Woga tupa kulee
JF-Expert Member
- Sep 4, 2012
- 1,752
- 1,311
Ndio.
Kila nikitafakari uongozi wa mwendazake, ni kuwa alipanda MBEGU za kujimaliza mwenyewe na hatimae kifo chake.
Katika nchi yeyote, Kuna Mambo ambayo ni tunu za taifa Hilo.
Kwa Tanzania, umoja na mshikamano Kati ya makabila na dini na kada mbalimbali ni tunu ilio fanya taifa letu kusimama imara kwa miaka yote.
Kwa Kasi kubwa, mwendazake alitikisa misingi ya ushikamano na umoja wa taifa letu. Kauli za kibaguzi, mgawanyo wa miradi kiupendeleo na kuonea matajiri kulipanda sumu ambayo in long run ingeua taifa letu.
Ni funzo kubwa kwa watawala wote wajao