Uchaguzi 2020 Matokeo ya Uchaguzi Mkuu 2020 na bao la mkono alilopiga Halima Mdee isiwe sababu ya kuponda siasa za Bongo

Idugunde

JF-Expert Member
May 21, 2020
6,273
6,637
Mmegeuka kama watoto wadogo kwenye game la siasa za Bongo. Kila kukicha mnaleta stori za ajabu kuwa uchaguzi uliopita mlibagazwa sababu kulikuwa na faulo. Lakini hamtaki kuweka ukweli kuwa CHADEMA ilikuwa imekataliwa na Watanzania toka mwaka 2015 baada ya kufanya utapeli na kumpa ridhaa Edward Lowasssa awe Mgombea wenu.

Sasa Halima Mdee na wenzake 19 amewafanya kitu mbaya na aibu kubwa sana kwenu. Maana tayari ameshapiga goli la mkono na mmebaki mnaduwaa huku Mwenyekiti wenu akijua kila mchongo, Katibu wenu akibariki goli la mkono.

Nini kuanza kujifaraghua kuwa sasa siasa za Bongoland hazina utamu kisa tu kwenye ramani mmepotea?
 
Lumumba mnalazimisha sana hili jambo, nahisi mtakuwa mmetumwa na hao Covid kwa kushirikiana na Polepole kuwasafisha, acheni kuhangaika hii sio karne iliyopita, huyo Mdee na wenzake wacha wakusanye hizo posho bungeni kwa aibu kwasababu huku nje wanajua fika wameshapoteza maana.
 
Mwaka Jana kulikuwa na uchafuzi. Kuna msimamizi mmoja yeye alitumbukiza zaidi ya 50 peke yake
 
Back
Top Bottom