BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI:MH GEOFREY MWAMBE NA DKT PHILIP MPANGO TURUFU MPYA ZA UKUAJI WA UCHUMI KATIKA AWAMU HII YA MWISHO YA RAIS JOHN MAGUFULI.
Leo 13:25hrs 06/12/2020
TIC ndio mzizi uliosimikwa chini kwa Maendeleo ya Taifa la Tanzania,TIC ina wajibu wa kuifanya Tanzania kuwa sehemu bora kwa...
Waziri wa Fedha Dkt. Mpango amesema bado kuna wizi mkubwa unaendelea kwenye manunuzi ya Umma ukiwahusisha watumishi wasio waaminifu.
Dkt. Mipango amemwomba waziri mkuu awasaidie katika swala zima la kuwashughulikia viwavi hao wa Sekta ya Manunuzi ya Umma.
Chanzo: ITV habari!
Maendeleo hayana...
Nidhamu katika taasisi yeyote ile ni jambo la msingi sana, iwe sehemu ya kazi iwe jeshini, kwenye biashara, pesa zako bila nidhamu huwezi kufanikiwa.
Kiongozi anapoenda kinyume na maamuzi halali ya taasisi ni aidha anajiuzulu au anafukuzwa. Halima Mdee amekiuka maamuzi halali ya Kamati Kuu...
Hakuna jambo gumu kama kuchagua mwenza wa maisha yako ambaye utaishi naye maisha yako yote mpaka pale kifo kitakapowatengenisha. Kujitolea kuishi na mtu siyo jambo jepesi, ndiyo maana mimi Nafaka mpaka leo sijaamua nasubiri mpaka pale kiongozi wetu Le baharia Lemutuz atakapoanza yeye au...
Hakuna jambo gumu kama kuchagua mwenza wa maisha yako ambaye utaishi naye maisha yako yote mpaka pale kifo kitakapowatengenisha. Kujitolea kuishi na mtu siyo jambo jepesi, ndiyo maana mimi Nafaka mpaka leo sijaamua nasubiri mpaka pale kiongozi wetu Le baharia Lemutuz atakapoanza yeye au...
Waziri wa fedha Dkt. Mpango amewataka watumishi wote wa Hazina kuwa makini zaidi kwa sababu fedha nyingi za serikali bado zinapotea kwenye miradi inayotekelezwa kwenye halmashauri.
Dkt. Mpango amesema Serikali inahitaji fedha ili kukamilisha miradi ya kitaifa ikiwemo ujenzi na ukarabati wa...
Nakubaliana kabisa na Rais Magufuli kwamba kwa sasa wizara zisimamiwe na makatibu wakuu chini ya usimamizi wa Waziri mkuu mh Majaliwa.
Maswala ya ulinzi na usalama wa ndani yaendelee kusimamiwa na CDF Mabeyo na IGP Sirro wanaoripoti moja kwa moja kwa Amiri jeshi mkuu.
Mambo muhimu ya Fedha na...
Leo Watanzania tumeamka na uteuzi wa Mawaziri Dr. Phillip Mpango katika Wizara ya Fedha na Prof. Palamagamba Kabudi katika Wizara ya Mambo ya Nje. Maswali mengi yameibuka kuhusu huu uteuzi.
Kwanza huu uteuzi umekiuka utaratibu wa kikatiba. Ibara 51(1) ya Katiba yetu ta Tanzania inasema Waziri...
1. Kamati Kuu CHADEMA haijafanya uteuzi wa wabunge wa viti Maalum mpaka sasa
2. Hivyo hakuna orodha iliyopelekwa na Katibu Mkuu kwa NEC.
3. Tumedokezwa wanataka kughushi saini na orodha Tume ya Uchaguzi ifanye uteuzi haramu na Bunge likabariki.
By JJ MANYIKA
Wanabodi,
leo nikiwa natoka mahali kwa kutumia public transport, ukapigwa wimbo wa King Kikii, kitambaa cheupe, hivyo from no where, nimetokea kumkumbuka mwanamuziki mkongwe huyu, jina kamili ni Kikumbi Mwanza Mpango, aka King Kikii, kumbe pia alikuwa na vibwagizo fulani vya kisiasa vya kiaina...
Ongezeko la saratani kwa wasichana latisha
TAASISI ya Saratani Ocean Road (ORCI), imebainisha kuwapo ongezeko la saratani ya matiti kwa wasichana nchini, kunakochagizwa na matumizi holela ya vidonge vya uzazi wa mpango.
Imesema wasichana wenye umri kuanzia miaka 25 ndio kundi lililothibitika...
Jiji la Dar es Salaam ambayo ni ngome Kuu ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo linatarajiwa kusimama kwa siku tatu kupisha uzinduzi wa kihistoria wa mgombea Urais wa Chama hicho.
Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chadema Tundu Lissu atazindua Rasmi kampeni zake kuelekea Ikulu ya Magogoni na...
ajira
asante
basi
body
ccm
chadema
chato
haki
haki za binadamu
hana
healthcare
hotuba
jpm
kagera
kampeni
kanda ya ziwa
kazi
kununua
kuomba
leader
lissu
lisu
maadili
mabeberu
madaraka
maendeleo
matokeo
mbunge
media
mji
morogoro
mpango
mwanza
nchi
ndege
nyumbani
party
picha
polisi
reggae
sayansi
serikali
sgr
sheria
siasa
siku
siri
song
tanga
tanganyika
tanzania
tarime
tundu lissu
ubunge
uchaguzi
uchaguzi mkuu
ukweli
ulinzi
upinzani
urais
ushindi
video
vijana
vitu
wananchi
wasanii
watanzania
wote
Salam Wakuu!
Ninafahamu mna Jukumu kubwa sana mbele yenu kama chama kinachotafuta nafasi ya kuingia ikulu kwa mara ya kwanza tangu tupate Uhuru. Mnaenda kupambana na Raisi Magufuli ambaye kwa hakika ana wafuasi wengi sana na kwa hakika wanakubali utendaji kazi wake.
Hivyo, kama heading...
Tuanzia hapa… Kumekuwa na wimbi kubwa la taasisi za kijamii kuanzishwa, kuyumba hata kupelekea kufa kutokana na ukosefu wa mbinu za kutafuta fedha za kuendeshea shughuli zao au miradi yao.
Nathubutu kusema ni kukosa mbinu za kutafuta fedha kwa sababu fedhaa zipo ila tambua ili uzipate lazima...
Tangu jana mbunge wa Kigoma mjini aliyemaliza muda wake Zitto Kabwe amekuwa akitamba mitandaoni kwamba yeye ndio kiuanganishi kikuu cha maendeleo ya Kigoma kwa nafasi yake kama mbunge tangu enzi za Rais Kikwete.
Ukweli uliothibitika kutoka kwa mkuu wa nchi Rais Magufuli ni kwamba Dkt. Mpango...
Rais amesema anashangaa sana kuona mtu anajitokeza kumpinga Dkt. Mpango, kwani kwa namna Dkt. Mpango alivyosimamia uchumi vizuri, hakupaswa kupingwa na mtu yeyote.
Cha ajabu ni kwamba, muda mfupi kabla ya kusema hayo mheshimiwa alisifia ukomavu wa demokrasia ndani ya CCM.
Kulingana na habari katika gazeti la "Washington Post", Msemaji wa White House Judd Deere amesema kuwa Marekani haitashiriki katika Mpango wa Chanjo dhidi ya Covid-19 (Covax), ambao unaratibiwa na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO).
Akisisitiza kuwa Marekani itafanya suala la chanjo peke yake...
Habari yako, nakumbuka mwaka jana mwezi May nilipata bahati ya kutembelea jiji la London nilienda kwa shughuri zangu binafsi lakini nilipata nafasi ya kutembelea mgahawa mmoja kwaajili ya kupata chochote kitu.
Nikiwa naendelea kupata vyangu nyuma ya meza niliyokaa kulikua na watu kama watatu...
Tundu Lissu hana huruma na Tanzania kabisa.
====
Wistleblowers Investigation Worldwide (WIW) imeibua mapya kwenye barua yake ya wazi kwa rais wa JMT na waziri Kabudi kwamba ubia wa Amsterdam na TL nia yake ni kuivuruga Tanzania. WIW inasema ina ushahidi wa kiuchunguzi unaothibitisha mkakati...
It sounds awkward, lakini ndivyo ilivyo. Kwamba iweje ofisi kuchomwa moto iwe ni jambo jema? Iweje msafara wa mgombea Urais Tundu Lissu ushambuliwe mbele ya macho ya polisi liwe jambo jema? Iweje Tundu Lissu ashambuliwe kwa Risasi za kivita za SMG na AK47 iwe ni jambo jema?
Well. Tufutane ili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.