GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 56,694
- 109,128
GENTAMYCINE nawaibieni Siri Watani zangu Wapendwa Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi kuwa tayari Wafiwa na Wazanaki kwa Kuwaogopeni wameshatenga Tsh Milioni Moja ya Utani (kuwapa Watani) hivyo Kesho Saa 3 Asubuhi kabla Mwili haujatolewa hapa Masaki Nyumbani kwa Marehemu Mzee Mkono uzuieni mpaka mpewe hiyo Hela sawa?
Na Wazee wa Kizanaki wa Kuwakaba kuanzia leo hii hadi hiyo Kesho (waliokuwa katika Kamati ya Mazishi) ili wawapeni hiyo Hela yenu Watani ni Mzee Wassira, Mzee Butiku na Mzee Mmoja Mstaafu wa System (Eagle Wing House St. Peters) amevalia Miwani myeusi na Shati la Kitenge (Namhifadhi Jina) na mkienda Kwao Waambieni GENTAMYCINE wa JamiiForums nimewatumeni mkachukue hiyo Pesa yenu ya Watani na Utani sawa?
Kazi Kwenu Watani zangu Wote.