda kugombea kwao tena kwa watu maarufu na ambao wanajidai kua wamefanya mambo makubwa. Naibu Spika wa Bunge la Tanzania anarudi kwenda kugombea Mbeya nyumbani kwao, yeye ni mtu maarufu ni wa nini asigombee majimbo huru kama yaliyoko hapa...
  19. J

    JamiiForums Tanzania Rwanda yapitisha mpango kujenga Kinu cha Nyuklia!

    Haya maendeleo ya Ubungo fly over na SGR wapinzani kama Chadema wanalalamika eti wao wanataka maendeleo ya watu siyo vitu. Rwanda imepitisha mpango wa ujenzi wa kinu cha nguvu za Nyuklia ili kuendana na kasi ya maendeleo ya teknolojia na utabibu duniani, itasaidiwa na Urusi katika mpango wake...
  20. CUF Habari

    JamiiForums Tanzania Prof. Lipumba aichambua bajeti ya 2020-2021 kitaalam | Malengo ya mpango wa pili wa miaka mitano yamefikiwa?

    TAARIFA KWA UMMA UCHAMBUZI WA BAJETI YA 2020/2021: MALENGO YA MPANGO WA PILI WA MIAKA MITANO YAMEFIKIWA?
Back
Top Bottom