Wahaya, Wanyiramba, Waha, Wanyaturu, Warangi, Wakerewe na Wanyamwezi mlioko Msibani Masaki kwa Mkono punguzeni Ulafi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,650
109,041
Chakula kimepikwa kwa ajili ya Wazanaki (na hasa Sisi Wafiwa GENTAMYCINE nikiwemo) cha Kushangaza Makabila tajwa katika Kichwa changu cha Habari yenye Washamba wengi kila mkiletewa Chakula cha Msiba mnataka Kuongezewa Sahani zingine kwani mmekuja Kula hapa Masaki nyumbani kwa Marehemu Wakili Mzee Nimrod Elirehema Mkono au Kumlilia Mtani wenu?

Mpo wengi hapa JamiiForums naombeni mnijibu Mtani wenu. Yaani hata Mimi GENTAMYCINE Chakula changu nilichokiweka katika Kiti (tena nimekifunikia) ili nije Kula nacho mmekipitia.

R.I.P Uncle Nimrod Elirehema Mkono.
 
Acha mtani wetu asindikizwe bado muandae hela ili miruhusiwe kuvuka mapanda njia ya mwanza kwenda kwenu, tutazuwia msafara hakuna kupita hadi deni la watani lilipwe ndio mkazike salama, Poleni sana watani kwa msiba huu mzito,
 
Chakula kimepikwa kwa ajili ya Wazanaki (na hasa Sisi Wafiwa GENTAMYCINE nikiwemo) cha Kushangaza Makabila tajwa katika Kichwa changu cha Habari yenye Washamba wengi kila mkiletewa Chakula cha Msiba mnataka Kuongezewa Sahani zingine kwani mmekuja Kula hapa Masaki nyumbani kwa Marehemu Wakili Mzee Nimrod Elirehema Mkono au Kumlilia Mtani wenu?

Mpo wengi hapa JamiiForums naombeni mnijibu Mtani wenu. Yaani hata Mimi GENTAMYCINE Chakula changu nilichokiweka katika Kiti (tena nimekifunikia) ili nije Kula nacho mmekipitia.

R.I.P Uncle Nimrod Elirehema Mkono.
PIcha picha mbona msiba unafanyika kimyakimya
 
Harafu bado fine ya kumchelesha kwenda kwenye nyumba yake ya milele

Fine wataitolea kibaha ya kuaga mji, na nyingine mwanza njiapanda hatutaki utani wa kijinga lazima ilipwe, na hatutaki waanze kutulilia hovyo sisi wao watuombe tu tuwaombee kwa Mababu zetu mambo yaende vizuri
 
Toeni chakula watu wale hasa hao watani wenu fungueni na hayo mageti yenu mangosha wengi ni homeless wacha waponee hapo kwenye misosi ya mboga saba.
 
Na bado tunaandaa kipindi chetu cha ngoma tukisikia mnalialia sana sisi tutafungulia ngoma ya "dereva babili"
 
Sisi hatupendi kula sana.

Wewe Genta unayekodolea macho sahani mpka unajua idadi ya sahani zilizoletwa na chakula kiasi gani kitatumika.

Hayo makabila mengine ni walafi sana kasoro sisi.Wazanaki ndo njaa kali kwahyo misiba kama hyo wanabebana familia nzima kwend misibani
 
Kuna watu ikitokea msiba wao chai asubuhi, chakula cha mchana & usiku ni hapo hapo msibani.
Na ikifika mida ya usiku wanakoka moto na kama kuna shamba karibu la mahindi au mihogo wanaenda iba ili waje kukesha vizuri.

Kufa kafaana APUMZIKE KWA AMANI.
 
Chakula kimepikwa kwa ajili ya Wazanaki (na hasa Sisi Wafiwa GENTAMYCINE nikiwemo) cha Kushangaza Makabila tajwa katika Kichwa changu cha Habari yenye Washamba wengi kila mkiletewa Chakula cha Msiba mnataka Kuongezewa Sahani zingine kwani mmekuja Kula hapa Masaki nyumbani kwa Marehemu Wakili Mzee Nimrod Elirehema Mkono au Kumlilia Mtani wenu?

Mpo wengi hapa JamiiForums naombeni mnijibu Mtani wenu. Yaani hata Mimi GENTAMYCINE Chakula changu nilichokiweka katika Kiti (tena nimekifunikia) ili nije Kula nacho mmekipitia.

R.I.P Uncle Nimrod Elirehema Mkono.
Kuna jamaa mtaani kwetu huwa anajinadi kuwa baba yake ni Mzanaki na mama yake ni Mmakua,lkn alivyofariki Mkono,akaja tena na kudai kuwa Mkono alikuwa mjomba wake. Sasa sijui ndo mwanzo wa kugombea mali za marehemu km na wewe unavyo gombea chakula cha msibani kwa Mkono?
 
Back
Top Bottom