mkono

Nimrod Elireheema Mkono (born 18 August 1943) is a Tanzanian CCM politician and Member of Parliament for Musoma Rural constituency since 2000.

View More On Wikipedia.org
  1. JamiiForums Tanzania Serikali Iunge Mkono Juhudi za Wananchi Ujenzi wa Kituo cha Polisi Wilaya ya Tanganyika

    MBUNGE MARTHA MARIKI - SERIKALI IUNGE MKONO JUHUDI ZA WANANCHI UJENZI WA KITUO CHA POLISI KATIKA WILAYA YA TANGANYIKA Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza mpango wa Serikali kuhusu ujenzi wa kituo cha Polisi katika...
  2. JamiiForums Tanzania Viongozi wa Dini wanazungumza na Serikali kuhusu Mkataba wa Bandari kati ya Tanzania na Dubai

    Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa anazungumza na viongozi wa dini mbalimbali kuhusu mkataba wa ushirikiano wa kiuchumi na kijamii wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai. Mkutano huo unafanyika kwenye Ukumbi wa Kurasini Centre, TEC Jijini Dar es Salaam, leo Jumatatu...
  3. JamiiForums Tanzania Spika Tulia: Bunge litajadili ushirikiano wa DP World na Bandari

    Spika wa Bunge Dk Tulia Ackson amesema azimio la Bunge kuhusu kuridhia ushirikiano wa uendelezaji na uboreshaji wa utendaji wa bandari Tanzania, litawasilishwa bungeni Juni 10, 2023 kwa ajili ya kujadiliwa na kupitishwa na wabunge. Azimio hilo ni mapendekezo ya kuridhia makubaliano kati ya...
  4. JamiiForums Tanzania Arsenal yaunga mkono haki za mashoga

  5. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Rais Museveni na watu wa Uganda waungwe mkono, asema Mufti Mkuu wa Oman

  6. M

    JamiiForums Tanzania TUCTA kwa nini hamjamuunga mkono Ester Bulaya kwenye suala la Kikokotoo?

    Picha: Ester Bulaya Ninashangaa pamoja na baadhi ya wabunge kuwapigania wafanyakazi kuhusu kubadilisha kikokotoo kinachowanyonya wafanyakazi, Wakiongozwa na mbunge Ester Bulaya lakini viongozi wa TUCTA wamekaa kimya. Hiyo ndo dalili ya usaliti sio bure mtakuwa na maslahi fulani mnapata. Katibu...
  7. JamiiForums Tanzania Shukran Waziri Mkuu Majaliwa kujumuika nasi Karimjee Hall Kumuaga Wakili Mzee Mkono, ila hiki cha FFU wako sijakipenda

    Haingii Akilini na pia si tu ni Ushamba pia ni Upumbavu ( Ujuha ) Watu tuko Ukumbini tena Karimjee Hall Msibani halafu Askari FFU Mwenye Silaha yake ya Kivita na Makolokolo yake Mwilini mwake akiwa ameielekezea Kwetu Waombolezaji huku akiwa Katukunjia Sura yake utadhani labda tuna Ugomvi nae...
  8. JamiiForums Tanzania Watani wa Wazanaki mlioko Msibani kwa Mzee Mkono zuieni Jeneza lisitolewe hadi muwatoe Upepo (hela) Wafiwa sawa?

    GENTAMYCINE nawaibieni Siri Watani zangu Wapendwa Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi kuwa tayari Wafiwa na Wazanaki kwa Kuwaogopeni wameshatenga Tsh Milioni Moja ya Utani (kuwapa Watani) hivyo Kesho Saa 3 Asubuhi kabla Mwili haujatolewa hapa Masaki Nyumbani kwa...
  9. JamiiForums Tanzania Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi mlioko Msibani Masaki kwa Mkono punguzeni Ulafi

    Chakula kimepikwa kwa ajili ya Wazanaki (na hasa Sisi Wafiwa GENTAMYCINE nikiwemo) cha Kushangaza Makabila tajwa katika Kichwa changu cha Habari yenye Washamba wengi kila mkiletewa Chakula cha Msiba mnataka Kuongezewa Sahani zingine kwani mmekuja Kula hapa Masaki nyumbani kwa Marehemu Wakili...
  10. JamiiForums Tanzania Waliotudangabya nahreal ni mtoto wa Nimrod mkono watuombe radhi

    Vyombo vya habari vingi viliandika hivo Hata humu JF pia walituleteaga hui uogo Aisee mtuombe radhi nahreal sio mtoto wa mkono na ndo maana sasa yupo busy na yake hana time na msiba
  11. JamiiForums Tanzania Wakurugenzi wa Halmashauri Nchini Watakiwa kutenga Fedha za Ndani ili Kuunga Mkono Juhudi za Wananchi

    WAKURUGENZI WA HALMASHAURI NCHINI WATAKIWA KUTENDA FEDHA ILI KUUNGA MKONO JUHUDI ZA WANANCHI Wakurugenzi wa Halmashauri Nchini Wametakiwa kuhakiksha wanatenga fedha katika mapato ya ndani ili kuunga mkono juhudi za wananchi katika maeneo yao ya kiutawala. Agizo hilo limetolewa leo 22 Mei, 2023...
  12. JamiiForums Tanzania SoC03 Nchi ni Wananchi: Kuunga mkono Haki na Uhuru wa Wananchi

    NCHI NI WANANCHI: KUUNGA MKONO HAKI NA UHURU WA WANANCHI Imeandikwa na: MwlRCT Mfumo wa Nchi Ni Wananchi unasisitiza umuhimu wa haki na uhuru wa wananchi katika nchi. Unalenga kuwawezesha wananchi kutoa maoni yao, kuwasilisha wasiwasi wao, na malalamiko yao kwa uhuru. Makala hii inajadili...
  13. JamiiForums Tanzania Zaidi ya watu 3,000 Wanaounga mkono Urusi,waandamana Sydney dhidi ya NATO

    COMMISSION TO EXPOSE EVIL So do not be afraid of them, for there is nothing concealed that will not be disclosed or hidden that will not be made known. What I tell you in the dark, speak in the daylight; what is whispered in your ear, proclaim from the roofs. Do not be afraid of those who kill...
  14. JamiiForums Tanzania Mwili wa Nimrod Mkono kuwasili nchini May 27

    Mwili wa aliyekuwa mbunge wa Butiama Vijijini, Nimrod Mkono aliyefariki April 18 unatarajiwa kuwasili nchini May 27. Mazishi yanatarajiwa kufanyika kijijini kwao Kigori Buswege Wilaya ya Butiama mkoani Mara.
  15. JamiiForums Tanzania Anakorogea uji wa vitumbua na mkono wa mtoto aliyekufa

    Kwema wazee. Yule Mama alikuwa muuza vitumbua, alikuwa maarufu Kwa vitumbua vyake kwani vilikuwa vitamu sana. Kwa siku alikuwa anauza ndoo Mbili. Zikaja Stori kuwa Yule Bi.mkubwa ni mlozi, kikagula, jichawi lililoshindikana. Bado nakumbuka, wakaitwa Wale watoa Uchawi, Kwa mliokuwepo enzi hizo...
  16. JamiiForums Tanzania Ofisi za ubalozi nchini Japani zaunga mkono mapenzi ya jinsia moja na kuruhusu watu kufukuana vifusi

    Wanadiplomasia kutoka ofisi za ubalozi zaidi ya 12 wanaowakilisha nchi zao huko Japani wameonyesha kuunga mkono jamii ya watu wanaopendelea mapenzi ya jinsia moja ama wanaopenda kifukana nyuma wakiongozwa na USA na mabadiliko ya jinsia wanaojulikana kwa jina la ‘LGBTQ’, kabla ya mkutano wa...
  17. JamiiForums Tanzania Uchambuzi wa akili na mitazamo ya wanaoiunga Mkono Ukraine au Russia,

    Kufanya uchambuzi (Profilling) wa aina ya watu wanaoshiriki kwenye upande mmoja au mwingine wa vita ni jambo la msingi sana kwenye kujua aina ya vita na hatima ya vita. Kwenye medani ya vita kuna msemo usemao "ama mpigane vita ndipo mjadiliane au mjadiliane ili msipigane". Russia na Ukraine...
  18. J

    JamiiForums Tanzania Serikali iungwe Mkono Kutengeneza Ajira Milioni 8 Sekta ya Kilimo

    JUZI, Naibu Waziri wa Kilimo, Anthony Mavunde, amesema serikali Ina mpango wa kutengeneza ajira milioni nane kwa vijana ifikapo mwaka 2025, kutatua changamoto ya ajira. Kauli hiyo aliitoa bungeni jijini Dodoma, wakati akijibu swali la Mbunge wa Buhigwe, Felix Kavejuru aliyetaka kujua mkakati wa...
  19. R

    JamiiForums Tanzania Sikuweka sahihi kwa mkono, nitaitwa kwenye usaili?

    Sikuweka sahihi ya mkono kwenye barua yangu ya maombi ya kazi naweza kukosa nafasi ya kuitwa kwenye usaili?
  20. JamiiForums Tanzania Kwanini naunga mkono baadhi ya harakati za serikali kuzuia muziki wa juu kupita kiasi unaopigwa na baadhi ya baa nchini

    Hello bosses and roses... Niwe mkweli tu, hata kwa wateja ukipeleka questionaire ya haya mambo ya kupiga mziki kwa sauti kubwa kupitiliza bar wengi (actually karibu 80%) watasema hio miziki izimwe tu. Sababu zangu naweka hapa chini. 1) UBOVU WA SOUND SYSTEM Sound system za bar nyingi ni za...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…