CHADEMA mpaka sasa sielewi mipango yao uchaguzi mkuu ujao

Gulio Tanzania

JF-Expert Member
Jan 30, 2018
2,141
4,489
Mpaka sasa hakuna tamko rasmi la mwenyekiti Mbowe kuhusu uchaguzi mkuu unaokuja ni vyema viongozi wakatoa tamko kama watagomea kushiriki uchaguzi mkuu au wapo tayari kuingia kwenye uchaguzi hivyo hivyo bila katiba mpya ama tume huru ya uchaguzi.
 
Hakuna kiongozi wa CHADEMA, wala chawa wao atakae kuja kukujibu mkuu.

Believe me what i say..
 
Mpaka sasa hakuna tamko rasmi la mwenyekiti Mbowe kuhusu uchaguzi mkuu unaokuja ni vyema viongozi wakatoa tamko kama watagomea kushiriki uchaguzi mkuu au wapo tayari kuingia kwenye uchaguzi hivyo hivyo bila katiba mpya ama tume huru ya uchaguzi.
Kaa mbali utajashitakawa Uhaini bure. CHADEMA au tuseme tundulissu amesema watazuia uchaguzi kama katiba haitabadilishwa tuwe na serkali 3 na serkali za makabila yaani County kama ya Kenya.

Kaambiwa hayo ni mawazo yake, mazuri tu, ayaweke kwenye Ilani ya CHADEMA 2025 watu wapige kura, hataki.

Yeye anataka yawekwe sasa hivi kabla ya 2024 la sivyo atafanya fujo kuzuia uchaguzi usifanyike.

Hilo ni kosa la kuzuia Serkali halali isifanye kazi yake kwa Ilani yake watavuruga wataua Polisi watachoma moto madanduku ya kura watateka Vituo vya kura.

Kosa hilo huitwa Uhaini adhabu yake kunyongwa hadi ufe. Bora ukae mbali nalo okoa roho yako, yeye wakati huo atakua Ulaya, mke na watoto wake ni raia wa Marekani hawapo hapa.
 
Tanzania GDP 1300usd, Singapore 🇸🇬 GDP 133,000usd, why Singida bado masikini sana?,magogoni wanawauliza wana Lumumba street???,nchi iliyojaa vituko na raia wapumbavu
 
Mpaka sasa hakuna tamko rasmi la mwenyekiti Mbowe kuhusu uchaguzi mkuu unaokuja ni vyema viongozi wakatoa tamko kama watagomea kushiriki uchaguzi mkuu au wapo tayari kuingia kwenye uchaguzi hivyo hivyo bila katiba mpya ama tume huru ya uchaguzi.
Mkuu wewe endelea tu kunywa mtori, kama "issue" ni nyama tu, basi utakuja kuzikuta chini.
 
Tanzania hakuna uchaguzi, Bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu Mweusi kwenye box la kura.
 
Mpaka sasa hakuna tamko rasmi la mwenyekiti Mbowe kuhusu uchaguzi mkuu unaokuja ni vyema viongozi wakatoa tamko kama watagomea kushiriki uchaguzi mkuu au wapo tayari kuingia kwenye uchaguzi hivyo hivyo bila katiba mpya ama tume huru ya uchaguzi.
Mipango ya chadema ni bam..bam...mtafute Rostam azizi ndiyo anayo mipango ya chadema
 
Mpaka sasa hakuna tamko rasmi la mwenyekiti Mbowe kuhusu uchaguzi mkuu unaokuja ni vyema viongozi wakatoa tamko kama watagomea kushiriki uchaguzi mkuu au wapo tayari kuingia kwenye uchaguzi hivyo hivyo bila katiba mpya ama tume huru ya uchaguzi.
Wamedai hawatashiriki bila Katiba Mpya 🤣🤣🤣🤣
 
Kaa mbali utajashitakawa Uhaini bure. CHADEMA au tuseme tundulissu amesema watazuia uchaguzi kama katiba haitabadilishwa tuwe na serkali 3 na serkali za makabila yaani County kama ya Kenya.

Kaambiwa hayo ni mawazo yake, mazuri tu, ayaweke kwenye Ilani ya CHADEMA 2025 watu wapige kura, hataki.

Yeye anataka yawekwe sasa hivi kabla ya 2024 la sivyo atafanya fujo kuzuia uchaguzi usifanyike.

Hilo ni kosa la kuzuia Serkali halali isifanye kazi yake kwa Ilani yake watavuruga wataua Polisi watachoma moto madanduku ya kura watateka Vituo vya kura.

Kosa hilo huitwa Uhaini adhabu yake kunyongwa hadi ufe. Bora ukae mbali nalo okoa roho yako, yeye wakati huo atakua Ulaya, mke na watoto wake ni raia wa Marekani hawapo hapa.
Kasemea wapi hayo mbona mageni sana.
 
Back
Top Bottom