kali linux
JF-Expert Member
- May 21, 2017
- 1,996
- 5,054
Hello bosses and roses...
Niwe mkweli tu, hata kwa wateja ukipeleka questionaire ya haya mambo ya kupiga mziki kwa sauti kubwa kupitiliza bar wengi (actually karibu 80%) watasema hio miziki izimwe tu. Sababu zangu naweka hapa chini.
1) UBOVU WA SOUND SYSTEM
Sound system za bar nyingi ni za quality ya chini sana, yaan mziki ni kama wanapiga mabati na masufuria tu. Na wanaweka sauti ya juu inakua fujo kupitiliza, mziki upo juu lkn hata bass husikii, si bora wayazime tu.
2) USHAMBA
watu baadhi (hasa wanaolalamikia hili la kupunguza mziki) hawajui tofauti ya bar na night club. Mziki wa night club ndio huwa upo juu sababu hata inavyopaswa kujengwa kitaalam inabidi iwe na ile design kama ya studio, yaan kuwepo na sound absobers zinazozuia sauti kutoka nje, hata nchi za wenzetu utakuta night club ukiingia ndani hamsikilizani lkn pale mlangoni mnasikilizana. Sisi huku bar watu wanadhan ndio night club, bar inabidi iwe na mziki wa kawaida tu
3) Bar unaenda kunywa, kurelax na pia ni kama meeting point na wadau, sasa hio meeting point ukute mziki mkuubwa na kiukweli asilimia kubwa ni kama wanagonga tu mabati na masufuria, mtasikilizanaje?
Na hata hawa wanaomiliki Lounges hapa dar baadhi ni washamba tu, yaan mziki wa Lounge bado unakua na makelele kama bar za uswahilini tu. Mtu mnaenda kusign deal kwenye lounge lkn unakutana na mziki wa hovyo balaa.
Kwa hio ndugu Leak kabla hujawatetea hawa wanaopiga miziki hii naomba kwanza ufanye research, na ikiwezekana fungua hata poll hapa jf tuone sababu haya mambo yanamu-affect mteja na wala sio mmiliki wa bar.
DIS THREAD FOR Rais Samia kupitia NEMC wamedhamiria kuuwa baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki