NCCR Mageuzi: Tunaunga mkono waraka wa TEC kuhusu Corona

NCCR Mageuzi

Member
Joined
Oct 3, 2007
Posts
23
Reaction score
63
Chama cha NCCR-Mageuzi tunapenda kuweka msisitizo wa taarifa tuliyoitoa tarehe 16 Januari 2021 katika kikao chetu cha halmashauri kuu ya Taifa. Taarifa inayohusu Ugonjwa wa Virusi vya Korona-19 (UVIKO-19).

NCCR-Mageuzi tunawaomba watanzania kuongeza mbinu za kujikinga kwa kiwango kisichopungua 70% ikiwemo kuzingatia taratibu zilizowekwa za kujikinga na ugonjwa huu bila ya kukosa ambazo ni;
  • Kuvaa barakoa
  • Kunawa mikono mara kwa mara kwa kutumia sabuni na maji tiririka
  • kutumia vitakasa mikono
  • kuzingatia umbali uliowekwa kitaalam kati ya mtu na mtu
  • kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima
  • kuepuka msongo wa mawazo
  • Na tahadhari bunifu nyingine zenye kuokoa ugonjwa huu
Kadhalika, NCCR-Mageuzi inaungana na Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kupitia waraka wa Rais wake Mhashamu Baba Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga wa tarehe 26 Januari 2021 kuhusu UVIKO.

Kuhusu waraka wa TEC, Soma Waraka: Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) latoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa Corona nchini

IMG-20210127-WA0037.jpg
IMG-20210127-WA0036.jpg
 
Ni jambo jema kutambua na kukiri tatizo tuwape haki wahanga wazee na wenye upungufu wa kinga kuwalinda japo wachache.
 
Mbatia hana hamu kabisa na Jiwe.

Aliitwa Jumba jeupe,akatumwa Mbeya kupokea wanachama wa CHADEMA.

Alajiona tayari kishakuwa KUB.

Kilichompata thereafter hana hamu kabisa
 
Chama cha NCCR-Mageuzi tunapenda kuweka msisitizo wa taarifa tuliyoitoa tarehe 16 Januari 2021 katika kikao chetu cha halmashauri kuu ya Taifa. Taarifa inayohusu Ugonjwa wa Virusi vya Korona-19 (UVIKO-19).

NCCR-Mageuzi tunawaomba watanzania kuongeza mbinu za kujikinga kwa kiwango kisichopungua 70% ikiwemo kuzingatia taratibu zilizowekwa za kujikinga na ugonjwa huu bila ya kukosa ambazo ni;
  • Kuvaa barakoa
  • Kunawa mikono mara kwa mara kwa kutumia sabuni na maji tiririka
  • kutumia vitakasa mikono
  • kuzingatia umbali uliowekwa kitaalam kati ya mtu na mtu
  • kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima
  • kuepuka msongo wa mawazo
  • Na tahadhari bunifu nyingine zenye kuokoa ugonjwa huu
Kadhalika, NCCR-Mageuzi inaungana na Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kupitia waraka wa Rais wake Mhashamu Baba Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga wa tarehe 26 Januari 2021 kuhusu UVIKO.

TAHADHARI JUU YA MAAMBUKIZI MAPYA YA UGONJWA WA KORONA

TAHADHARI JUU YA MAAMBUKIZI MAPYA YA UGONJWA WA VIRUSI VYA KORONA

mbatia.png
 
Chama cha NCCR-Mageuzi tunapenda kuweka msisitizo wa taarifa tuliyoitoa tarehe 16 Januari 2021 katika kikao chetu cha halmashauri kuu ya Taifa. Taarifa inayohusu Ugonjwa wa Virusi vya Korona-19 (UVIKO-19).

NCCR-Mageuzi tunawaomba watanzania kuongeza mbinu za kujikinga kwa kiwango kisichopungua 70% ikiwemo kuzingatia taratibu zilizowekwa za kujikinga na ugonjwa huu bila ya kukosa ambazo ni;
  • Kuvaa barakoa
  • Kunawa mikono mara kwa mara kwa kutumia sabuni na maji tiririka
  • kutumia vitakasa mikono
  • kuzingatia umbali uliowekwa kitaalam kati ya mtu na mtu
  • kuepuka mikusanyiko isiyo ya lazima
  • kuepuka msongo wa mawazo
  • Na tahadhari bunifu nyingine zenye kuokoa ugonjwa huu
Kadhalika, NCCR-Mageuzi inaungana na Baraza la Maaskofu Tanzania (TEC) kupitia waraka wa Rais wake Mhashamu Baba Askofu Mkuu Gervas Nyaisonga wa tarehe 26 Januari 2021 kuhusu UVIKO.

Kuhusu waraka wa TEC, Soma Waraka: Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC) latoa tahadhari kuhusu ugonjwa wa Corona nchini

KWANINI HIZI NYARAKA HAMKUZILETA KIPINDI KILE CHA KAMPENI ZA UCHAGUZI?? AU KORONA NDO IMEGUNDULIWA MWEZI HUU??. KWANINI MLIACHIA WATU WAKAKAA KWENYE MISONGAMANO YA KAMPENI? MBONA KIPINDIKILE HATUKUONA TAMKO LOLOTE LA KUONYA KUTOKA NDANI NA INJE YA NCHI?
 
Mbatia hana hamu kabisa na Jiwe.

Aliitwa Jumba jeupe,akatumwa Mbeya kupokea wanachama wa CHADEMA.

Alajiona tayari kishakuwa KUB.

Kilichompata thereafter hana hamu kabisa
uzi huu unahusu covid😳
 
Back
Top Bottom