mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Naomba msaada wa tatizo la maumivu makali ya mkono

    Natumai wazima humu ndani, Naomba ushauri, mama ana maumivu makali hasa usiku ya mkono mmoja wa kulia mpaka begani. Tulienda hospitali kupiga xray hakuna tatizo, tulipewa dawa za kuchuwa tu, ila naona hali haibadiliki, tumuone mtaalam wa nini?
  2. B

    Ni ukomavu wa kisiasa m-CCM kuwatia shime upinzani

    Mabibi na mabwana heshima kwenu na moja kwa moja kwenye mada. Inavutia Colin Powell a staunch republican 'kum' endorse Joe Biden a staunch Democrat kwenye uchaguzi ujao: Colin Powell: 'Biden will be a president we will all be proud to salute' Jamani eeh upinzani si ugomvi. Hata huko CCM kutoa...
  3. G Sam

    Kilimanjaro: Madiwani waliounga mkono juhudi na kuangushwa na wajumbe warudishwa kwa wingi. Wapo walioshika mkia lakini jina limerudi

    Hatimaye sasa imejulikana kwanini CCM walichelewesha kutangaza majina. Waliounga juhudi na kuangushwa vibaya na wajumbe wa CCM wamerudishwa kwa wingi ili wakawe wagombea. Mfano zipo kata unakuta muunga mkono juhudi alipata kura 12 na akawa wa mwisho na mshindi ana kura za wajumbe 50 lakini...
  4. G Sam

    Video: Maelfu ya watu wajitokeza Mikumi kumpungia mkono Tundu Lissu akielekea Iringa, msafara ulichelewa kufika Iringa kutokana na kusimamishwa njiani

    Lissu ni kipenzi cha kweli cha watanzania. Usisingizie kuwa umejenga miundombinu huku unakandamiza uhuru! Ni kosa kubwa mno!
  5. J

    GE2020 Mkutano wa Viongozi wa Dini wa kuunga mkono juhudi za Rais Magufuli kuelekea Uchaguzi Mkuu!

    Karibu. Mkutano uko mubashara kupitia Channel ten kutoka ukumbi wa JNICC na mgeni rasmi ni waziri mkuu mh Majaliwa. Up dates; Kwa sasa mh Majaliwa anahutubia na anajaribu kuelezea kwa kirefu mafanikio ya serikali ya awamu ya 5 Waziri mkuu anawashukuru viongozi wa dini kwa dua zao zilipelekea...
  6. James Martin

    CCM nilikuunga mkono lakini kwa upuuzi huu sasa basi

    Siku chache zilizopita nilitoa maoni yangu kutathmini awamu hii ta tano. Niliandika kuwa pamoja na kuchukizwa na na baadhi ya mambo lakini namuunga mkono Magufuli. Niliandika pia siamini kama Rais anaweza kuyajua mambo yote ya moja kwa moja pale anapoingia madarakani, mambo mengine hujifunza...
  7. James Martin

    Magufuli nakuunga mkono lakini kuwa makini kwenye kipindi chako cha pili

    Wana jamiiforum leo nimeona nitoe tathmini yangu ya Rais Magufuli na kipindi chake cha kwanza cha uongozi. Najua wengine mtachukizwa na haya ninayoyaandika lakini nimeona ni muhimu kutoa maoni yangu. Mpaka sasa kwa watu waliosoma maoni yangu watagundua kwamba nilikuwa nikimsifia Rais wetu pale...
  8. T

    GE2020 Umoja wa wanafunzi TAHLISO wamuunga mkono Magufuli

    Kuna member mmoja alidai wanafunzi wote wanamuunga mkono Lissu, lakini ukweli wenyewe ni huu hapa.- Wanafunzi wametoa msimamo kuelekea uchaguzi Mkuu 2020, Msimamo wao ni kuwa wanaungana na watanzania wote wenye mapenzi mema kumuunga mkono Rais John Pombe Joseph Magufuli
  9. J

    GE2020 Zitto usijidanganye, Membe kaja ACT-Wazalendo kutafuta Urais siyo kumuunga mkono Tundu Lissu

    Dhambi nyingine ni za kujitakia tu, KC Zitto unaamini kabisa BKM amekuja ACT wazalendo ili amuunge mkono mgombea wa CHADEMA? Hiyo unaweza kuwadanganya watoto wadogo lakini sisi tulioshiriki uchaguzi mkuu wa mwaka 1985 kamwe huwezi kutulaghai, tunakumbuka mzee ruksa alivyokomaa na kutinga...
  10. Chizi Maarifa

    Kwa hili naomba mniunge mkono ndugu zangu

    Jana ilikuwa nikamle msichana mmoja ambaye nimemfuatilia muda mrefu sana. Basi tukapanga kila kitu na kukubaliana kuonana lodge moja hivi kijitonyama. Imefika mida nikatoka mapema job saa 7 nikale mzigo. Njiani nikawaza, bajeti ilikuwaTsh. 100,000 room 50,000 matumizi 50,000. Nikiwa njiani...
  11. Mystery

    GE2020 Je, CHADEMA itamuunga mkono Maalim Seif kule Zanzibar na Membe atamuunga mkono Tundu Lissu katika nafasi ya Urais huku Bara?

    Najua kuwa mazungumzo bado yanaendelea kati ya Chama kikuu cha upinzani nchini cha Chadema na Chama cha ACT Wazalendo ya namna ya kuachiana nafasi mbalimbali katika uchaguzi mkuu ujao. Kwa mazingira niliyoyaona Leo kwa mgombea wa Urais wa chama cha Chadema, Tundu Lissu kuibuka kwenye mkutano...
  12. Return Of Undertaker

    GE2020 Mwana wa kulitafuta Lijualikali kalipata, baada ya kuangukia pua Ubunge ajaribu udiwani na kuambulia kura 5. Adaiwa kutamani kurudi CHADEMA

    Habari kutoka huko jimboni Kilombero hali ya mtoto wa mjini Lijualikali ni tete kisiasa. Baada ya kuunga mkono juhudi kuangukia mikononi mwa spana za wajumbe wa CCM na kuambulia kura 2 ameamua kujiongeza na kwenda kwenye kura za maoni udiwani akaambulia kura 5,Sasa anaomba kurudi CHADEMA.
  13. Course Coordinator

    Dar es Salaam ya Kunenge ni raha sana

    Niwe mkweli nimpongeze RC Aboubakar Kunenge Mkuu wa mkoa wa Dar Es Salaam ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama kwa kuruhusu wana CHADEMA na wafuasi wao kumpokea Makamu Mwenyekiti Mh.Tundu Lisu.. Niwapongeze wanachadema kwa utulivu wao wote kwa kipindi chote walichokuwa...
  14. Puma yetu

    Mgombea Ubunge ashawishi Kamati ya Siasa ya Wilaya kuwakata majina yote watia nia ya Udiwani wasiomuunga mkono

    Katika hali isiyokuwa ya kawaida aliyekua mbunge jimbo la Singida Magharibi ndugu Elibariki Kingu alishawishi kamati ya siasa ya Wilaya kuwakata majina wale wote waliotia nia ya kugombea udiwani CCM wasio muunga mkono yeye. Sasa watia nia hawa wa udiwani wanasubiri majina yao yakatwe watinge...
  15. N

    Mnaotumia mikono ya kulia mjitafakari sana, nimegundua kitu...

    Wakiwa wanachonga matunda tunayonunua humo majiani au mahotelini; kisu wanashikia mkono wa kulia huku tunda lenyewe linalohitaji usafi wa kina wanashikia mkono wa kushoto (na ni haohao wanapenda sana kuuita mkono wa m*vi)!. Wanaweza wakabanwa na haja kubwa wakati wanachonga hayo matunda, bbasi...
  16. J

    GE2020 Nakubaliana na Rais Magufuli kwamba Wagombea Urais kupitia Vyama vya Upinzani wamuunge mkono ili kuokoa fedha za walipakodi

    Wakati akiwapongeza NEC kwa kubana matumizi na kuokoa takribani sh bilioni 12 katika Uchaguzi Mkuu wa 2015, Rais Magufuli " alichomekea" kwamba hata wagombea urais wa upinzani wanaweza kuamua kumuunga mkono yeye ili kuokoa kodi za wananchi. Mbatia, Prof. Lipumba na Mzee Cheyo walitabasamu na...
  17. T

    Chama cha wamiliki wa silaha/bunduki nchini Marekani wametangaza kumuunga mkono Trump Uchaguzi Mkuu

    Chama cha wamiliki wa bunduki wa Marekani, National Riffle Association kimetangaza kumuunga mkono Rais Donald J. Trump au maarufu kama Tarrif Man kwenye uchaguzi mkuu ujao wa November 3, 2020 NRA wanasema mtu pekee ambae anaweza kuwahakikishia uhuru wao wa kumiliki siraha ni Trump kwani Biden...
  18. M

    GE2020 Bernard Membe amuunge mkono Tundu Lissu

    Membe amuunge mkono Lisu. ACT ni chama kichanga sana. Haiwezekani mgombea wa urais atoke ATC. CHADEMA ina wanachama wengi sana haiwezekani mgombea atoke kwenye chama kisichokuwa na wanachama wengi. Ujio wa Membe hautakuwa na impact kubwa sana kwenye upinzani. Membe anajulikana ukanda wa kusini...
  19. G Sam

    Kila Jimbo la "Muunga mkono juhudi" limebana. Asanteni sana magwiji wa CCM mlioamua kurudi

    Yaani dili limetiki 100 asilimia, kila tunachopanga na kutarajia kina tiki. Hatua ya kwanza kabisa tayari tumefanikiwa kwa asilimia zaidi ya 96. Mambo yanaenda bam bam. Tunasubiri hatua ya pili mchujo wa kura za maoni na hatua ya tatu vikao vya maamuzi ambayo yote hayo yameshaonyesha kufanikiwa...
Back
Top Bottom