Kutokana na Madiwani wa Manispaa ya Kigoma ujiji kuchoshwa na tabia ya Meya Hussein Luhava ya kushirikiana na Zitto Kabwe kuwatumia kwenye kupiga madili mbalimbali kwenye Manispaa ya Kigoma.
Wamemgomea Meya na Zitto Kabwe kushirikiana kwa kile wanachodai hawatendewi haki.
Taarifa kutoka kwa...
December 31, 2019
Dodoma, Tanzania
Taarifa kwa Vyombo vya Habari Kuhusu ya Hali ya Uchumi wa Taifa Katika Mwaka 2019 na Tathimini ya Awali ya Utekelezaji wa Bajeti kwa Nusu ya Kwanza ya Mwaka wa Fedha 2019/20
By Dkt. Philip Mpango (Mb.) Waziri wa Fedha & Mipango 31 Desemba, 2019 - DODOMA
1...
WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dk Philip Mpango (pichani) amesema wanaohujumu uchumi kwa kutengeneza noti bandia na kuzisambaza, ingekuwa amri yake angewakata ‘korosho zao’ kwani watu hao ni wabaya na wanahujumu uchumi wa nchi.
Waziri Mpango alitoa kauli hiyo juzi jijini hapa, wakati akizungumza...
Inakuaje mtu unakosa raha ya maisha kwa ajili ya mtu mmoja unaempenda halafu yeye hana mpango na wewe. Duniani tupo watu zaidi ya 7 billion kwanini ujisumbue kung'ang'ania mtu mmoja ambae anaku-Ignore.
Ukiwa peke yako unakuwa unamuwaza ila mwenzio hana habari nawe, unacall na kutext ila mwenzio...
Habari za uzushi za kutekwa kwa mdhibiti mkuu wa fedha za serikali wa zamani Profesa Assad zimezusha taharuki kubwa.
Na mpaka ilipoibuka video mitandaoni ambapo Profesa Assad anaonekana yupo salama na mwenye afya njema, watu wengi waliingiwa na hofu kubwa.
Ifikapo tarehe 31 Desemba mwaka huu...
Dodoma 20, 2019
WAZIRI MPANGO: Baada ya Uchumi wa Tanzania 'kufanya vizuri' kumepelekea Kupungua kwa misaada na kumeathiri baadhi ya miradi ya maendeleo nchini
Serikali imesema kupungua kwa misaada ya maendeleo kumeathiri baadhi ya vyanzo vya ugharamiaji wa miradi ya maendeleo nchini na hivyo...
Vitimbi na vituko vikivyotokea katika uchaguzi wa serikali za mitaa, mpaka kupelekea CCM kudai kushinda kwa asilimia mia moja serikali za mitaa na 99.8 vijiji.
Hizo ni njama zilizopangwa kuwahadaa Watanzania na ulimwengu wa kimataifa ionekane kuwa CCM na Rais Magufuli wanakubalika sana hivyo...
WAZIRI wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango ameiomba Benki ya Maendeleo ya Afrika kuipatia Tanzania mkopo nafuu kwa ajii ya kujenga barabara ya njia Nne kuanzia Morogoro hadi Dodoma ili kuboresha usafiri na usafirishaji wa abiria na mizigo
Dkt. Mpango ametoa ombi hili Jijini Dodoma...
Mambo yamebadilika! Hakuna anayeweza kubisha! Nasi hatunabudi kubadilika, miaka ya nyuma kumfundisha mtoto kuhusu uzazi wa mpango ilichukuliwa kama ni jambo baya, lakini kwa hali ilivyo sasa elimu hii ya uzazi wa mpango ni yawote kuanzia watoto under 18 na vijana
Elimu hii iambatane na elimu...
Habari zilizo chini ya kapeti ni kwamba Harmonize bado yupo Wasafi ila kinachoendelea ni drama ya kuhakikisha Ali Kiba anayeyushwa kwenye gemu. Mashabiki wengi wa Kiba watavutwa kwa Konde Boy company ambayo iko chini ya WCB, mpango huu umesukwa na jopo la wakongwe wanaomsimamia Mondi akiwemo...
Kutokana na gazeti la leo "Daily News" 31/10/2019 kuonyesha kwamba hawa "Wazalendo Industries Ltd" Arusha wana mpango kuanza kutengeneza pikipiki kutokana na kwamba sasa hivi wanatengeneza vifaa vya pikipiki, naona kweli watasaidia vijana wengi kupata ajira na kujikwamua katika maisha magumu...
Inspekta Jenerali wa polisi Simon Sirro ametoa onyo kali kwa wote watakaojaribu kuvuruga uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu wa 2020.
Kamanda Sirro amesema jeshi lake limejipanga sawasawa kukabiliana na sintofahamu yoyote endapo itajitokeza.
IGP Sirro ameyasema hayo jijini Mwanza...
ULE msemo kuwa chelewa chelewa utamkuta mwana si wako umejidhihirisha wazi kwenye suala lauwekezaji wa mradi wa Liganga na Mchuchuma wilayani Ludewa mkoani Njombe ambapo mwekezaji, Sichuan Hongda Group yuko njia panda kwa kukosa mwelekeo na kuungwa mkono.
Kampuni imesema madai yote yalikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.