The Evil Genius
JF-Expert Member
- Mar 21, 2014
- 5,459
- 17,268
Nchi ya Italia inatarajia kuiondoa Huawei kwenye mpango wake wa 5G sawa na nchi kadhaa za Umoja wa Ulaya
Mwaka jana Italia ilitoa green light kwa kampuni ya Huawei kushiriki kwenye uanzishwaji wa 5G nchini humo.
Sasa kutokana na shinikizo kubwa la Marekani kwa nchi washirika kuachana na Huawei sasa nchi nyingi zimeamua kuachana na Huawei. Brazil imepewa ahadi na Marekani iachane na Huawei halafu Marekani atafadhili kampuni mbadala nyingine yoyote nje ya Huawei.
Italy reportedly considering whether to exclude Huawei from building its 5G network
Huawei says U.S. pressure on Brazil threatens long delays in 5G rollout