mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. B

    JamiiForums Tanzania Jumanne nitachanjwa ila Rais Samia asinihesabu katika waliomuunga mkono

    J3 tuna jambo letu. J4 pia tuna jambo letu kulingana na maelekezo ya wizara ya afya. Hata hivyo wengi wetu tuliipigania hatua hii, wakati SSH na mwendazake wakifanya porojo zao kuhusu ugonjwa huu. Hivyo katu asituhesabu kuwa tutakuwa tumejitokeza kumwunga mkono yeye kwa lolote kuhusiana na hii...
  2. Jimytz

    JamiiForums Tanzania SoC01 Mkulima wa Jembe la Mkono Tanzania

    TEGEMEO LA MKULIMA WA JEMBE LA MKONO Ni zama hizi hizi za karne ya 21 ambayo bado mkulima anatumia jembe la mkono katika kipande cha ardhi alichobakisha baada ya unyanganyi wa mabavu wa wawekezaji wakipewa nguvu na viongozi hawahawa tulio waamini na kuyaamini maneno yao, Tuachane na hayo maana...
  3. Cannabis

    JamiiForums Tanzania Matumaini kibao tozo mpya za simu, wanawake waziunga mkono, wamtaka waziri asonge mbele bila kutetereshwa

    Wadau mbalimbali wakiwemo wanasiasa na wajasiriamali, wamepongeza tozo mpya katika mitandao ya simu na mafuta zilizopitishwa mwaka wa fedha 2021/2022. Wakizungumza kwa nyakati tofauti, wadau hao walisema tozo hizo zitachochea ukuaji wa uchumi hasa katika maeneo ya vijijini. Walisema tozo hizo...
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Katiba Mpya: Hoja ya Rais Samia haina mashiko

    Rais Samia anasema eti suala la kipaumbele kwake ni uchumi kwanza halafu mambo ya katiba mpya ni ya baadae huko mbeleni. Ningependa kumkumbusha Rais Samia kuwa, hoja ya Katiba Mpya ni hoja nyeti, ni suala muhimu sana na haliwezi kuwa option ya pili katika mambo yanayopaswa kufanyika nchini kwa...
  5. DENLSON

    JamiiForums Tanzania Siungi mkono CHADEMA kuingilia mjadala wa kudai Katiba Mpya

    Katiba mpya imekuwa ni mjadala baada ya makundi mbali mbali ya watu yakitaka ule mchakato uliositishwa wa mabadiliko ya katiba uanze upya kwa kuanzia kwenye rasimu ya Jaji Warioba. Mimi ni mmoja ya watanzania wanaotamani kuona kama taifa tunapata Katiba mpya inayotokana na maoni ya Watanzania...
  6. S

    JamiiForums Tanzania Tafakuri: Nahodha huyu anaungwa mkono na nani?

    Yule wa kipindi kilee, aliyependa kusafiri kama Vasco da Gama aliungwa mkono na walioitwa wanamtandao. Na yule aliyekuwa akipenda kazi na kuongea kwa kujiamini sana aliungwa mkono na abiria waliouchukia ufisadi. Japo baadaye huyu nahodha alibadilika na kuwa katili asiyeelezeka. Akachukiwa na...
  7. ndege JOHN

    JamiiForums Tanzania Kama una mtaji hizi ndio Ajira mkononi

    1.Dox la viatu soko lake memorial Moshi Kilimanjaro 2.Sigara maeneo ya city center 3.Vitabu mbali mbali 4.Vitu vya watoto na urembo 5.Ma cover ya simu na protector 6.Mikoba
  8. Memento

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenda mageuzi wote inahitajika nguvu na akili kidogo tu tuweze kushinda, tumuunge mkono Lissu

    Baada ya jana Rais kuulizwa maswali ya kimtego na kuyajibu kiholela, ni dhahiri inahitajika nguvu kidogo tu kupata yale tuliyoyapigania kwa miaka mingi. Hadi sasa raisi kishaonyesha hana nguvu ya kuzuia wananchi wanachodai na tayari kishaanza kuchoka. Tusipotumia nguvu na akili kidogo kwa huyu...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mama kesha Pasua Mbarika Tumuunge Mkono kwa nguvu zote

    Mama bila kumung'unya maneno leo akiongea na Baraza la Maaskofu (TEC), ametamka: "Corona ipo tuchukue hadhari zote kama tunavyoelekezwa na wataalamu." Kauli hii ni ya kijasiri kabisa. Heko mama Samia rais wetu kipenzi wa JMT. Mama ni wa kuungwa mkono kwa nguvu zote na waungwana wote...
  10. TheDreamer Thebeliever

    JamiiForums Tanzania Wabunge wana haki ya kudai nyongeza ya mshahara, hoja yao isikilizwe wasipuuzwe

    Habari wadau, Naona kuna vugu vugu sasa wabunge kutaka kuongezewa mshahara maana hauwatoshi, binafsi nadhani wana hoja ya msingi ni vyema wakasikilizwa. Wengi tulikuwa tunajua wabunge wanalipwa pesa nyingi sana kutokana na kazi kubwa wanazozifanya lakini nilipofuatilia kiasi anacholipwa mbunge...
  11. Samia atosha tukutane2030

    JamiiForums Tanzania Nitamwamini na kumuunga mkono Rais Samia atakapotatua suala la fao la kujitoa

    Habari! Sasa ni awamu ya 6 kwa mujibu wa Rais mwenyewe na serikali yake. Rais Samia Suluhu nitakuunga mkono kama utaondoa dhuluma hii kwa vijana. Kumnyima kijana asichukue fedha yake kwenye mfuko wa kijamii mara baada ya ajira yake kukoma ni dhulma isiyovumilika. Hebu vuta picha kijana...
  12. Ferruccio Lamborghini

    JamiiForums Tanzania Aisee! Mastaa hawa 10 walishikwa mkono wakajibeba kabisa...

    Imekuwa ni kawaida katika siasa, biashara, michezo, muziki, filamu na mitindo, kila anayefanya vizuri upande huo, kuna mtu alimshika mkono au kumvutia kufanya mojawapo kati ya hayo machache. Je, kwenye muziki wa Bongofleva hali ipoje? Wasanii wamekuwa wakishirikishwa kwenye nyimbo kila siku...
  13. MSAGA SUMU

    JamiiForums Tanzania Nataka niongeze tattoo mkono wa kulia

    NAtaka kuchora tattoo mkono wa kulia ili kuendana na hiyo ya kushoto, napokea ushauri
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mauaji Tarime: Mwenyekiti Halmashauri Tarime Vijijini adaiwa kuua na kufadhili msiba kukwepa mkono wa Sheria

    MWENYEKITI HALMASHAURI TARIME VIJIJINI ADAIWA KUUA, KUKWEPA MKONO WA SHERIA NA KUMALIZANA NA FAMILIA NA KUFADHIRI MAZISHI. Tarime, 16 May 2021 Mnamo tarehe 15 May 2021, majira ya saa 12 asubuhi katika mtaa wa starehe, kuliko na ofisi za Serikali ya Mtaa wa Starehe, jengo ambalo ni mali ya...
  15. Erythrocyte

    JamiiForums Tanzania Nakusudia kuanzisha ligi ya soka ya kugombea kombe la Chadema , nawaomba wadau mniunge mkono

    Lengo langu ni kuhamasisha michezo nchini Tanzania na baada ya muda mfupi tutafika East and Central Africa , wadhamini wa ndani na nje ya nchi wamepatikana na mazungumzo yamefika pazuri . Nakaribisha maoni ya namna nzuri ya kuendesha michuano hii ili kukidhi vigezo vya FIFA . Karibuni
  16. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwa Kukengeuka na Kutukana simuungi mkono Nahodha wa Prisons, ila kwa tuhuma aliyoitoa dhidi ya Yanga namkubalia na Simba tumo pia

    Kuna Watu mmenishangaza kweli kweli kwa Hoja yenu kwamba inawezekana vipi Yanga SC kutaka Kuhonga Tsh Milioni 40 wakati hata Kombe lenyewe halina Kiasi kikubwa cha Pesa? Kitu pekee ambacho wengi wenu ( hasa Wanafiki ambao ni wana Yanga SC ) ni kwamba tayari Yanga SC imeshajua kuwa katika Ligi...
  17. beth

    JamiiForums Tanzania CoronaVirus Brazil: Vifo vyafikia 400,000. Uungwaji mkono wa Rais Bolsonaro waporomoka

    Idadi ya vifo vinavyotokana na Ugonjwa huo imezidi 400,000. Nchi hiyo ni ya pili duniani kurekodi vifo vingi zaidi huku ikiendelea kupambana na mpango wake wa utoaji Chanjo. Ndani ya saa 24 zilizopita vifo 3,001 vimerekodiwa. Bunge la Nchi hiyo limeanza uchunguzi kuhusu namna Serikali...
  18. Idugunde

    JamiiForums Tanzania Chadema mlishapigwa bao la mkono waacheni akina Halima wale bata, kelele zenu ni kupoteza muda

    Kichwa cha hanari chajieleza. Maana kwa chama makini kabisa baada ya kuona katiba ikisiginwa basi ilikuwa ni muda muafaka wa kwenda mahakamani na kupinga kuapishwa kwao na wao kuwa wabunge. Mbowe na Mnyika walichukulia poa na kuliona hilo tukio kama la kawaida. Na kwa sababu walishazoea...
  19. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Natangaza rasmi kumuunga mkono Rais Samia Suluhu Hassan

    Amani iwe nanyi wana JF! Mwaka 2017 nikiwa mwanachama wa CCM niliamua kuacha kukiunga mkono Chama cha Mapinduzi baada ya kugundua kuwa sera zake chini ya aliyekuwa Rais JPM sizingetufikisha popote kimaendeleo kama Taifa. Sera za kukumbatia uchumi wa kijamaa wa kutaka serikali ndo ifanye...
  20. Mtukudzi

    JamiiForums Tanzania Mratibu wa zoezi la kuunga mkono jitihada za Rais Suluhu ni nani?

    Mh. Samia Suluhu aliposema KAZI IENDELEE alimaanisha mambo yote 'mazuri' yaendelee kama ilivyokuwa kwa hayati JPM. Tunatambua kuwa mojawapo ya 'kazi' ambazo zilikuwa zikiendelea kwa kasi hapa nchini ni pamoja na 'kuunga juhudi' za Mh. Rais. Sasa inakuwaje kazi hizi haziendelei?. Je...
Back
Top Bottom