mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. Lord Diplock MR

    JamiiForums Tanzania Namuunga mkono Spika Ndugai, ujenzi Bandari ya Bagamoyo uendelee

    Najua topic imepita, lakini ninajua kidogo kuhusu mradi wa Bandari ya Bagamoyo na napenda kumuunga mkono Mhe Spika kwa hoja zifuatazo. Na naamini Serikali yetu itazichukulia kama ushauri wa Mbunge kwa Serikali, ambao ndio wajibu wetu wa msingi kama Wabunge. Muhimu kujua background ya mradi wa...
  2. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Profesa Assad: Wanaounga mkono kila kitu ni wasaka fursa

    Dar es Salaam, aliyekuwa Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG), Profesa Mussa Assad amesema watu wenye tabia ya kuunga mkono kila wakati ni wasaka fursa na hawana msaada wowote katika nchi. Profesa Assad amesema hayo leo Jumamosi Aprili 10, 2021 katika uzinduzi wa mfululizo wa...
  3. G Sam

    JamiiForums Tanzania Nasimama kuhesabiwa: Hakuna mradi hata mmoja wa hayati Magufuli niliouunga mkono na hoja nilizotoa ndizo za leo

    Ndiyo nilikuwa mkweli na hoja zangu zilikuwa za moto hadi wenzangu wakahisi kuwa nina chuki binafsi na Rais hayati Magufuli. Mwaka 2016 mapema mwezi wa nne nilimshauri ajiuzulu na nikajenga hoja. Nilishambuliwa sana hadi uzi ukatupwa kapuni. Nilimuonya kuwa hatokuwa na ushawishi wowote ule...
  4. J

    JamiiForums Tanzania Ndugai: Ujenzi wa bandari ya Bagamoyo uendelee, Dkt. Magufuli alishauriwa vibaya

    Spika wa Bunge ameshauri mradi wa ujenzi wa Bandari ya Bagamoyo uendelee kwa sababu Magufuli alishauriwa vibaya, hii ni baada ya kamati ya Bunge ya bajeti kushauri kuwa serikali iangalie kuhusu kuendelea na mradi huo. Ndugai amesema kuwa mradi huo utakuwa na faida kubwa kwa Watanzania na...
  5. konda msafi

    JamiiForums Tanzania Watanzania tuviunge mkono vyama vikubwa viwili vya kisiasa kwa maendeleo ya nchi yetu

    Hotuba ya mama imenikosha sana. Nina imani watu wengi imewafurahisha na wanamwombea asibadirike bali azidi kuboresha zaidi. Kila mtanzania mpenda maendeleo na uhuru wa kweli anataka kiongozi msikivu na anayejali sauti za watu. Tanzania ni yetu sote na wote tunastahili kufaidi mema ya nchi yetu...
  6. Woga tupa kulee

    JamiiForums Tanzania 'Mwendazake' alipanda MBEGU za kujimaliza kwa mkono wake mwenyewe

    Ndio. Kila nikitafakari uongozi wa mwendazake, ni kuwa alipanda MBEGU za kujimaliza mwenyewe na hatimae kifo chake. Katika nchi yeyote, Kuna Mambo ambayo ni tunu za taifa Hilo. Kwa Tanzania, umoja na mshikamano Kati ya makabila na dini na kada mbalimbali ni tunu ilio fanya taifa letu kusimama...
  7. J

    JamiiForums Tanzania Wagombea vyeo vya kisiasa wawe wanapimwa afya zao

    Naelewa ajira za umma ni lazima muombaji apimwe afya yake baada ya kukidhi vigezo vingine vya ajira ndipo ataruhusiwa kuingia ofisini. Ni vema zoezi kama hili likawa linafanywa kwa wagombea wa nafasi za kisiasa wakiwemo wabunge na madiwani. Kwa mfano ukisikiliza mijadala ya Tundu Lissu na...
  8. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko yoyote unayofanya Rais Mpya kama hutogusa Jeshi la Polisi itakuwa kazi bure , utakosa uungwaji mkono wa wananchi

    Uchafu wote uliotendwa wakati wa uchaguzi mkuu , ukiwemo utekaji na uporaji wa fomu za wagombea wa vyama vya upinzani waliokuwa wamekabidhiwa fomu halali kutoka tume , ulisimamiwa na Jeshi la Polisi la Tanzania , Rais mpya Mama Samia Suluhu ukilifumbia macho jambo hili dunia itakushangaa ...
  9. VUTA-NKUVUTE

    JamiiForums Tanzania Ukweli uwe mbele: 'Walioaminiwa sana' na Mwendazake wakichunguzwa, madudu hayatatazamika. Kuungwa kwao mkono na Mwendazake kilikuwa kichaka hatari

    Mambo yameanza kunoga. Deusdedith Kakoko wa Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ametiwa nguvuni na yuko chini ya TAKUKURU kwa mahojiano na uchunguzi. Sote tunajua kuwa Mwendazake alikuwa akimwamini na kumtetea sana Kakoko. Alikuwa akimsifu na kumpa 'sapoti' ya kutosha na kutisha. Rangi halisi ya...
  10. J

    JamiiForums Tanzania Pendekezo: Kama Zitto Kabwe atagombea ubunge jimbo la Muhambwe basi CHADEMA imuunge mkono

    ACT Wazalendo imesema watashiriki uchaguzi mdogo wa jimbo la Muhambwe kujaza nafasi ya mbunge iliyo wazi baada ya mbunge wa awali kufariki dunia. Katibu mkuu wa ACT Wazalendo mh Shaibu amesema kuna tetesi kuwa Zitto Kabwe anataka kugombea lakini wao kama chama Zitto hajawaambia kama ana nia...
  11. Wang Shu

    JamiiForums Tanzania Unavaa saa mkono gani?

    Nilikuwa navaa saa mkono wa kushoto nilibadilisha baada ya kuona wanawake wengi wanavaa mkono huo niliamua kuvaa mkono wa kulia mpaka sasa. Sababu kubwa iliyonifanya nibadilike ni mpenzi wangu pia anavaa mkono wa kushoto na anaigeuza sehemu ya kuangalia mda inakuwa kiganjani, huangalia muda...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Naingiwa wasiwasi mno na uungwaji mkono kutoka upinzani, Usije kuwa ni lainisha upigaji kiurahisi

    Nashindwa kuelewa huu uungaji mkono kutoka Kwa wapinzani kuunga juhudi za Chama tawala katika kulisuka Taifa letu na kuelekea Taifa lenye usawa na maendeleo ya kweli. Nashindwa kuelewa kama kweli tuna upinzani uliodhamiria kuondoa Uonevu Kwa watumishi wa Umma ambapo wao kama upinzani walikuwa...
  13. Shadow7

    JamiiForums Tanzania Tanzania, Kenya zapewa mkono wa kwaheri AFCON

    Bao pekee la nahodha Emilio Nsue Lopez dakika za 90 kwa timu yake ya Equatorial Guinea limesukumiza nje Tanzania katika kutafuta tiketi ya kufuzu Africa Cup of Nations (AFCON) hapo jana usiku. Mchezo ukimalizika kwa matokeo hayo ya 1-0 licha ya mlindalango Aishi Manula kufanya kazi kubwa ya...
  14. C

    JamiiForums Tanzania Swali Fikirishi: Nini mwelekeo wa waliohama vyama kwa misingi ya kuunga mkono juhudi?

    Wakati Chama cha Mapinduzi kikiendelea na michakato ya kupanga safu za uongozi kufuatia kuondoka kwa Mwenyekiti Hayati John Pombe Magufuli, nini hatima ya wanachacshama waliohamia chama hicho kwa misingi ya kuunga juhudi za rais? Najaribu kuwaza kwa sauti: 1. Ukizingatia kwamba juhudi...
  15. J

    JamiiForums Tanzania Mchungaji Mastai: Nilimuunga mkono hayati Magufuli na sasa namuunga mkono Rais Samia, akitugeuka na mimi namgeuka

    Mchungaji wa Kanisa la KKKT Kimara, Dr Mastai amesema yeye alimuunga mkono hayati Magufuli kuanzia siku ya kwanza aliyoingia madarakani hadi Jumapili iliyopita alipomfanyia maombezi maalumu Kanisani. Mchungaji Mastai amesema hata sasa anamuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan lakini akitugeuka...
  16. Ngongo

    JamiiForums Tanzania Waliounga mkono juhudi za Dkt. Magufuli, wajiuzulu sasa

    Katika siasa za Tanzania tulishuhudia wanasiasa wa upinzani wakiunga mkono juhudi za Dkt. Magufuli. Bahati mbaya Mungu kamchukua Dkt. Magufuli. Kwa kuwa waunga mkono juhudi walijikita kuunga mkono juhudi za mtu ambaye hatunaye tena sioni sababu za msingi zitakazowafanya waendelee kuwepo kundini...
  17. Naantombe Mushi

    JamiiForums Tanzania Wanawake ambao ukikutana nao, hutakiwi kutongoza, ila ukimkuta wewe shika mkono muende zenu

    Hahahahaaa Yaani hizi type za hawa wanawake, wewe usijiangaishe kutongoza maana ni kama utakuwa unapoteza nguvu na maneno yako. Cha kufanya, endapo kama umekutana naye kwenye kona, wewe cha kufanya ni kushika mkono, mnapitia Condom kwa Mangi, huyoo mnatoboa mpaka geto. Ifuatayo ni list ya...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Magufuli kwa Kauli hii sikubaliani nayo na sikuungi mkono pia kwani ina Viashiria vyote vya Dharau na Jeuri pia

    " Marehemu alipofikia muda wake wa Kustaafu nilimuomba aendelee kwani sikuona wa Kumrithi. Na mpaka hivi leo ametutoka duniani ama hakika atanipa Kazi ya ziada kumpata Mbadala wake ", alisema Rais Dkt. Magufuli. Tusidanganyane hapa duniani hakuna Mtu ambaye hawezi kuwa bora kwa Mwenzie hata...
  19. C

    JamiiForums Tanzania Huu ni mkono wa nani?

    Awiii Uwiii Awoo! ni vilio kila kona. Viiana, wazee nao, alo salama hakuna, Nchi ni maombolezo, mazikoni twapishana. Tumwendee Mungu Baba, yeye ni mwenye rehema. Awali tunakumbuka, virusi vilisheheni, Pamoja tulianguka, tukaenda magotini, Pasipo kuwa na shaka, pembezoni na mijini, Mungu...
  20. Usinipite mwokozi

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa wilaya ya Bariadi nakuunga mkono 100% kwa hili la watendaji wa Tume ya Madini kuwaingilia

    Nimesoma taarifa za kikao kilichohusisha viongozi wa serikali ya mkoa wa simiyu na wizara ya madini chini ya kaim Afisa madini wa mkoa Ndg. Kumbulu. KWANINI NAUNGANA NA MKUU WA WILAYA MH. KISWAGA Mtu yeyote afatilie leseni zote za madini katika nchi hii, na wavumbuzi wa madini katika leseni...
Back
Top Bottom