Machine mpya ya kusafishia ndani ya gari
Inatumia umeme wa gari 12V
Inanyonya michanga,vumbi,takataka ndogo ndogo
Inanyonya vumbi kwenye viti
Bei 40,000 tu.
Free delivery ukiwa dar
Call/WhatsApp 0656 666 662
Watanzania kama ilivyo ada tumekuwa wanyonge mpaka basi. Tumekubali kukamuliwa kila sehemu na Serikali imeamua kuendelea kutunyonya mpaka damu.
Kifurushi cha Airtel cha Tsh 1,000 kwa GB 1 nacho kimepunguzwa. Sasa ni MB 500 kwa tsh 1000 ndani ya siku 3.
Tunajua Serikali nayo inafaidika na...
MKONO WA BURIANI WA MAMA SYKES KWANGU
Hii picha nimepiga na mama Bi. Zainab Sykes tarehe 12 January 2021 nyumbani Mbezi.
Nilikuwa natoka kufanya kipindi cha Mapinduzi ya Zanzibar, Studio za Clouds Plus, nikaona kheri nimpitie Mama Sykes kumwamkia.
Nimemkuta ameshika mashafu yake anasoma...
Mabibi na mabwana siyo siri kuwa kama taifa na kama wanadamu wenye kutamani kuishi, tunapita katika kipindi kigumu sana.
Katu haitusaidii hata kidogo katika kukataa kuwepo wa ugonjwa huu kwa musuli wa nguvu au ukubwa wa sauti zetu majukwaani.
Ieleweke kuwa hadi kufikia maprofesa nguli kama...
Mtindo wa sasa wa mambo miradi inayofanyika inategemea maamuzi ya mkuu wa nchi ni hatari Sana na inatujengea utamaduni mbaya kama nchi.
Kuna maeneo ya nchi hii kama Rais Hana mzuka nayo inakuwa bahati mbaya Sana kwao. Nitatoa mfano mmoja Kwa sasa mkuu anapenda kuona Jimbo lake linapaa na Kwa...
Rais Magufuli akiwa Korogwe Tanga amesema hayuko tayari kuendelea kuongoza baada ya miaka 10 iliyowekwa kikatiba. Ameyasema haya baada ya Mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani (Prof. Maji Marefu) kusema Rais anastahili kuongezwa muda ilia afanye mambo mengi zaidi.
Hii kauli imemaliza...
Binafsi sio mtumiaji wa Airtel Internet. Mara nyingi ukiona natumia bundle ya internet ya Airtel basi ni ile inayotokana na vifurushi vya kawaida vya Dakika + SMS + Internet ingawaje mara nyingi hii bundle huwa inapotea tu kwa sababu kwa muda mrefu nimekuwa nikitumia ama TTCL au Halotel.
Kwa...
Mmegeuka kama watoto wadogo kwenye game la siasa za Bongo. Kila kukicha mnaleta stori za ajabu kuwa uchaguzi uliopita mlibagazwa sababu kulikuwa na faulo. Lakini hamtaki kuweka ukweli kuwa CHADEMA ilikuwa imekataliwa na Watanzania toka mwaka 2015 baada ya kufanya utapeli na kumpa ridhaa Edward...
Rais John Magufuli amehudhuria maadhimisho ya miaka 10 ya Mahakama Kuu nchini.
Magufuli amesema mahakama kuu ilianzishwa Januari 3, 1921 wakati Tanganyika ikiwa koloni la uingereza.
Rais ametoa pole kwa watumishi wamahakama ambao wamefariki dunia.
Pia Rais amesisitiza kwa somo la Historia...
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa TAKUKURU imewapa onyo Wenyeviti wa vijiji kutouza ardhi kiholela na kutambua kuwa sheria ya ardhi ya vijiji haziwapi mamlaka wenyeviti wa mitaa, vitongoji na vijiji kuuza ardhi bila ridhaa ya mkutano mkuu.
Mkuu wa TAKUKURU Mkoani Manyara, Holle Joseph...
Chama cha NCCR-Mageuzi tunapenda kuweka msisitizo wa taarifa tuliyoitoa tarehe 16 Januari 2021 katika kikao chetu cha halmashauri kuu ya Taifa. Taarifa inayohusu Ugonjwa wa Virusi vya Korona-19 (UVIKO-19).
NCCR-Mageuzi tunawaomba watanzania kuongeza mbinu za kujikinga kwa kiwango kisichopungua...
Korona haina tiba wala haina kinga. Njia zote zinazoshauriwa ili kujikinga na korona ni za dhahania na nadharia tu. Ndiyo maana hakuna mahala popote walipofanikiwa kuiondoa na kuimaliza korona. Hizo chanjo zimekaa kisiasa na kibiashara tu. Mafua yana karne nzima mpaka leo hakuna kinga, ukimwi...
On the last day of the Trump Administration and the eve of the Biden's, the US has sent clear and unmistakeable warning to dictators who stole elections in Tanzania and Uganda: No impunity for your violent and fraudulent actions! And there's more to come!
Chanzo: Ukurasa wake wa twitter.
PIA...
Mitandao mbalimbali inaonesha kuwa wandamanaji wamejipanga huku wengine wakijihami kwa silaha, nzito, aidha, makundi kadhaa ya kijamii yanaendelea kutuma maombi ya kupewa vibali vya kuandamana.
Side B: D Trump anatangaza kuwa atafanya hafra ya kuagwa ikijumuisha, red carpet.....hii Ina maana...
Nimesoma criticism nyingi kuhusu Mh. Magufuli lakini mpaka sasa sijaona hata moja inayo-niconvince.
Critisism hizi zinaonekana wazi zinapotoka: Bussiness na foreign ruling class wakitumia nguvu yao ya press kuyumbisha effort za nchi kujiondoa toka kwenye mtego wa umasikini.
Kwani ni lengo lao...
Nimeshawahi kusikia Watanzania wakiwalalamikia Marais waliopita kwamba hawakufanya mambo ya maana makwao kama Baba wa Taifa hakufanya mambo ya maana Musoma vivyo hivyo Mkapa hakufanya mambo ya maana Masasi.
Nami naungana nao kuwalaumu. Kikwete hakufanya mambo ya maana Bagamoyo na Mwinyi...
Habari za humu ama za toka juzi jana na leo😜 leo nipo Ze club Musoma ghorofani nakula life tu nani kama mimi.
kama member upo humu nyanyua mkono kwa mbali mbali sema tu kwa nguvu zote piga kelele "yekete"🤦😂🤣🤣
Nipo nakula raha na baridi hili leo ndo leo humu.✋Yekete.
🤦🤪🏃
Ni Mwendawazimu tu pekee ndiyo anaweza Kukuelewa ukisema Kipa wa Yanga Metacha Mnata ( Yanga SC ) na Beki wa Kushoto Mohammed Hussein Zimbwe Jr (Tshabalala ) walistahili Kuachwa (Kutojumuishwa ) katika Kikosi cha Taifa Stars chenye Wachezaji 30 kilichotajwa leo na Kocha Mkuu Ndayiragije.
Kama...
Sadhu Amar Bharati wa India amenyoosha mkono wake wa kulia juu kwa miaka 47 bila ya kuushusha chini kama alama ya Utukufu wa Mungu wa kihindu ‘Shiva’
Mwaka 1973 aliamua kunyoosha mkono wake wa kulia kwa nyuzi 90 hewani,kufikia 2020 vidole vyake vimejishikiza kwenye kiganja cha mkono,kucha zake...
Na: =AZUyJE0XsASvCgGjApTGwS3L_hCJUm7gOWzdXrklxTEyYZwd2V8bnDc5yL-bEXA4xJa55xT6o_FzdS26Nal8Gy1GMe5g7GktQi_B2uIrS59dw84mrd2M-CfjGME0Yw-AnGIkMA7oXpsPMtvtKPiuOeLb3XbdESgr4_7NKSdEzAkcO6lmp_ng4vkUGGsupURKdvJ941n-ff98T6cy0fKpp_mc&tn=-UC%2CP-y-R']Emmaus Bandekile Mwamakula
Hawa wako wengi sana! Wengine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.