OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 49,242
- 103,943
Timu gani ya Ulaya ambayo haiungi mkono LGBTQ?Shabiki wa arsenal anyooshe mkono
Ushoga, usagaji haukwepeki na hautokaa ukwepeke hii kitu ipo toka enzi na enzi la msingi ni kulinda mikundu kwa wanaume kwa nguvu zoteMkuu usiwalaumu arsenal, timu zote kubwa wanasapoti huo ufala
Hio I ni nini?Tena sasa hivi ni LGBTQI
Wanataka mashabiki wao waliwe kiboga sio
Intersexual tena sasa hivi naona ni LGBTQIA2 😝😝 kmmkHio I ni nini?
Hao sa hv wamejipanga vilivyo.
Twitter ukiandika thread kuwapinga upinde, kama ni ya kienglish account yako inafutwa. Ila ukiandika kiswahili sawa maana mapunga makubwa hayaelewi.
hiyo GG Ni both teams to score au ndo ushoga full kuwekeana?