mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kuelekea Oktoba 28: Mgombea ubunge wa CHADEMA Mbeya Mjini aendelea na Kampeni maeneo ya Itezi

    Kuna kila dalili kwamba Mgombea Ubunge wa Chadema Jimbo la Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ambaye pia huitwa 'Rais wa Mbeya' huenda akavunja rekodi aliyoiweka mwenyewe 2015, ya kuwa mbunge aliyechaguliwa kwa kura lukuki kuliko wote. Hebu angalia hapa Kata ya Nsalanga leo, Eneo la Itezi Mashariki.
  2. B

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mabadiliko katika siasa za Tanzania yamejengwa sana na kauli ya kuunga mkono Juhudi

    Bishara ya kununua watu kwa ahadi ya madaraka au nguvu ya fedha itabaki kuitwa biashara ya utumwa siku zote. Waasisi wa biashara ya utumwa awamu ya tano Wana kila sababu yakulaumiwa na kukifanya chama kitumie muda na rasilimali nyingi kusaka watu ambao hawana mchango chanya kwenye mustakabali...
  3. S

    JamiiForums Tanzania GE2020 Watanzania wanamuunga mkono Lissu ni kwa sababu ya sera?

    Mamilioni ya Watanzania wake kwa waume, vijana kwa wazee, masikini na matajiri wametokea kumpenda na kuonyesha hadharani ni jinsi gani wanavyomuunga mkono Mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA Mh. Tundu Lissu. Nini haswa siri ya mafanikio? Kwa sababu ya sera zake nzuri na ahadi zinazotekelezeka...
  4. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania BAKWATA Mkoani Mtwara yatangaza kumuunga mkono Mgombea Urais wa CCM ili awe Rais kwa awamu nyingine

    BARAZA Kuu la Waislamu Tanzania (BAKWATA), Wilaya ya Mtwara Mjini limetoa tamko na kuomba dua kwa Rais John Magufuli. Tamko walilotoa ni kumuunga mkono achaguliwe kuwa Rais kwa awamu nyingine ili aweze kuiongoza nchi. Tamko hilo limetolewa jana na Katibu wa Bakwata Wilaya ya Mtwara mjini...
  5. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania GE2020 TLP yasema inaendelea kumuunga mkono Magufuli. Kauli ya msajili kwamba wamesitisha uamuzi huo hawaitambui

    CHAMA cha Tanzania Labor Party (TLP), kimeibuka na kusema kuwa bado kina nia ya kumuunga mkono mgombea urais wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), John Magufuli katika uchaguzi mkuu ujao. Kimesema Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa nchini Tanzania ilikosea kutangaza kwamba wamesitisha uamuzi huo...
  6. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Mgombea urais Zanzibar kupitia CHAUMMA abwaga manyanga, ataja chama atakachokiunga mkono

    KATIBU Mkuu wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHA UMMA) ambaye pia ni Mgombea wa Urais wa chama hicho Ali Omar Juma, amewataka wanachama wa chama hicho kumpigia kura ya ndio Maalim Seif Sharif Hamad ambae ni mgombea wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya ACT- Wazalendo katika uchaguzi mkuu...
  7. Bushmamy

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rafiki yangu kalala kituoni siku mbili kwa kosa la kumpiga mumewe na kumvunja mkono

    Wakuu, marafiki wengine sio kabisa huyo ni shost yangu wa ukweli tangu muda tu, ila mi nimeshindwa tabia yake ya kipigo japo ni mtafutaji mzuri sana kwa kweli. Mimi nipo safarini kwa sasa nikapata meseji kutoka Kwa rafiki yangu mmoja kuwa 'una habari Ninja yupo kituoni siku mbili sasa'...
  8. Q

    JamiiForums Tanzania GE2020 UDP yamuumbua Msajili, yasisitiza wao bado wanamuunga mkono Mgombea wa CCM

    Hivi karibuni Ofisi ya Msajili wa vyama ilivitetea Vyama vya TLP na UDP kuwa baada ya kuonywa vilisitisha mpango wao wa kumuunga mkono mgombea wa CCM kwa vile ni vyama sikivu. "Kwa hiyo vyama hivyo ni sikivu, vile ambavyo siyo sikivu (CHADEMA na ACT-Wazalendo) tutavichukulia hatua.” alisema...
  9. M

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri Katika Mapokezi ya Tundu Lissu Dodoma na Singida

    Hatimaye adhabu aliyopewa Tundu Lissu imemalizika Jana. Mgombea huyo anayeungwa mkono na mamilioni ya Watanzania leo ataendelea na Kampeni yake katika mikoa ya Dodoma katika maeneo ya Chamwino na Singida katika maeneo ya Ikungi na Manyoni. Tume ya Taifa ya Uchaguzi imekuwa ni kichekesho Cha...
  10. TODAYS

    JamiiForums Tanzania GE2020 Uchaguzi huu ndiyo unatoa taswira ya CCM kuwa wamoja au hakuna umoja

    Habari zisizo na chembe ya kutaka umma usielewe kinachoendelea ipo wazi kutokana na safari ya uchaguzi wa nafasi ya urais kupitia kampeni tunazoziona wakati huu. Mwaka 2015 ilichezwa mechi (uchaguzi) ambayo ilikuwa na marefarii watatu moto wakiwa wamekaa katikati wakiunganisha krosi zinazokuja...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Upinzani msije mkafanya kosa mkaondoa wagombea pale mnapowaunga mkono wengine

    Kwanza nawalaumu CHADEMA kwa kutoweka wagombea Pemba na Unguja,hili ni kosa linalowagharimu upinzani,mnaposhirikiana mnatakiwa muwe pamoja ndivyo alivyoondolewa Hitler wa Ujerumani. Ninachowataka kwa hawa waliobakia wawepo wepo tu na kampeni za uwongo na kweli,wakati nia ni kumuunga mkono...
  12. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu Uchaguzi Mkuu ujao Nchini Tanzania - Oktoba, 2020

    Hayawi hayawi sasa yamekuwa. Marekani ameshasema lolote baya litakalofanyika kwenye uchaguzi wa mwaka huu lazima liwe na matokeo kutoka kwake![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Wenye akili na jicho la tatu tumeshaona, sijui wengine kama mmeshaona. Wale mliopanga kupiga mabomu watu, kubadiri...
  13. Q

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hatuna maslahi na Urais Zanzibar, tutatangaza rasmi kumuunga mkono Maalim Seif

    “Sisi CHADEMA tumetangaza rasmi kumuunga Mkono Maalim Seif kama ilivyo kwa Cheyo na Mrema kumuunga mkono Magufuli na hili tutatangaza rasmi muda si mrefu"- Tundu Lissu. "Kama ilivyosahihi kwa Mrema na cheyo kumuunga mkono Magufuli, ni sahihi kwa Maalim Seif na ACT kuniunga mkono na ni sahihi...
  14. leonaldo

    JamiiForums Tanzania Hayati Mkapa: Huwezi kukwea mnazi kwa mkono mmoja

    Rais Mstaafu wa awamu ya rtatu, Marehemu Benjamin William Mkapa alitanabahisha kuwapo kwa umuhimu wa kuheshimu mawazo mbadala na kuyafanyia kazi inapobidi, lakini ni kama tumepuuza busara hii sasa upinzani ni kama uadui, kushirikiana nao ni kama usaliti na wala hatuoni aibu kusema hivyo...
  15. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 Samora, Iringa: Yaliyojiri mkutano wa kampeni wa Rais Magufuli

    Uwanja wa Samora umefurika na kutapika na hii haijawahi kutokea tangu uwanja huu umejengwa 1976. Ni kampeni za kihistoria, karibu. ========== Updates; MIGORI, IRINGA LUKUVI: Tunaomba kawilaya, utawala ni mgumu sana. Wasiwe wanawafata wakurugenzi, wakuu wa wilaya kilomita 125. Namuombea...
  16. kavulata

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tume ya Uchaguzi, NEC ilikuwa kimya kwa TLP na UDP kuiunga mkono CCM iwe kimya pia kwa ACT-Wazalendo

    Wananchi wana akili za kutosha, inachotaka kukifanya ACT Wazalendo kwa CHADEMA hakitofautiani sana na walichokifanya UDP na TLP kwa CCM, uwongo kweli? Hatukisikia mkutano mkuu wa UDP ukiliamua lile na wala hatukuisikia tume ikinyanyua kidole juu. Lakini hata hivyo sio lazima chama cha siasa...
  17. J

    JamiiForums Tanzania GE2020 CCM itumie vijana kunadi Ilani na Sera zake. Hawa akina Mwigullu, Nape, January na Kigwangala wakati "umeshawatupa mkono"

    Wapiga kura zaidi ya 60% ni hawa vijana wa kizazi kipya ambao wana namna wanavyoelewana kwa " lugha " yao. Naamini UVCCM kuna vijana wengi wenye uelewa na uwezo mkubwa wa kuchambua sera kama wafanyavyo wachambuzi wa soka, wapeni nafasi. Hawa akina Kigwangalla wakati umeshawatupa mkono hawawezi...
  18. Sky Eclat

    JamiiForums Tanzania GE2020 Lissu aungwe mkono kwa vitendo si maneno tu

    Tukumbuke kuwa Tundu Lissu alivuliwa ubunge akiwa mgonjwa na wala hakulipwa kiinua mgongo. Tusiache kumchangia mafuta na maji ya kunywa katika safari ya ukombozi. Wote tujitokeze kumpigia kura 28/10/2020. Walimu 13,000 mliopata ajira juzi. Asante yenu kwa Lissu ni kura zenu. Wamachinga, sasa...
  19. YEHODAYA

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mgombea Urais wa chama kimoja aweza muunga mkono mgombea urais wa chama kingine tofauti bila ridhaa ya Mkutano Mkuu wa chama chake?

    Kuna maajabu yanayovunja katiba za vyama kwenye uchaguzi huu mkuu. Tumeona Lisu Makamu mwenyekiti taifa wa CHADEMA na mgombea uraisi kupitia Chadema akitoa tamko kuwa anamuunga mkono Mgombea uraisi wa Zanzibar Maalim Seif wa Act wazalendo. Pia tumeona Maalim SEIF Mwenyekiti wwa ACT wazalendo...
  20. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Zitto anatamani kumuunga mkono mgombea mmoja, ila inaonekana bado hawajaafikiana ndani ya chama

    Zitto ametweet dk chache zilizopita ameandika "Nimezunguka Nchi yetu na kuona hisia za Watanzania. Juzi Mtwara Mjini alinifuata mama mtu mzima sana na kuniambia “mwanangu mmeshindwa kukubaliana Mgombea mmoja? Tafadhali mwanangu jitahidini”. Nilipata uchungu sana moyoni. Watanzania wanataka...
Back
Top Bottom