Sijawahi kuwasiliana na Naibu Waziri wa Habari (Juliana) tangu March 2013 na sina mpango wa kuwasiliana naye hata kwa kufoji mawasiliano

Don Nalimison

JF-Expert Member
Jun 26, 2020
634
1,000
Taarifa nyingi zinazozagaa kuwa Nina mawasiliano na huyu Naibu Waziri si za kweli na wala sijawahi kuonana naye tangu nilipotoka CHADEMA Desemba 2012. Sina MASLAHI naye na hivyo niwasiliane naye kwa masilahi gani? Na shida gani? Ninauwezo wa kujisimamia kuliko Wabunge wote na Mawaziri wote. Kutelekezwa Kisiasa isiwe sababu ya kunichokonoa na kunichongonisha na TISS.

Mimi Sina Chama na Wala nisihusishwe na MASLAHI ya vyama na Wala Vyama visitumie jina langu kwa maaslahi yao ya Uchaguzi Mkuu 2020. Nasitaki Wabunge kuniingilia kwenye shughuli zangu za Muziki, fanyeni ma Ubunge yenu kwa masilahi ya wapiga Kura wenu.

Juliana Mimi simjui na Wala yeye hanijui hata kidogo. Nitafanya kazi na BASATA na COSOTA na TCRA kwa kufuata kanuni na Utaratibu nitakao pewa na IDARA husika juu ya COPRIGHTS za kazi zangu. Nilishasema sitaoa Mbunge wala Waziri zaidi nitaoa Warembo au Raia wa Marekani ndio wana hadhi ya kimapenzi na Mimi.

Sipendi kuchonganishwa na POLISI kisa Wabunge wananitaka kimapenzi kwa nguvu.

DON NALIMISON
31/07/2020.

images (9).jpeg
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom